Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Toka Waisrael wameanza kuandamana toka mwaka juzi Netanyahu ametoka ?Israel wana mfumo wa utawala ambao kiongozi anaweza akaondolewa madarakani wananchi wakiamua ndoto ambayo wairan hawana.
Toka Waisrael wameanza kuandamana toka mwaka juzi Netanyahu ametoka ?Israel wana mfumo wa utawala ambao kiongozi anaweza akaondolewa madarakani wananchi wakiamua ndoto ambayo wairan hawana.
Serikali iliyoondolewa ilikuwa ya kidikteta, ikiyopo sasa ni ya kidikteta pia.Siyo lazima kuwe na vita. Kimsingi Hawa aki
na Ayatollah ndo wapinzani. Waliingiankwa mapinduzi kuiondoa Serikali halali ya Kidemokrasia na yenye ustawi na uhuru
Hawa wakanisa ni noma sana wawache tu kuna msemo unasema mavi yakon huyasikii harufu unasikia ya wengine ndio ujinga wao. Hao Israel wana democrat gani wananchi wake wanechoka na vita na kila kukicha Netanyahu ananzisha vita kujidai Israel ni chui kumbe chui kwenye picture. Safari hii kapatikana usiku wa kuamkia leo katembezewa kichapo haijawahi kutokea na walijua watatembezewa kichapo wakazuia watu wasirecords na media zote wakawejwa mbali. Chui kwenyr picture anasaidiwa na nchi 12 kulinda anga yake na vitu bado vinapita. Chui kwenyr picture analia kila kukicha USA aingie direct kwenye vita na mimi na uhakika USA yupo direct kwenye vita hakuna kilicho badilika. Chui kwenye picture anazua Iran wametaka poa na wametuma watu wake Oman hizo zote ni propoganda bada ya watu kuona chui kwenye picture ni dhaifu sana hahahaToka Waisrael wameanza kuandamana toka mwaka juzi Netanyahu ametoka ?