Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Uko sahihi kabisa. Wapinzani inabidi wajipange upya, tena waje na vijana wapya, na waache masuala ya kupinga kila kitu, Kuna kupinga lakini waangalie kwnaza wanapinga nini, na wapi. Kipindi cha corona ndio chadema walipoteza watu wengi sana.Upinzani inabidi wasome alama za nyakati tu kwa sasa, hapa Tanzania hatuna upinzani wa ukweli ni kelele tu zisizo na tija. Mtu anakwenda bungeni kupiga kelele na kuleta bifu ili aandikwe mitandaoni lakini hana msaada wowote jimboni kwake, mfano Halima Mdee, Sugu, Zitto Kabwe, Lissu, na wapuuzi wengine. Tunataka upinzani wa ukweli hapa Tanzania.
Tamko la nini?Vyama pinzani toeni tamko acheni kulala
Tumeyataka wenyeweSina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.
Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo...
Okay, mko wenyewe sasa. EnjoyUpinzani inabidi wasome alama za nyakati tu kwa sasa, hapa Tanzania hatuna upinzani wa ukweli ni kelele tu zisizo na tija. Mtu anakwenda bungeni kupiga kelele na kuleta bifu ili aandikwe mitandaoni lakini hana msaada wowote jimboni kwake, mfano Halima Mdee, Sugu, Zitto Kabwe, Lissu, na wapuuzi wengine. Tunataka upinzani wa ukweli hapa Tanzania.
Wewe watakiwa kushangilia matokeo mmeshinda kwa kishindo wapinzani wanini tena๐๐๐๐Uko sahihi kabisa. Wapinzani inabidi wajipange upya, tena waje na vijana wapya, na waache masuala ya kupinga kila kitu, Kuna kupinga lakini waangalie kwnaza wanapinga nini, na wapi. Kipindi cha corona ndio chadema walipoteza watu wengi sana.
Mkuu twaona raha sana , si muda tutaombana chumvi mtaani, hacha tufurahi na uchaguzi huu, muda utafika tutalia wote na kuumia wote, bila kujali una chama ,huna chama au unatoka chama gani mda mwalimSina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.
Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo...