NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Sasa ndio wamehalalisha sasa!!Naona upo nje ya mada mkuu. Ulawiti na ubakaji wa Mapadri ni changamoto za mtu binafsi sawa na Shehe au Ostadhi kubaka na kulawiti watoto Madrassa. Hakuhusini na uislam ila ni kwa mtu binafsi na hivyo ulawiti wa Mapadri hauhusiani na Kanisa wala sio justification ya kuruhusu ushoga Kanisani.
Hilo la Ushoga, litaenda leta mpasuko huko Roman na kuinua wana matengenezo wengine kama akina Luther. Kwa Umri wangu wa kuishi duniani na wa kutumika kwangu kanisani na wa kumjua kwangu Mungu, hakuna kitu kisicho na sababu chini ya jua hilo limeachwa hadharani ili lilete matengenezo mapya ndani ya Catholic. Sisi Waprotestant yetu macho mkuu.
Hivi unajua hai wenye hizo tuhuma walipaswa kuondolewa shirikani !?matokeo take mkawaatamia Kwa mbinu Ili kulinda siri za kanisa zisivuje!!?
Hakuna siri kwenye dhambi!!