Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

Mlipowaambia wale kwa kujipimia mlikuwa mnamaanisha nini?. Wametekeleza kauli yenu kwa vitendo.
 
😅😂 acha ujinga wewe ktk miradi mingi wakat wa Magu hivyo vibanda vilijengwa kwa zaidi ya million 10, Magu alishindwa kugundua upigaji huo kwasabab ni ngumu unapokagua mradi kufuatilia kibanda badala ya mradi mkuu... Kilichotokea sasa hivi hivyo vibanda vinagundulika watu wedhurumiana pesa kwenye ukandarasi kwahio wanaunguza picha kwa kiongoz anaekuja kukagua mradi aangalie na vibanda bei yake...
Sounds like your a shit
 
Hata mil 2 ni afadhali lakini kwa mil 11 wanavyosema kama ni kweli basi hiyo ni kali ya mwaka !! Watu wanapiga sio mchezo !! Hala hala msipige matozo yetu !!

Inaweza isifike 2 lakini naweza kukuhakikishia, ukipewa 2 utafute mafundi na ununue vifaa, utashangaa fedha zitakavyoyeyuka.
 
Hakika tumbua tumbua ambayo ingetokea pale Tabora Uyui isingekuwa ya kitoto.

Mungu amlaze Peponi Shujaa Magufuli.
NAE NI MWIZI TU KAMA WEZI WENGINE RIPOTI YA CAG WATU WANAPIGA MABIL.ALIKUWA HAWAFANYI KITU
 
Watu wanachukua mishahara mikubwa ila wanaagizwa kwenda kufuatilia milioni 11 badala ya wao kujituma kwenye mega frauds
 
Back
Top Bottom