Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

kwahiyo unafurukutwa moyoni na kukereketwa akilini na unajitokeza kulaumu tu bila kua na fikra au hoja mbadala dhidi ya ukweli hou kumuhusu Dr Samia Suluhu Hassan dhidi ya Upinzani nchini?🤣
Kwanza unajua Samiah alipo?. Mnajifanya chawa wa Samiah ila ukiulizwa Sasa hivi yupo wapi kimya.
 
kwan kamanda ukikaa kimya na ukatulia tu kuna ubaya wowote?

au kuna changamoto yoyote unapitia dhidi ya hoja yangu na huna fikra mbadala? šŸ’

I speak my mind regardless what you think and mean to understand me.

hilo kwako ni Tatizo? kama umefika ukomo wa fikra unatulia tu gentleman, wenye nazo watazitoa kwa hiyari yao šŸ’
Kataa uchawa, kalime hata nyanya ujisimamie.
 
upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa..
kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k

hali hii imewapunguza speed sana wapinzani na bilashaka, huenda hivi sasa kwa jinsi walivyopoa, wamejitathimini na wameridhishwa na jitihada za makusudi za Rais alieko madarakani, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, katika nia na azma yake ya kubadili kabisa Tanzania kijamii, kisiasa na uchumi katika msingi wa 4Rs, alizoanzisha Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuild...

hata hivyo kwa wale wapinzani wachache walojaribu kujitutumua nao sijui wamepotelea wapi, baada ya kila attempt wanayojaribu kuitumia kuinfluence wananchi inakosa impact kabisa, dhidi ya nguvu, upendo, ushawishi na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan mioyoni mwa wananchi ..

hii ina maanisha kwamba wananchi nao kwa umoja na mshikamano wao, wamekubali na kuridhishwa na kiongozi huyu, na hatua madhubuti ambazo Dr. Samia Suluhu Hassan, rais anazochukua katika kupanga na kutatua changamoto zao kijamii, kisiasa na kiuchumi ..

waTanzania wanampenda, wanamuamini, wanamkubali na wanamuelewa sana Dr Samia Suluhu Hassan na mipango yake yenye kuleta ahueni na matumaini kwa waliokata tamaa.

wamekosa kabisa sasa vya kupinga. mihemko, hasira na ghadabu zao kwa Dr.Samia Suluhu Hassan zimekua hazina tija na wala haziathiri wala kudhoofisha chochote katika jitihada zake za kuwaletea wananchi maendeleo..

Je, kwa hali hiyo,
unashauri wapinzani wajikite zaidi na uchaguzi wa 2030 au wakomae na huu ujao mwakani, ilimradi bora liende kanyaga twende kukamilisha ratiba na katiba tu?šŸ’
 
Attachments

  • VID-20240629-WA0008.mp4
    2.8 MB
Mbona hatokei kwenye midahalo, anatuma watu!!
Midahalo ya Dr.Samia Suluhu Hassan, mara kwa mara huifanya moja kwa moja na wananchi mijini na vijijini, kitaifa na kimataifa...

na hiyo imempa fursa ya kufahamu mengi, kujua mengi na kwakweli kujua mengi ambayo sasa huyaunganisha yote hayo kutoka huko kwa wananchi na kuyatengenezea mipango rasmi ya utekelezaji na hicho ndicho hasa chanzo cha kukubalika na kuaminika sana kwa wananchi hususani wa Tanzania šŸ’

inahitaji mdahalo gani tena hali ya kua unafanya midalalo kila uchwao na wananchi?šŸ’
 
upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa..
kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k

hali hii imewapunguza speed sana wapinzani na bilashaka, huenda hivi sasa kwa jinsi walivyopoa, wamejitathimini na wameridhishwa na jitihada za makusudi za Rais alieko madarakani, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, katika nia na azma yake ya kubadili kabisa Tanzania kijamii, kisiasa na uchumi katika msingi wa 4Rs, alizoanzisha Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuild...

hata hivyo kwa wale wapinzani wachache walojaribu kujitutumua nao sijui wamepotelea wapi, baada ya kila attempt wanayojaribu kuitumia kuinfluence wananchi inakosa impact kabisa, dhidi ya nguvu, upendo, ushawishi na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan mioyoni mwa wananchi ..

hii ina maanisha kwamba wananchi nao kwa umoja na mshikamano wao, wamekubali na kuridhishwa na kiongozi huyu, na hatua madhubuti ambazo Dr. Samia Suluhu Hassan, rais anazochukua katika kupanga na kutatua changamoto zao kijamii, kisiasa na kiuchumi ..

waTanzania wanampenda, wanamuamini, wanamkubali na wanamuelewa sana Dr Samia Suluhu Hassan na mipango yake yenye kuleta ahueni na matumaini kwa waliokata tamaa.

wamekosa kabisa sasa vya kupinga. mihemko, hasira na ghadabu zao kwa Dr.Samia Suluhu Hassan zimekua hazina tija na wala haziathiri wala kudhoofisha chochote katika jitihada zake za kuwaletea wananchi maendeleo..

Je, kwa hali hiyo,
unashauri wapinzani wajikite zaidi na uchaguzi wa 2030 au wakomae na huu ujao mwakani, ilimradi bora liende kanyaga twende kukamilisha ratiba na katiba tu?šŸ’
Kuna post nyingine unaweza ukafungua na ukajuta, nimejikuta nasoma huu upuuzi hadi natukana mwenyewe
 
Kataa uchawa, kalime hata nyanya ujisimamie.
hivi navyoandika reply hii niko shambani, aise mwaka huu waziri wa kilimo Husseni Bashe Lazima tumpe maua yake dah, sio kwa mavuno haya šŸ’

Miaka ya nyuma kwenye ekari 100 tulikua tunavuna in 5 to 7 days tu tumemaliza aise arconding to man power....

this time round ni amezing sana,
with the same man power leo hii siku ya 15 hata ekari 40 hatujamaliza na hiyo ni maize tu bado alizeti šŸ¤“

mapinduzi ya kilimo aliyoyachochea Hussein Bashe yanatushughulisha haswaaa gentleman šŸ’

kilimo cha nyanya kilinipa changamoto kidogo but sijakidharau hata kidogo, nakitafutia time ngoja nimalizane kwanza na kuvuna šŸ’
 
Kuna post nyingine unaweza ukafungua na ukajuta, nimejikuta nasoma huu upuuzi hadi natukana mwenyewe
ndizo fikra mbadala ulizojaza moyoni na akilini,
nadhani ikiwa zinakusaidia zijaze zaidi sasa tena kwa bidii na usonge mbelešŸ’

Lakini kusema ukweli upinzani is no more dhidi ya ushawishi, nguvu na mipango ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa waTanzania šŸ’
 
Ungekaa kimya na wewe kuliko kuwa kero kwa wanadamu wenzako.
yaani ufurukutwe moyo kwa ukweli bayana, ushindwe kujizuia kukaa kimya uje hapa kulalamika?🤣

na hiyo ndio habari ya mjini na vijijini,
wananchi wanahoji wapinzani wanaenda kufanya nini sasa wakati Dr Samia Suluhu Hassan anafanya kazi vizuri na mambo yao yamenyooka?šŸ’
 
actually,
jitahidi uwe walau na fikra mbadala dhidi ya hoja yangu basi, negativity kwa kila kitu nadhan inakufanya dormant zaidi šŸ’

but ukweli Upinzani nchini, completely umegonga mwamba dhidi ya influence ya Dr.Samia Suluhu Hassan vijijini, mijini, kitaifa na kimataifa.

ukweli huo unaupingaje kwa mfano gentleman šŸ’
4R feki
 
Kwanza unajua Samiah alipo?. Mnajifanya chawa wa Samiah ila ukiulizwa Sasa hivi yupo wapi kimya.
umeahishia goli mbali sana, mbona sasa hata havihusiani na hoja 🤣

kwani wew uko wap kwanza labda tuanzie hapo?

binafsi niko shambani muda huu navuna šŸ’
 
Nyie chawa ndo mnarudisha nyuma maendeleo
wananchi wanahoji huko vijijini,
upinzani wanaenda kufanya nini kuwasumbua tu akati Dr Samia Suluhu Hassan anawafanyia mambo mazuri kijamii kisiasa na kiuchumi? šŸ’
 
Kwanza unajua Samiah alipo?. Mnajifanya chawa wa Samiah ila ukiulizwa Sasa hivi yupo wapi kimya.
Akili yako ndo imefika ukomo wa kufikiri, Angalia trend za Kodi, makato, tozo linganisha na kipato cha mwananchi, halafu fikiria tena kuhusu ongezeko la watu na mabadiliko ambayo hata Nyerere alisema. Mwisho Angalia mikakati Sera na mipango, fuatilia utekelezaji. Ukipata majibu njoo tuongee
 
Una undugu na yule jamaa anayejiita Lucas Mobutu seseseko mwashambwa?maana mnafanana uchawa Kwa mama.
 
Back
Top Bottom