Upinzani mnapoambiwa mwakani hakuna mbunge wa upinzani atakayerudi muwe mnaelewa

Kwa taarifa yako watz wamejiandikisha wengi kuliko 2014

Acha nichekee ndani ya shati. Wajinga wameisha siku hizi mjomba. Hizi figisu ni kuhakikisha hakuna watu kutokea siku ya kupiga kura ili kuficha aibu ya uchache wa wapiga kura. Hamna kitu muhimu kama mvuto, kama huna mvuto ni lazima utumie mabavu na figisu za wazi. Miaka minne ufanye siasa mwenyewe, kisha ifike siku ya kura ubembeleze watu kujiandikisha!
 
Kwa nchi ambazo upinzani upo hai,hiki kilichotokea tayari jana na leo mitaa kadhaa kwenye miji mikubwa ingekuwa moshi mzito wa matairi umetawala.

Bongo usipoingia mitandaoni Ni kama hakuna kinachoendea nchini.

Hiyo 2020 hata mitandao itazimwa wiki yote ya uchaguzi.

Sasa unakubalika kisha uzime mitandao wiki nzima? Watu waliogoma kujiandikisha wote wanatumia mitandao?
 
Vyama vya upinzani na wanachama wake wasipochukua hatua kwa serikali na wasimamizi wa uchaguzi Nina maanisha watendaji kata ,vijiji na mitaa mwakani hali itakuwa mbaya sana, hakuna mbunge wala diwani hata mmoja atakayeshinda mwakani.

Waache kufikiria CCM ina huruma, CCM na serikali yake imedhamiria kabisa kuuwa upinzani na kuturudisha kwenye chama kimoja.
Wapinzani watambue kwamba serikali ya CCM ilikuwa inatest mitambo yake kuona kama watendaji wa kata na mitaa na vijiji wataweza, na wameweza, mwakani hali itakuwa mbaya zaidi
Asiyesikia la mkuu .........., kwa kuwa hawa watendaji ni watu wanao ishi katika maeneo yao ichukuliwe hatua dhidi yao, hata kuwazomea mitaani ,kuwanyima ushirikano na kuwatenga kabisa kwa vitendo vyao waone aibu ili mwakani wasirudie tena kuwanyima watu democrasia wananchi, kwa sababu watu walijipanga kupambana kwenye majukwaa ya siasa kwa hoja,

Kama umeguswa na hali jinsi inavyoenda nchini weka ushauri kwa serikali

Wakishakua chama kimoja then what next?
 
Sasa unakubalika kisha uzime mitandao wiki nzima? Watu waliogoma kujiandikisha wote wanatumia mitandao?
Wapi nimezungumzia kukubalika?

Mbona unakurupukaga kunukuu kwa hisia tu na si kilichoandikwa?

Hizo habari za mgomo zilikuwa zinahamasishwa kwa njia gani?
 
Unachekesha ile mbaya, kila siku waimba mapambio wenzako wanasema watanzania wengi hawajui mambo ya mitandao, kwa mantiki mitandao ni sehemu ndogo sana ya wapiga kura. Sasa unafunga mitandao kuogopa watu wachache?
 
Unaelewa maana ya maendeleo?

Abiria gani wamesafiri kwa SGR? umeme uliopo mpaka sasa ulikuwa ni wa enzi za JK, hiyo miradi miwili pekee ni 15t+, na mpaka sasa hakuna mradi wowote kati ya hiyo miwili umefikia hata robo, acha tu kujua lini kwa uhakika itakamilika, hapo ni kama mnasifia mimba badala ya mtoto. Hivyo vituo vya afya mnavyopiga kelele, vingi bado viko kwenye hatua ya ujenzi na ukichanganya vyote kwa pamoja havifiki hata 400b. So sio figure ya kutisha kwa hivyo kama ambavyo mnavyotaks tuamini.
 
Yule dikteta anang'ang'ania maendeleo ya vitu badala ya maendeleo ya watu!
Abiria gani wamesafiri kwa SGR? umeme uliopo mpaka sasa ulikuwa ni wa enzi za JK, hiyo miradi miwili pekee ni 15t+, na mpaka sasa hakuna mradi wowote kati ya hiyo miwili umefikia hata robo, acha tu kujua lini kwa uhakika itakamilika, hapo ni kama mnasifia mimba badala ya mtoto. Hivyo vituo vya afya mnavyopiga kelele, vingi bado viko kwenye hatua ya ujenzi na ukichanganya vyote kwa pamoja havifiki hata 400b. So sio figure ya kutisha kwa hivyo kama ambavyo mnavyotaks tuamini.
 
Vyama vya upinzani na wanachama wake wasipochukua hatua kwa serikali na wasimamizi wa uchaguzi Nina maanisha watendaji kata ,vijiji na mitaa mwakani hali itakuwa mbaya sana, hakuna mbunge wala diwani hata mmoja atakayeshinda mwakani.

Waache kufikiria CCM ina huruma, CCM na serikali yake imedhamiria kabisa kuuwa upinzani na kuturudisha kwenye chama kimoja.
Wapinzani watambue kwamba serikali ya CCM ilikuwa inatest mitambo yake kuona kama watendaji wa kata na mitaa na vijiji wataweza, na wameweza, mwakani hali itakuwa mbaya zaidi
Asiyesikia la mkuu .........., kwa kuwa hawa watendaji ni watu wanao ishi katika maeneo yao ichukuliwe hatua dhidi yao, hata kuwazomea mitaani ,kuwanyima ushirikano na kuwatenga kabisa kwa vitendo vyao waone aibu ili mwakani wasirudie tena kuwanyima watu democrasia wananchi, kwa sababu watu walijipanga kupambana kwenye majukwaa ya siasa kwa hoja,

Kama umeguswa na hali jinsi inavyoenda nchini weka ushauri kwa serikali
Jiwe kaharibu nchi
tapatalk_1573197433883.jpeg
 
Kwa taarifa yako watz wamejiandikisha wengi kuliko 2014
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Vyama vya upinzani na wanachama wake wasipochukua hatua kwa serikali na wasimamizi wa uchaguzi Nina maanisha watendaji kata ,vijiji na mitaa mwakani hali itakuwa mbaya sana, hakuna mbunge wala diwani hata mmoja atakayeshinda mwakani.

Waache kufikiria CCM ina huruma, CCM na serikali yake imedhamiria kabisa kuuwa upinzani na kuturudisha kwenye chama kimoja.
Wapinzani watambue kwamba serikali ya CCM ilikuwa inatest mitambo yake kuona kama watendaji wa kata na mitaa na vijiji wataweza, na wameweza, mwakani hali itakuwa mbaya zaidi
Asiyesikia la mkuu .........., kwa kuwa hawa watendaji ni watu wanao ishi katika maeneo yao ichukuliwe hatua dhidi yao, hata kuwazomea mitaani ,kuwanyima ushirikano na kuwatenga kabisa kwa vitendo vyao waone aibu ili mwakani wasirudie tena kuwanyima watu democrasia wananchi, kwa sababu watu walijipanga kupambana kwenye majukwaa ya siasa kwa hoja,

Kama umeguswa na hali jinsi inavyoenda nchini weka ushauri kwa serikali
Watarudije wakati mnawabambikizia kesi?
 
Kwa kuongezea, serikali ilishaandaa mikati kwenye kila ngazi ya mchakato wa uchaguzi kuhakikisha wapinzani hawapenyi. Waliweka mizengwe na vikwazo kwenye kila hatua kama ifuatavyo.
1. Kugawa/kuchukuwa fomu (fomu feki),
2. Kujaza fomu (makosa ya uandish),
3. Kurejesha fomu (kuwekewa pingamizi)
4. Kukata rufaa ( kupuuza malalamika)
5. Muda wa kampeni (siku 3 tu),
6. Kupiga kura (udanganyifu/wizi)

Sababu ya mizengwe hii yote ni moja tu; Magufuli anasimamia msimamo wake wa kuzuia siasa. Kwavile ameharibu nchi, Magufuli hataki "kutoa jukwaa" kwa wapinzani "kutema sumu" kwa wananchi dhidi yake.

Magufuli anatambua kuwa uwezo wake wa kupambana na wapinzani mbele ya wananchi wa "taifa linalotoa machozi" katika misingi ya usaha na haki ni mdogo sana.
 
Adui wa upinzani Tanzania sio CCM ,polisi au jeshi..adui wetu ni wazungu..hawa viongozi wetu ni “puppet” tu...ndio maana wanafanya ujinga wote huu lakini wazungu wanaendelea kutupa misaada..mfano DRC watu wanauliwa wenyewe wanaendelea kuchimba madini..Sudan kabla ya kutenganishwa..South Sudan walikuwa wanauliwa wenyewe wanaendelea kuchimba mafuta ..hata hapa Tanzania wananufaika na mali asili zetu ndio maana hawajali CCM wanavyofanya siasa ...wananchi usingizi ukitutoka na kwenda kuchoma moto investments zao zote utasikia makelele dunia nzima....hakuna mzungu anayeitakia mema Afrika..
ddressing his Cabinet in 1985, Apartheid South Africa President PW Botha said: “We do not pretend like other Whites that we like Blacks. The fact that, Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike. If God wanted us to be equal to the Blacks, he would have created us all of a uniform colour and intellect.”
 
Watz wanaipenda CCM mkuu sasa wewe unasema CCM iwakomowe vipi wakati inawaletea maendeleo kama SGR, Umeme, Afya n.k?
Afya?siku hizi kama huna pesa unakufa...na siku hizi hadi maiti inadaiwa pale muhimbili
 
Magu anataka watu wamuonage msafi tusubiri kampeni ya wabunge wa chadema uchanguzi 2020 ni lazima aumbuke na wasiwasi ni lazima afanye uchafuzi tena
 
Ni kweli, ccm vyombo vya dola ndio huwaita wananchi. Uzuri tunajiamini kwani watu wanajua ukweli ulivyo hata kama wako kimya lakini wanaambiana plan B. Gawaneni madaraka sisi tunabaki na watu tena kwa ushawishi na sio vitisho na mabavu. Hamna muda mtajua nguvu ya umma inamaanisha nini.
Ahahahahahahah!
 
Back
Top Bottom