Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia..

Unaleta mfano wa Sabaya kwenye hoja nyeti za kitaifa ?

You are not serious
Hahahaha tukifikiri na kuona tupo sahihi bila kuzama kutafuta na kujua uvunguni kuna nini, tutasumbuka sana.

Wakati hutoa maelekezo ya kufuata hata kama hauyataki. Hakuna haja ya kutukanana wala kudharauliana kwenye kuchangia, nchi ni yetu sote.
 
Hahahaha tukifikiri na kuona tupo sahihi bila kuzama kutafuta na kujua uvunguni kuna nini, tutasumbuka sana.

Wakati hutoa maelekezo ya kufuata hata kama hauyataki. Hakuna haja ya kutukanana wala kudharauliana kwenye kuchangia, nchi ni yetu sote.
Angalau ungeleta mfano unaofaa kwa taifa siyo unaokufaa wewe binafsi
 
Unaandika kiushabiki ama huijui Unaandika nini. Kwani watanzania ni wale tuu walio opposition. Tunapo sema turudi katika Ethos zetu ni watanzania wote tuu.

Kwani wewe huoni kabisa kuna Ubaya kutoka opposition? Siasa za extremism haiwezi kutusaidia kama nchi.

Mtawala anatumia promotional power kufuatana na action za opposition kuzi naturalised.
 
Kwahiyo yeye alikuwa sawa kuwa extremist ?
 
Kama hoja yako umeileta kishabiki mimi kwanini nisikujibu kishabiki.

Ukizungumzia ethos katika utawala wa awamu ya tano unafit only for a bad example.
 
Kwahiyo yeye alikuwa sawa kuwa extremist ?
Alikuwa sawa tuu kama iliishiwa njia za kistaarabu ku counter actions za opposition. Japo kulikuwa na njia nyingi mnoo ambazo hakuchagua kuzifuata. Mapungufu.

Mtoto kaiba shs 5000 unachoma mkono, kumbe hata kumuweka kikao kumfahamisha ingesaidia sana.
 
Maana yake hakuwa mstaarabu ?
 
Mkuu kwa uwezo wako sikutarajia uje na hitimisho hili mapema hivi. Kumbuka kwenye siasa ni kutangaza sera, na kutumia mapungufu ya mshindani wako kupata uungwaji mkono. Ukijaribu kuangalia sera na ilani ni kama zinafanana ukiacha approach, kinachobakia ni kucheza na udhaifu wa mshindani wako. Hiyo ndio siasa ilivyo.
 
Toka mwendazeke aende,nchi imepoa sana. Hakuna amshaamsha kabisa.

Sie tulishazoea masimango na mwendo wa kikakamavu iwe mvua iwe jua.

Tungeshapewa majina na kauli za kuudhi. Mama amrudishe hata makonda tu awe anachangamsha mitandaoni.
 
Vipi bado unamtazamo ule ule ?
 
Vipi bado unamsimamo huu ulichoandika hapa ?
 
Sijui umeanza kuweje wewe.

Hakuna mtu atakosa kasoro hata kama ni mwanamke.
 
Nasi atutochoka kumkumbusha Mungu kutimiza ahadi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…