Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa..
kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k
hali hii imewapunguza speed sana wapinzani na bilashaka, huenda hivi sasa kwa jinsi walivyopoa, wamejitathimini na wameridhishwa na jitihada za makusudi za Rais alieko madarakani, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, katika nia na azma yake ya kubadili kabisa Tanzania kijamii, kisiasa na uchumi katika msingi wa 4Rs, alizoanzisha Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuild...
hata hivyo kwa wale wapinzani wachache walojaribu kujitutumua nao sijui wamepotelea wapi, baada ya kila attempt wanayojaribu kuitumia kuinfluence wananchi inakosa impact kabisa, dhidi ya nguvu, upendo, ushawishi na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan mioyoni mwa wananchi ..
hii ina maanisha kwamba wananchi nao kwa umoja na mshikamano wao, wamekubali na kuridhishwa na kiongozi huyu, na hatua madhubuti ambazo Dr. Samia Suluhu Hassan, rais anazochukua katika kupanga na kutatua changamoto zao kijamii, kisiasa na kiuchumi ..
waTanzania wanampenda, wanamuamini, wanamkubali na wanamuelewa sana Dr Samia Suluhu Hassan na mipango yake yenye kuleta ahueni na matumaini kwa waliokata tamaa.
wamekosa kabisa sasa vya kupinga. mihemko, hasira na ghadabu zao kwa Dr.Samia Suluhu Hassan zimekua hazina tija na wala haziathiri wala kudhoofisha chochote katika jitihada zake za kuwaletea wananchi maendeleo..
Je, kwa hali hiyo,
unashauri wapinzani wajikite zaidi na uchaguzi wa 2030 au wakomae na huu ujao mwakani, ilimradi bora liende kanyaga twende kukamilisha ratiba na katiba tu?🐒