Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

Ukweli mchungu. Sie tunaona CHADEMA Kama chama Cha siasa, mbowe anaona CHADEMA Kama chama Cha siasa na biashara.... Kumbuka pale Kuna mamilioni ya ruzuku Toka serikalini achilia mbali misaada ya wazungu na michango ya wanachama.. mbowe ni mfanya biashara lakini pia mbowe ni 'mchaga' zingatieni hilo
 
Watanzania ndio wanaotaka mabadiliko sio Mbowe anayejenga mabadiliko.
Watanzania wanataka Demokrasia ijengwe kuanzia Chini mpaka juu.
Mbowe ameinajisi Demokrasia.

Ni bora JPM aendelee kuzuia ujinga huu wa kuandaa vyama vya kiukoo vinavyopaka matope kabila zima la wachaga kwa maslahi ya kakundi ka watu wakiongozwa na Mbowe.
 
Hicho sio chama ni biashara ya Mtei. Hivi kweli kama ni chama kipengele cha ukomo wa madaraka kinaondoka vipi bila kupitishwa na wajumbe ?
Mimi nasubiri Pale JPM atakapokuwa anaongezewa muda Chadema/Mbowe watapata wapi ujasiri wa kupinga?
Mimi naona Tulilie tu mgombea huru. Watu tunachagua mtu atakaetufaa kweli kuanzia Diwani mpaka Rais.
 
Upo sahihi bidada kwa 100%.
 
Pascal Pascal, TEMEA CHINI, hivi cha kwetu kina hiyo unayoita succession plan? kweli KABISA?
 
Hakuna ubishi na mfano mmoja kama Maalim Seif na CUF. Tokea mwanzo wa cuf mpaka kufukuzwa kwake cuf yeye ndie mgombea wa Uraisi. Hili ni tatizo kubwa kwa vya vya siasa hususan Africa.
 
Hakuna ubishi na mfano mmoja kama Maalim Seif na CUF. Tokea mwanzo wa cuf mpaka kufukuzwa kwake cuf yeye ndie mgombea wa Uraisi. Hili ni tatizo kubwa kwa vya vya siasa hususan Africa.
Aligombea kupitia katiba ya chama chake wala hakuvunja sheria yoyote.

Uchaguzi vijiji na serikali za mtaa uliosimamiwa na serikali yako mbona mliusimamia kipumbavu hivyo?
 

Ukiona vyama vyote vina matatizo ujue tatizo sio vyama ni mfumo. Huwezi kuwa na Chama cha siasa kwa mazingira ya sasa ukafanikiwa. Hatuna mfano wa mafanikio Tanzania. Tanzania practically hatuna demokrasia kwa sasa kwenye muhula huu huu ndiyo ukweli
 

Jamaa nafiki hili aisee!

Linajitia lina moral authority ya kuelekeza vyama cha kufanya!

Wakati msajili anapewa madaraka ya uungu mtu kudhibiti hivi vyama hukuongea chochote!

Wakati sheria zinapitishwa usiku usiku kibabe kudhibiti vyama hasa Chadema hukutoa makala yoyote!

Ndio maana wewe ni kilaza na Jenerali Ulimwengu ni kichwa zaidi yako mara 1000

No matter what you do in journalism,you will always be on the bottom of the Jenerali’s toilet shitting on you!

Such a disingenuous journalist regime’s lip service giver!
 
Huu ujinga upo tz pekee! Mtu anakupa ushauri wa jinsi ya kutoka hapo ulipo wewe unaleta ngonjera eti mbona kule kuko hivi.
Kwahiyo tofauti yenu na ccm iko wapi sasa kama kila Mkiambiwa mnajilinganisha ccm?
Jibu swali kwanza acha mdahalo bwashee
 
majawabu yanatakiwa haraka,
membe anaruhusiwa kuchkua fomu 2020?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…