Upinzani mmezimishwa sio kama hamtaki kusema

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake.

Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu! Mlidhulumiwa nini?

Nirudi kwenye hoja kuu, ninyi wapinzani njaa mpate skendo ya kweli ya ufisadi ambayo mnajua itawabeba kama Escrow au list ya mafisadi papa ilivyowabeba,mtakaa kimya?

Kwa ufupi hamna mikakati ya siasa ya kupambana na Ccm sababu sasa hivi hamna watu makini wa kuwapa mbinu na mikakati chanya.

Mmebaki kuwa watu wa kunug'unika kama vile machokoraa wa kisiasa ambao hamjui kesho yenu kisiasa.

Msidanganye watu eti kuwa mmeamua kukaa kimya eti kisa hamtaki kusema lolote,ukweli ni kuwa hamna cha kukosoa kama huko nyuma maana kwa sasa mmebaki hamna mtaji wa kisiasa.
 
Wakisema tabu, wakikaa kimya tabu.

Kajisemea Mmakonde.

Ukikimbia nchale, ukichimama nchale.
Kumbuka mnakula ruzuku ambazo ni kodi za wavuja jasho, lazima mseme lolote kwa mustakabali wa taifa.
 
Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake.

Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu! Mlidhulumiwa nini?

Nirudi kwenye hoja kuu, ninyi wapinzani njaa mpate skendo ya kweli ya ufisadi ambayo mnajua itawabeba kama Escrow au list ya mafisadi papa ilivyowabeba,mtakaa kimya?

Kwa ufupi hamna mikakati ya siasa ya kupambana na Ccm sababu sasa hivi hamna watu makini wa kuwapa mbinu na mikakati chanya.

Mmebaki kuwa watu wa kunug'unika kama vile machokoraa wa kisiasa ambao hamjui kesho yenu kisiasa.

Msidanganye watu eti kuwa mmeamua kukaa kimya eti kisa hamtaki kusema lolote,ukweli ni kuwa hamna cha kukosoa kama huko nyuma maana kwa sasa mmebaki hamna mtaji wa kisiasa.
Acha kubwata hovyo . upinzani kwasasa sio ajenda nenda kavae barakoa na ufuate masharti mengine ya WHO.
 
Back
Top Bottom