Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

kwahiyo unafurukutwa moyoni na kukereketwa akilini na unajitokeza kulaumu tu bila kua na fikra au hoja mbadala dhidi ya ukweli hou kumuhusu Dr Samia Suluhu Hassan dhidi ya Upinzani nchini?🤣
Ungejua hali ilivyo mtaani, usingesema hayo. Ndio maana CCM hawataki kabisa kubadili katiba. Wanajua.
 
Kuna nini?,toka hangaya aseme anapitapita JF naona kama umepata wazimu fulani hivi wa kichawa
 
kwan kamanda ukikaa kimya na ukatulia tu kuna ubaya wowote?

au kuna changamoto yoyote unapitia dhidi ya hoja yangu na huna fikra mbadala? šŸ’

I speak my mind regardless what you think and mean to understand me.

hilo kwako ni Tatizo? kama umefika ukomo wa fikra unatulia tu gentleman, wenye nazo watazitoa kwa hiyari yao šŸ’
Ha ha ha ha. Hiyo English!?!?
 
Watanzania wamejaa tabasamu na furaha kubwa sana katika nyuso zao kwa sasa kuwahi kushuhudiwa.hii yote ni kutokana na matumaini makubwa sana walio nayo kwa Rais Samia.
Si afadhali wennzako waliojaa furaha kuliko wewe uliejaa mavi
 
Ha ha ha ha. Hiyo English!?!?
kwahiyo wewe unafurahia kua confused na English sio 🤣

hii dinunia kweli unachanganya hajulikani ni duara au mviringo...
Lakini hiyo haibadili ukweli wa hoja kwamba upinzani nchini umegonga mwamba kwa kila kitu kwa huyu Dr.Samia Suluhu Hassan, kiongozi wa Tanzania šŸ’
 
Kuna nini?,toka hangaya aseme anapitapita JF naona kama umepata wazimu fulani hivi wa kichawa
wenye mihemko na waporomosha matusi mnajiskia vibaya ee 🤣

ukweli ndivyo ulivyo, ni kuivumilia tu hata kama hutaki, kwamba upinzani nchini umegonga mwamba kabisaaaa dhidi ya Dr Samia Suluhu Hassan na serikali yake šŸ’

wanafanya kazi kwa bidii na kwa kurilax na wananchi wanayaona matokeo yake kwenye maisha yao ya kilasiku šŸ’
 
Una typ ukiw wap , na unalpw posho kias gan
Ni Neema na Baraka za Mungu tu, vinginevyo haiwezekani šŸ’

saivi ndio nataka nitoke shamba, nikapumzike kidogo then baadae nirudi tena jioni, si unajua mavuno tena. Bashe kasababisha mapinduzi ya kilimo mavuno ni Bam Bam šŸ’
 
Hoja zako ni Zaifu sana nimezitia kwenye Dust Bin.
ungezifunga kabisa kwanza kwenye lailoni gentleman 🤣

but ukweli utaelezwa bayana kila fursa itakayopatikana, upende usipende kwamba upinzani nchini umegonga mwamba na hauna la kusema dhidi ya mipango mikakati Dr.Samia Suluhu Hassan kuwaletea waTananzania maendeleo šŸ’
 
Ni kweli kabisa ndio maana wanatekwa na kupigwa risasi za vichwa na kutupwa hifadhini waliwe na fisi!
kwamba kuna jamaa kapigwa risasi ya kichwa ikatokea kwenye taya na anazungumza vizuri tu na vyombo vya habari na juice anazifakamia vizuri tu šŸ’

au ni cable tire alikua anazungumzia?šŸ’
 
but ukweli utaelezwa bayana kila fursa itakayopatikana, upende usipende kwamba upinzani nchini umegonga mwamba na hauna la kusema dhidi ya mipango mikakati Dr.Samia Suluhu Hassan kuwaletea waTananzania maendeleo šŸ’
Sisi CHADEMA bado tunaendelea na Mikutano yetu halafu tunarejea na Maandamano ya AMANI Nchi nzima.

Chura Kiziwi ataongea tu.
 
Ungejua hali ilivyo mtaani, usingesema hayo. Ndio maana CCM hawataki kabisa kubadili katiba. Wanajua.
mtaani unafanya nn gentleman kipindi cha mavuno hiki?šŸ’

mbona mnachezea fursa ndugu zangu? nilipo huweza ona kijana muda huu mtaani wote wanavuna walichopanda mashambani,. waziri wa kilimo Husseni Bashe apewe Maua yake šŸ’
 
upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa..
kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k

hali hii imewapunguza speed sana wapinzani na bilashaka, huenda hivi sasa kwa jinsi walivyopoa, wamejitathimini na wameridhishwa na jitihada za makusudi za Rais alieko madarakani, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, katika nia na azma yake ya kubadili kabisa Tanzania kijamii, kisiasa na uchumi katika msingi wa 4Rs, alizoanzisha Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuild...

hata hivyo kwa wale wapinzani wachache walojaribu kujitutumua nao sijui wamepotelea wapi, baada ya kila attempt wanayojaribu kuitumia kuinfluence wananchi inakosa impact kabisa, dhidi ya nguvu, upendo, ushawishi na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan mioyoni mwa wananchi ..

hii ina maanisha kwamba wananchi nao kwa umoja na mshikamano wao, wamekubali na kuridhishwa na kiongozi huyu, na hatua madhubuti ambazo Dr. Samia Suluhu Hassan, rais anazochukua katika kupanga na kutatua changamoto zao kijamii, kisiasa na kiuchumi ..

waTanzania wanampenda, wanamuamini, wanamkubali na wanamuelewa sana Dr Samia Suluhu Hassan na mipango yake yenye kuleta ahueni na matumaini kwa waliokata tamaa.

wamekosa kabisa sasa vya kupinga. mihemko, hasira na ghadabu zao kwa Dr.Samia Suluhu Hassan zimekua hazina tija na wala haziathiri wala kudhoofisha chochote katika jitihada zake za kuwaletea wananchi maendeleo..

Je, kwa hali hiyo,
unashauri wapinzani wajikite zaidi na uchaguzi wa 2030 au wakomae na huu ujao mwakani, ilimradi bora liende kanyaga twende kukamilisha ratiba na katiba tu?šŸ’
 
Sisi CHADEMA bado tunaendelea na Mikutano yetu halafu tunarejea na Maandamano Nchi nzima.
nadhani mnaiona impact ya Dr Samia Suluhu Hassan kwenye mikutano yenu iliyodorora na kukosa hamasa kabisa šŸ’

unadhani ni kwanini 🤣
 
nadhani mnaiona impact ya Dr Samia Suluhu Hassan kwenye mikutano yenu iliyodorora na kukosa hamasa kabisa šŸ’

unadhani ni kwanini 🤣
Hizi ni Kampeni kuelekea Chaguzi za Serkali za Mitaa ngoja Masika ya Mafuriko yaja. Wala usikonde.
 
Wewe wasema....amelaaniwa kuliko wanawake wote na abdul mzawa wa tumbo lake kalaaniwa tokea sasa vizazi vyote watamwita mlaaniwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240627-211037_Lite.jpg
    Screenshot_20240627-211037_Lite.jpg
    427.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom