DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Aibu ya mwaka ilimpata Pogba. Wazee wa Ruangwa walifanya perfect work.Magufuli anajiona Mungu wa nchi hii. Alipigwa vumbi la wazee wa Ruangwa na ziara ikaishia hapohapo.

It's time now for all of us to take action.enough is enough.we want fair playing grounds but not criminalization.Vyama vya upinzani na wanachama wake wasipochukua hatua kwa serikali na wasimamizi wa uchaguzi Nina maanisha watendaji kata ,vijiji na mitaa mwakani hali itakuwa mbaya sana, hakuna mbunge wala diwani hata mmoja atakayeshinda mwakani.
Waache kufikiria CCM ina huruma, CCM na serikali yake imedhamiria kabisa kuuwa upinzani na kuturudisha kwenye chama kimoja.
Wapinzani watambue kwamba serikali ya CCM ilikuwa inatest mitambo yake kuona kama watendaji wa kata na mitaa na vijiji wataweza, na wameweza, mwakani hali itakuwa mbaya zaidi
Asiyesikia la mkuu .........., kwa kuwa hawa watendaji ni watu wanao ishi katika maeneo yao ichukuliwe hatua dhidi yao, hata kuwazomea mitaani ,kuwanyima ushirikano na kuwatenga kabisa kwa vitendo vyao waone aibu ili mwakani wasirudie tena kuwanyima watu democrasia wananchi, kwa sababu watu walijipanga kupambana kwenye majukwaa ya siasa kwa hoja,
Kama umeguswa na hali jinsi inavyoenda nchini weka ushauri kwa serikali
Unachosema ni kweli 100%, ushahidi huo hapoVyama vya upinzani na wanachama wake wasipochukua hatua kwa serikali na wasimamizi wa uchaguzi Nina maanisha watendaji kata ,vijiji na mitaa mwakani hali itakuwa mbaya sana, hakuna mbunge wala diwani hata mmoja atakayeshinda mwakani.
Waache kufikiria CCM ina huruma, CCM na serikali yake imedhamiria kabisa kuuwa upinzani na kuturudisha kwenye chama kimoja.
Wapinzani watambue kwamba serikali ya CCM ilikuwa inatest mitambo yake kuona kama watendaji wa kata na mitaa na vijiji wataweza, na wameweza, mwakani hali itakuwa mbaya zaidi
Asiyesikia la mkuu .........., kwa kuwa hawa watendaji ni watu wanao ishi katika maeneo yao ichukuliwe hatua dhidi yao, hata kuwazomea mitaani ,kuwanyima ushirikano na kuwatenga kabisa kwa vitendo vyao waone aibu ili mwakani wasirudie tena kuwanyima watu democrasia wananchi, kwa sababu watu walijipanga kupambana kwenye majukwaa ya siasa kwa hoja,
Kama umeguswa na hali jinsi inavyoenda nchini weka ushauri kwa serikali
Povu lote hilo na wasiwasi wako ni nini?Vyama vya upinzani na wanachama wake wasipochukua hatua kwa serikali na wasimamizi wa uchaguzi Nina maanisha watendaji kata ,vijiji na mitaa mwakani hali itakuwa mbaya sana, hakuna mbunge wala diwani hata mmoja atakayeshinda mwakani.
Waache kufikiria CCM ina huruma, CCM na serikali yake imedhamiria kabisa kuuwa upinzani na kuturudisha kwenye chama kimoja.
Wapinzani watambue kwamba serikali ya CCM ilikuwa inatest mitambo yake kuona kama watendaji wa kata na mitaa na vijiji wataweza, na wameweza, mwakani hali itakuwa mbaya zaidi
Asiyesikia la mkuu .........., kwa kuwa hawa watendaji ni watu wanao ishi katika maeneo yao ichukuliwe hatua dhidi yao, hata kuwazomea mitaani ,kuwanyima ushirikano na kuwatenga kabisa kwa vitendo vyao waone aibu ili mwakani wasirudie tena kuwanyima watu democrasia wananchi, kwa sababu watu walijipanga kupambana kwenye majukwaa ya siasa kwa hoja,
Kama umeguswa na hali jinsi inavyoenda nchini weka ushauri kwa serikali
Wananchi wa Twitter ?Mkuu amini hii serikali itaondolewa na wananchi
Mwenyewe unajishangaaCCM inarudi kwenye ubora wake ndiyo maana wananchi sasa wameamua kuiunga mkono! Heko Mh. Magufuli kwa kazi nzuri ya kuleta maendeleo!
unaapa au unashangaa tu? whatever the case you're the son of the same!Ass!
Kwa hiyo tatizo ni wagombea kutoka upinzani Tanzania nzima walikosea kujaza fomu?Thubutu, Mbowe, Zitto, et.al wanawalisha matango poli wenyeviti wa mitaa tu, wenyewe kwenye kinyanganyiro cha ubunge watashiriki mapemaa! Fomu zao watajaza kwa makini na kuzihakiki kabisa ili kuondoa makosa!
Nilidhani uko neutral. Kumbe sio. Nikusifu kwa kujificha kidogo.Wanaiungaje mkongo, wakati mmeweka Mpira kwapani , wangeacha watu washindane kwenye majukwaa ya siasa ili tuone hayo maneno yako,lakini vinginevyo huwezi kuwaaminisha watu kwamba wananchi wameamua kuiunga mkongo ccm
bora turudi uko ili hawa wanaoishi kwa kutukana wapinzani na upinzani wakose kazi ya kufanyaVyama vya upinzani na wanachama wake wasipochukua hatua kwa serikali na wasimamizi wa uchaguzi Nina maanisha watendaji kata ,vijiji na mitaa mwakani hali itakuwa mbaya sana, hakuna mbunge wala diwani hata mmoja atakayeshinda mwakani.
Waache kufikiria CCM ina huruma, CCM na serikali yake imedhamiria kabisa kuuwa upinzani na kuturudisha kwenye chama kimoja.
Wapinzani watambue kwamba serikali ya CCM ilikuwa inatest mitambo yake kuona kama watendaji wa kata na mitaa na vijiji wataweza, na wameweza, mwakani hali itakuwa mbaya zaidi.
Asiyesikia la mkuu .........., kwa kuwa hawa watendaji ni watu wanao ishi katika maeneo yao ichukuliwe hatua dhidi yao, hata kuwazomea mitaani ,kuwanyima ushirikano na kuwatenga kabisa kwa vitendo vyao waone aibu ili mwakani wasirudie tena kuwanyima watu democrasia wananchi, kwa sababu watu walijipanga kupambana kwenye majukwaa ya siasa kwa hoja,
Kama umeguswa na hali jinsi inavyoenda nchini weka ushauri kwa serikali
RubbishAdui wa upinzani Tanzania sio CCM ,polisi au jeshi..adui wetu ni wazungu..hawa viongozi wetu ni “puppet” tu...ndio maana wanafanya ujinga wote huu lakini wazungu wanaendelea kutupa misaada..mfano DRC watu wanauliwa wenyewe wanaendelea kuchimba madini..Sudan kabla ya kutenganishwa..South Sudan walikuwa wanauliwa wenyewe wanaendelea kuchimba mafuta ..hata hapa Tanzania wananufaika na mali asili zetu ndio maana hawajali CCM wanavyofanya siasa ...wananchi usingizi ukitutoka na kwenda kuchoma moto investments zao zote utasikia makelele dunia nzima....hakuna mzungu anayeitakia mema Afrika..
ddressing his Cabinet in 1985, Apartheid South Africa President PW Botha said: “We do not pretend like other Whites that we like Blacks. The fact that, Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike. If God wanted us to be equal to the Blacks, he would have created us all of a uniform colour and intellect.”
RubbishCcm haiwakomeshi watanzania , Ccm inawakomesha Wapinzani wachumia tumbo
RubbishCCM inarudi kwenye ubora wake ndiyo maana wananchi sasa wameamua kuiunga mkono! Heko Mh. Magufuli kwa kazi nzuri ya kuleta maendeleo!