Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

Siyo lazima kuwe na vita. Kimsingi Hawa aki
Iran haitokuwa salama tena!

Ikitokea hao wapinzani wanashika dola, lazima kutakuwepo na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
na Ayatollah ndo wapinzani. Waliingiankwa mapinduzi kuiondoa Serikali halali ya Kidemokrasia na yenye ustawi na uhuru
 
Angalia Iraq…

Angalia Libya….

Angalia Syria….
 
Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu...

Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war with Israel.

In a Tuesday video statement in Farsi, Pahlavi sought to reassure Iranians that opposition forces have a plan for the country's future.

"Iran will not descend into civil war or instability," he said. "We are prepared for the first hundred days after the fall, for the transitional period, and for the establishment of a national and democratic government - by the Iranian people and for the Iranian people."
Hiii inaitwa;
Unaundiwa kamati ya mazishi ukiwa bado hai
 
Iran haitokuwa salama tena!

Ikitokea hao wapinzani wanashika dola, lazima kutakuwepo na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Hakuna kitu kama hicho hizo ni ndoto za alinacha. Wairan wamechoka na utawala wa akina Ayatollah sawa tu na sisi tulivyochoka na utawala wa mkoloni mweusi ccm.
 
Asee huyu babu mvaa dera na vijora hali tete
1000462023.jpg
 
Tel Aviv ikiwa magofu, basi Tehran litakuwa jangwa kabisa.
Tehran kuwa jangwa haitashangaza ila Tel Aviv kuwa Magofu daaa!! ni maajabu sababu haiingii akili taifa na teule takatifu ukililaani nawe utalaaniwa leo limekuwa Magofu kama gaza kumbe tulikuwa tunaaminishwa uongo
 
Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu...

Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war with Israel.

In a Tuesday video statement in Farsi, Pahlavi sought to reassure Iranians that opposition forces have a plan for the country's future.

"Iran will not descend into civil war or instability," he said. "We are prepared for the first hundred days after the fall, for the transitional period, and for the establishment of a national and democratic government - by the Iranian people and for the Iranian people."
Vipi odinga kafikia wapi?
 
Kuna nchi hata moja ambayo wazungu wamesema watu wawe na democracy bila kuendeleza mauwaji ya wao kwa wao?

Saddam alikuwa Sunni wakamwambia Shia ni tishio, hapo akawauwa sana Shia

Wakammaliza Saddam wakisema ni Tishio kwa dunia

Virugu zikaanza kwa kugawana fito.
Mkafurahia waarabu wanauwana

Shia wakashika nchi, wazungu wakaona hali mbaya zaidi

Nao Shia wakalipa kisasi kwa kuwauwa Sunni
Mwaka 2019 Sunni 700 waliuwawa huko Iraq Ila wazungu wakajizima Data

Hii Democracy mnayoizungumzia ndio hii ya kuuwana?

Tusiwe na chuki bali tuangalie ukweli ulivyo

Leo mnasema Iran apigwe ili Democracy ipatikane
Ila mnajua lazima vikundi vingi vitajitokeza kuanza kupigana ili vishike nchi

Hakuna Amani itatokea hapo bali kuchinjana tu kwani historia inajirudia.

Lingine, hawa wanaoanzisha kuwapiga ndio hawa hawa baadae wataanza kupiga kelele kuwa Wakimbizi wamekuja kwetu

Sasa jiulizeni mzungu awauwe halafu akatae wasiende kwao hii haiingii akilini

Wao wanajua kabisa kutakuwa na wimbi kubwa sana la wakimbizi kuja huku Ulaya

Mnaoshabikia vita wapeni na ardhi ya kuishi watakaosalia.

Jibu kwa hoja au ukae kibera ukitupa mifuko ya kinyesi
 
Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu...

Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war with Israel.

In a Tuesday video statement in Farsi, Pahlavi sought to reassure Iranians that opposition forces have a plan for the country's future.

"Iran will not descend into civil war or instability," he said. "We are prepared for the first hundred days after the fall, for the transitional period, and for the establishment of a national and democratic government - by the Iranian people and for the Iranian people."
Endelea kuota.

View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1935428660695031872
 
Back
Top Bottom