Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa zidumu fikira za mwenyekiti bado zipo sanaWanabodi,
Hili ni bandiko la maswali yenye facts
NB. Hili ni bandiko la maswali, kama una majibu ya maswali haya karibu, ukiwa huna, nakushauri jipitie tuu kimya kimya, sio lazima kuchangia kila thread.
- Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?.
- Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani, mfano tunaelekea uchaguzi wa 2020, Chadema ina wabunge wa majimbo ambao wengine wame deliver na wengine hawaja deliver, hivyo uchaguzi wa 2020, wengi wanakwenda kupigwa chini na CCM!. Kwanini hakuna succession plan ya ndani kuwapima kukubalika na kuwapiga chini kabla kwa kusimamisha more able candidates wanaokubalika zaidi?.
- Vingi ya Vyama vya Upinzani, Vina Uongozi wa Kisultani, na sio Chadema pekee, Mzee Cheyo wa UDP, Mrema wa TLP, Lipumba wa CUF, etc. Kwanini hakuna grooming mechanism to groom their future leaders?.
- Hivyo jee hata uongozi wa Mhe. Freeman Mbowe ndani ya Chadema, ni kama Usultani fulani?.
- Jee Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hiyo 18 Dec, ni uchaguzi kweli au ni uchaguzi kiini macho tuu?, kama utakavyokuwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, tayari mshindi anajulikana!. Hivyo ni uchaguzi wa kukamilisha tuu taratibu kuonekane demokrasia amechukua mkondo wake? au ni uchaguzi kweli?.
- Kuna msemo, " no one is indispensable", no matter how good one is, huwa anafikia kiwango cha mwisho wa uwezo wake, ndio maana katiba unaweka ukomo wa uongozi, hata katiba ya Chadema ya 1992 ilikuwa na kipengele hicho, kwenye katiba ya 2006, kipengele hicho cha ukomo, kiliyeyuka, just vanish into thin air, bila kujadiliwa popote!. Jee kipengele hiki kiliyeyukaje?
- Waliokiweka kipengele hicho kwenye katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao, kwa vile ile katiba ya 2006 kipengele hicho hakikuondolewa, bali kilijiondokea tuu chenyewe, kuondoka huku kwa kipengele hicho kuna maana gani kwa Chadema?.
- Je ni kwa kutokuwepo kwa kipengele hicho, cha ukomo ndiko kunatoa fursa ya usultani kwenye uongozi wa vyama vya siasa yenye Usultani, Jee Chadema nacho ni chama cha kisultani?, kuna Usultani?.
- Mkimfanyia Mhe. Mbowe a quick assessment tangu alipoitoa Chadema alipoingia kwenye uongozi mpaka hapa alipoifikisha Chadema, jee hakuna kweli wana Chadema wenye kuona mbali ambao wanao ona trends za Mhe. Mbowe kuwa japo amekifanyia mengi, makubwa na mazuri Chadema, lakini pia amefikia kiwango chake cha mwisho wa uwezo wake kwa Chadema kuhitaji kupata fresh blood?.
- Swali la mwisho na la msingi sana ni, jee kuendelea kwa Mhe. Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema, kwenye era hii ya changing political dynamism ya siasa za Tanzania chini ya JPM na CCM imara, Mwendelezo huu wa Uenyekiti wa Mhe. Mbowe, Jee Utakinua Zaidi Chadema kuliko hapo kilipofika, Au Utakiangamiza na sasa Chadema kinaelekea Kwishney?.
Natanguliza shukrani.
Nawatakia Chadema maandalizi mema uchaguzi na wengine wote Jumapili Njema.
Paskali
Rejea
Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Wanabodi, Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!. Miongoni mwa masharti ya usajili wa...www.jamiiforums.com
Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
Wanabodi, Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha katiba ya nchi!, hii thread ni ya swali tuu, Hivi Chadema ilivyo, bado haijakabidhiwa nchi, inatoa...www.jamiiforums.com
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema...www.jamiiforums.com
Akikujibu ni tagBenard Membe atarusiwa kuchukua fomu 2020 kugombea nafasi ya Urais?
Kuna tofauti ndogo Sana Kati ya NAZI party na CCM party ......
Benard Membe atarusiwa kuchukua fomu 2020 kugombea nafasi ya Urais?
Poor observation! Hivi huwezi hata siku moja kujenga hoja bila kuongoza ukabila! Najua upo kwa special mission ya kuchochea vurugu za ukabila kwani vurugu zinaru kwenye veins zako wewe mrundi! Na utateseka Sana kuikamilisha hiyo kazi ya kuchochea ukabila na vurugu kwani hutoikamilisha!Hii ni inconvenient truth!
Mbowe ni Kiongozi wa kimila, chadema ni zaidi ya Chama cha Siasa, hiyo iko kihistoria. Wachaga ( Machame + Marangu) wanasapoti chadema shauri ya Mbowe + Mtei ambao kwao ni Chief, Mbowe akitoka na chadema kwishney kwani Wachaga (karibia wote ) watatoka pia.
Ni kama ilivyokuwa CUF na Waislamu ndivyo ilivyo chadema na Wachaga, bila ya Waislamu hakuna CUF, huo ndio ukweli hata kama hamuutaki.
Tofautisha L na R ili ueleweke vyema! Kilaza usiyejua kuandika kwa ufasaha!Kuwambia chadema ukweli lazima utukanwe sijui kama walisha ambiwa matusi ndio hoja au ndio suruhisho la tatizo lao
Paskali unashangaza sana hivi kweli hujui vyama vya upinzani vinapitia nini?Mikutano vimezuiwa ila CCM inafanya,kesi ndio mikutano ya vyama vya upinzani kila Mkoa,wilaya wapinzani wako Mahakamani,wengine wamefungwa kwa kuonewa,polisi na wapinzani wanafukuzana,Tume Uchaguzi ,na Wakurugenzi ndio hao,watendaji kata wanakimbia na fomu yote hayo huyaoni?,Paskali,
Usife moyo endelea huenda ukakumbukwa. Ila nasikitika kusema; Kama unataka kweli kujijenga mwambie wa kwetu asiogope kivuli. Weshamwambia CDM iko ICU hivyo asihofu anayepumulia mashine. Wala asiuondoe mpira wa pumzi bali ajiendee uwanjani aweke uchaguzi huru aone kama kuna taahira atakayekichagua chama kinachopumulia mashine.
Kinyume cha hapo, yu people are just living a wishful thinking life. Chama kongwe hivyo haklifai kuyaishi maisha hayo tena. Mwambiye aweke mpira kati na refa makini ajipime mwenyewe. Hamtakuwa na mithali hizi humu JF.
Kabisa mkuu kumbe tupo woteLeo umeamka na matatizo yako, ngoja nikuache usije ukaniharibia siku yangu
Taratibu za MTU kutoka upinzani kuamia ccm kupewa nafasi ya ubunge instantly plus uwaziri, chadema na ccm hakuna wa kumcheka mwenzakeSio kweli mkuu, wenyeviti wote wa CCM wanakuwepo katika uongozi kwa miaka isiyozidi kumi. CCM inao uwezo wa kwenda na wakati kwani inaheshimu taratibu inazojiwekea.
CHADEMA kuna mambo mengi ya kuzungukana, mnaongea mkicheka pamoja lakini ukiwapa mgongo watu wanaanza masengenyo ndani ya muda huo huo.
Umeongea point bila ya kuegemea upande wowote, ukiangalia jinsi mpinzani anahamia ccm na kupewa nafas ya kugombea unagundua Luna tatizo mahali, Kwa hy ccm hawawez tupia chadema lawama wote wanafananaKama issue ya msingi ni succession plan basi ni Tatizo kote hata CCM. Kwa maoni yangu ulitakiwa ulizungumzie zaidi ndani ya CCM kuliko upinzani kwa kuwa CCM wameng"ang'ania na kuhodhi madaraka hali ambayo imeadhiri mafanikio na maendeleo ya nchi kwa kila hali.
Mifano mdogo tu.... Kama CCM Wangekuwa na succession plan mtu kama Polepole asingekuwa hapo alipo, Bashiru asingekuwa Katibu Mkuu na huenda No. 1 wa sasa na aliyepata wasingetatanua kwenye lile jumba jeupe.
Sumaye akiwa chairman ataunga mkono juhudiKama mazingira ndani ya chadema hayako sawa je hao wa nje ya chama watawapa mazingira sawa
Sumaye
Mwambe
Wameonyesha njia
Na wame adhibiwa tayari