Hata ije tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itashinda kwa kishindo tu, Sasa nyie huwa mnawaza Nani awaunge mkono wakati hata Sera zenu hazielewek
Wewe usiyemuoga mbona hukuitikia wito wa Lisu kuandamana
Kwani huko Kenya hujasikia Raila Odinga akilalamika? Hukuona hata wajumbe kadhaa wakitofautiana na chebukati na kusema kuwa alijitangaza matokeo mwenyewe?Mngekuwa na imani hiyo kwa wananchi tusingeona miaka yote kutegemea tume inayomtii mwenyekiti wa CCM. Kenya hapo tumeona tume huru, huko hujasikia chama kinapita bila kupingwa, au polisi kubeba maboksi ya kura za chama tawala ili watangazwe washindi.
Kwani huko Kenya hujasikia Raila Odinga akilalamika? Hukuona hata wajumbe kadhaa wakitofautiana na chebukati na kusema kuwa alijitangaza matokeo mwenyewe?
Mahakama hizo hizo si ndio huwa mnashinda kesi zenu? Au Uhuru wa mahakama upo pale mnaposhinda tu kesi zenu lakini mkishindwa zinakuwa siyo huru tenaKulalamika ni haki ya mtu yoyote, na uzuri kwao unaweza kwenda mahakamani na mahakama yao ni huru. Alikwenda mahakamani na huko akashindwa kwa haki. Je hapa hayo yapo, kuna mahakama huru?
Mahakama hizo hizo si ndio huwa mnashinda kesi zenu? Au Uhuru wa mahakama upo pale mnaposhinda tu kesi zenu lakini mkishindwa zinakuwa siyo huru tena
ubaya wa watz hawafanani kimawazo mkuu...Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha , Ni Rahisi Sana kuumaliza, kuudhoofisha , kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya Jambo fulani, Hii Ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa hisia za watanzania, hauna vitu vyenye kugusa maisha ya Watanzania hasa wanyonge Kama ifanyavyo CCM miaka yote kuwagusa watanzania wanyonge,
Upinzani wa Tanzania Ni Kama mkanda uliokatika katika ambao hauwezi kupita kwenye rukusi na kufunga suluali, Hauna unachokisimamia Wala kupigania, hauna malengo ya muda mfupi wa Kati na muda mrefu, Hauna hata mikakati ya miaka mitano, Hata kuandaa mgombea Urais tu hauwezi, maana Ni upinzani unakwenda na mdundo wa vijana wake, Ni upinzani unaokwenda kimizuka, Ni upinzani unaokwenda kiharakati harakati kwa kila Jambo, Ni upinzani ambao hauelewi unataka Nini na unapigania Nini zaidi ya kuona kapu la Ruzuku yao likituna,
Ni upinzani unaodaka na kusubili vimatukio vya mpito tu ili uende navyo, Ndio sababu tukio likizimwa kimaridadi na serikali hii shupavu ya mama Samia unaona nao wanapoteana na kuzima, kwa hiyo Ni Rahisi Sana kuwachezesha ngoma wanachama wa kawaida Hadi Mwenyekiti wao Taifa Ndugu Mbowe
Hapa ndipo Rais wetu mpendwa Mama Samia gwiji wa Siasa, mwana mikakati aliyeiva, kiongozi shupavu, mwanadiplomasia nguli, mwenye macho ya kuona mbali, Sauti na mikono ya kupenya popote, Mwenye Akili kubwa na upeo wa mbali, Mtulivu na mwenye kwenda na muda na kusubiri wakati sahihi, mwenye Shabaha na maono ya Mbali,Anayejuwa mbinu na mikakati ya kiuongozi , Rais aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati, Mwamba usiyoteteleka Wala kuteteleshwa na mtu yoyote yule, Jemedari shupavu aliyefuzu mafunzo ya kila aina, Tumaini na Tagemeo la watanzania aliyewaweza wapinzani na kuwamaliza upinzani ambao siku zote umekuwa ukitegemea vimatukio
Hakika Rais Samia ameuumbua Sana upinzani wa Tanzania, ameonyesha kuwa Tanzania hakukuwa na upinzani Bali wababaishaji waliokuwa wanategemea mianya kupata ajenda zao, Upinzani umeonyesha kuwa ulikuwa Ni Kama mti uliokosa mizizi, Ni gari lisilo na injini japo limepakwa Rangi nje, Ni mwisho wa upinzani Sasa,
Upinzani wa Tanzania Hauta simama Tena, Hautashamiri Tena, Hautatusumbua Tena, Hautaaminika Tena, Hauta kuwa na mvuto Tena, Haitakuwa Kama 2015, Hautatubabaisha Tena, Hautatulaza macho Tena, Hautavuna Tena wanachama wetu, Hautapata Tena wanachama wenye akili na wenye kujitambua, Hakuna Atakaye toa hela zake kuwapa upinzani Tena, Hakuna Atakaye tokwa jasho kuutetea upinzani tena maana ulishatoka katika mioyo ya watanzania, ulishapuuzwa na vijana ambao ndio ilikuwa nguzo yake kuu, ilikuwa ndio ngao yake kuu na Tumaini lake
Lakini Sasa CCM chini ya Nahodha shupavu Rais Samia ,vijana Wana Imani na matumaini makubwa Sana na Rais wetu mpendwa, vijana wameyaelekeza macho yao kwa mama Samia, watanzania wameamua kuwa bega kwa bega na mama Samia, watanzania wameamua kufanya kazi kwa bidii ili kumuunga mkono mama Samia, watanzania wanamuona Rais Samia Kama mama yao, kiongozi wao, mlezi wao, mzazi wao ndio sababu unaona namna mh Rais Samia anavyoheshimima na kila mtanzania, anapendwaa na kukubalika na kila mtanzania, anasikilizwa na kufuatiliwa na kila mtu,
Rais Samia songa mbele mama yetu,chapa kazi ,tutumikie watanzania, tuhudumie watanzania, tunakuamini, Tunakutegemea,tuna Imani na wewe, usikatishwe Tamaa na wachache maana tunao kuunga mkono Ni mamilioni ya watanzania, Tunazidi kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,
Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
upinzani tumekaa pale tunakutazamaNdugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha , Ni Rahisi Sana kuumaliza, kuudhoofisha , kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya Jambo fulani, Hii Ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa hisia za watanzania, hauna vitu vyenye kugusa maisha ya Watanzania hasa wanyonge Kama ifanyavyo CCM miaka yote kuwagusa watanzania wanyonge,
Upinzani wa Tanzania Ni Kama mkanda uliokatika katika ambao hauwezi kupita kwenye rukusi na kufunga suluali, Hauna unachokisimamia Wala kupigania, hauna malengo ya muda mfupi wa Kati na muda mrefu, Hauna hata mikakati ya miaka mitano, Hata kuandaa mgombea Urais tu hauwezi, maana Ni upinzani unakwenda na mdundo wa vijana wake, Ni upinzani unaokwenda kimizuka, Ni upinzani unaokwenda kiharakati harakati kwa kila Jambo, Ni upinzani ambao hauelewi unataka Nini na unapigania Nini zaidi ya kuona kapu la Ruzuku yao likituna,
Ni upinzani unaodaka na kusubili vimatukio vya mpito tu ili uende navyo, Ndio sababu tukio likizimwa kimaridadi na serikali hii shupavu ya mama Samia unaona nao wanapoteana na kuzima, kwa hiyo Ni Rahisi Sana kuwachezesha ngoma wanachama wa kawaida Hadi Mwenyekiti wao Taifa Ndugu Mbowe
Hapa ndipo Rais wetu mpendwa Mama Samia gwiji wa Siasa, mwana mikakati aliyeiva, kiongozi shupavu, mwanadiplomasia nguli, mwenye macho ya kuona mbali, Sauti na mikono ya kupenya popote, Mwenye Akili kubwa na upeo wa mbali, Mtulivu na mwenye kwenda na muda na kusubiri wakati sahihi, mwenye Shabaha na maono ya Mbali,Anayejuwa mbinu na mikakati ya kiuongozi , Rais aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati, Mwamba usiyoteteleka Wala kuteteleshwa na mtu yoyote yule, Jemedari shupavu aliyefuzu mafunzo ya kila aina, Tumaini na Tagemeo la watanzania aliyewaweza wapinzani na kuwamaliza upinzani ambao siku zote umekuwa ukitegemea vimatukio
Hakika Rais Samia ameuumbua Sana upinzani wa Tanzania, ameonyesha kuwa Tanzania hakukuwa na upinzani Bali wababaishaji waliokuwa wanategemea mianya kupata ajenda zao, Upinzani umeonyesha kuwa ulikuwa Ni Kama mti uliokosa mizizi, Ni gari lisilo na injini japo limepakwa Rangi nje, Ni mwisho wa upinzani Sasa,
Upinzani wa Tanzania Hauta simama Tena, Hautashamiri Tena, Hautatusumbua Tena, Hautaaminika Tena, Hauta kuwa na mvuto Tena, Haitakuwa Kama 2015, Hautatubabaisha Tena, Hautatulaza macho Tena, Hautavuna Tena wanachama wetu, Hautapata Tena wanachama wenye akili na wenye kujitambua, Hakuna Atakaye toa hela zake kuwapa upinzani Tena, Hakuna Atakaye tokwa jasho kuutetea upinzani tena maana ulishatoka katika mioyo ya watanzania, ulishapuuzwa na vijana ambao ndio ilikuwa nguzo yake kuu, ilikuwa ndio ngao yake kuu na Tumaini lake
Lakini Sasa CCM chini ya Nahodha shupavu Rais Samia ,vijana Wana Imani na matumaini makubwa Sana na Rais wetu mpendwa, vijana wameyaelekeza macho yao kwa mama Samia, watanzania wameamua kuwa bega kwa bega na mama Samia, watanzania wameamua kufanya kazi kwa bidii ili kumuunga mkono mama Samia, watanzania wanamuona Rais Samia Kama mama yao, kiongozi wao, mlezi wao, mzazi wao ndio sababu unaona namna mh Rais Samia anavyoheshimima na kila mtanzania, anapendwaa na kukubalika na kila mtanzania, anasikilizwa na kufuatiliwa na kila mtu,
Rais Samia songa mbele mama yetu,chapa kazi ,tutumikie watanzania, tuhudumie watanzania, tunakuamini, Tunakutegemea,tuna Imani na wewe, usikatishwe Tamaa na wachache maana tunao kuunga mkono Ni mamilioni ya watanzania, Tunazidi kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,
Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
CCM ina baadhi ya watu mizigo sana.
-Hili unalosema ni sahihi kabisa kiongozi hata wale viongozi wakongwe wa chama huwa wanaangalia na kusikitika aina ya vijana walio nao ambao hawafai hata kidogo kukasimishwa madaraka licha ya kupewa kabisa madaraka hayo.CCM ina baadhi ya watu mizigo sana.
Nilikuwa natafuta hoja katika andiko lako ili sijaiona maana umeandika kiujumla jumla Sana, Hata hivyo Tunafanya vyema kubishana kwa hoja maana sote tuna Shabaha ya kuijenga nchi yetu-Hili unalosema ni sahihi kabisa kiongozi hata wale viongozi wakongwe wa chama huwa wanaangalia na kusikitika aina ya vijana walio nao ambao hawafai hata kidogo kukasimishwa madaraka licha ya kupewa kabisa madaraka hayo.
Hii imepelekea nyadhifa hizo kuendelewa kuhodhiwa na watu wale wale kutoka katika nasaba zile zile kwani yamkini hata wazazi wao wamewalea vyema kioungozi na kuwafunda namna bora ya kujenga hoja na kujibu hoja za wakosoaji. hali kadhalika namna ya kuuelezea umma namna chama chao na serikali vimesimamia ilani ya uchaguzi na kusimamia utekelezaji wa mipango ya serikali.
Wimbi kubwa la vijana akiwemo mtoa mada ni kundi la kutumika kusifia hata yasiyofaa kusifia, na kuwavictimize watanzania wengine kwa minajili waonekane ni maadui wa taifa hili na hawalitakii mema taifa ndio mana utaona anaanza mada ya kwamba AMEUSAMBARATISHA UPINZANI na sio AMETEKELEZA WAJIBU WAKE IPASAVYO KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO.
Mstaafu JK aliwahi kuwatahadharisha kuwa hoja hujibiwa kwa hija na sio kwa kutumia nguvu na akawatka wananchi waelezwe na mawaziri juu ya utekelezaji wa mipango ya serikali na wache kutumia polisi.
katika Jamii ya wasomi na waliostaarabika watu wajinga kama hawa wapaswa kuelimishwa na sio kuachwa tu waendeleze ujinga wao, ikishindikana tunawaacha na upumbavu wao; ashakum si matusi
Kimsingi ni kwamba NYANI HAONI KUNDULE; ashakum sio matusi, si rahisi kuona hoja katika andiko langu sababu umejitoa ufahamu kwa kutotazama nimequote wapi kabla ya kuendelea.Nilikuwa natafuta hoja katika andiko lako ili sijaiona maana umeandika kiujumla jumla Sana, Hata hivyo Tunafanya vyema kubishana kwa hoja maana sote tuna Shabaha ya kuijenga nchi yetu
Huyo ni mkebe.Unapoteza muda kumfumda.Bibi kizee hafundwi.Kimsingi ni kwamba NYANI HAONI KUNDULE; ashakum sio matusi, si rahisi kuona hoja katika andiko langu sababu umejitoa ufahamu kwa kutotazama nimequote wapi kabla ya kuendelea.
Kwa mantiki hiyo andiko langu limekulenga wewe na vijana wanaofanana na wewe hivyo umeshinddwa kujiona katika andiko hilo mkuu.
Awali nilikutoa tongo tongo na kweli ukakaa katika nafasi bora kabisa kama kijana mtanzania mfia chama kwa kueleza namna serikali inavyotekeleza majukumu yake; niliyemquote ameelza bayana kwamba ndani ya chama cha mapinduzi kuna vijana mizigo zana ikiwemo wewe mleta mada uliyesababisha akayaandika hayo. Rai yangu ni kwamba ni vyema mkaendelea kujifunza nakuondoa ujinga ndivyo mtakavyokua katika nafasi nzuri ya kuelezea mema ya serikali na kukinandi chama badala ya kujenga mazingira ya kuligawa taifa kisa tu watu wana mitazamo tofauti na ninyi kiitikadi; nao wanafuata katiba na sheria za nchi hii. asante
Endelea tu na matusi mkuu lakini Mimi naendelea kuheshimu Ubinadamu wakoHuyo ni mkebe.Unapoteza muda kumfumda.Bibi kizee hafundwi.
Huna akili kenge weye!Kalale.Endelea tu na matusi mkuu lakini Mimi naendelea kuheshimu Ubinadamu wako
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha , Ni Rahisi Sana kuumaliza, kuudhoofisha , kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya Jambo fulani, Hii Ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa hisia za watanzania, hauna vitu vyenye kugusa maisha ya Watanzania hasa wanyonge Kama ifanyavyo CCM miaka yote kuwagusa watanzania wanyonge,
Upinzani wa Tanzania Ni Kama mkanda uliokatika katika ambao hauwezi kupita kwenye rukusi na kufunga suluali, Hauna unachokisimamia Wala kupigania, hauna malengo ya muda mfupi wa Kati na muda mrefu, Hauna hata mikakati ya miaka mitano, Hata kuandaa mgombea Urais tu hauwezi, maana Ni upinzani unakwenda na mdundo wa vijana wake, Ni upinzani unaokwenda kimizuka, Ni upinzani unaokwenda kiharakati harakati kwa kila Jambo, Ni upinzani ambao hauelewi unataka Nini na unapigania Nini zaidi ya kuona kapu la Ruzuku yao likituna,
Ni upinzani unaodaka na kusubili vimatukio vya mpito tu ili uende navyo, Ndio sababu tukio likizimwa kimaridadi na serikali hii shupavu ya mama Samia unaona nao wanapoteana na kuzima, kwa hiyo Ni Rahisi Sana kuwachezesha ngoma wanachama wa kawaida Hadi Mwenyekiti wao Taifa Ndugu Mbowe
Hapa ndipo Rais wetu mpendwa Mama Samia gwiji wa Siasa, mwana mikakati aliyeiva, kiongozi shupavu, mwanadiplomasia nguli, mwenye macho ya kuona mbali, Sauti na mikono ya kupenya popote, Mwenye Akili kubwa na upeo wa mbali, Mtulivu na mwenye kwenda na muda na kusubiri wakati sahihi, mwenye Shabaha na maono ya Mbali,Anayejuwa mbinu na mikakati ya kiuongozi , Rais aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati, Mwamba usiyoteteleka Wala kuteteleshwa na mtu yoyote yule, Jemedari shupavu aliyefuzu mafunzo ya kila aina, Tumaini na Tagemeo la watanzania aliyewaweza wapinzani na kuwamaliza upinzani ambao siku zote umekuwa ukitegemea vimatukio
Hakika Rais Samia ameuumbua Sana upinzani wa Tanzania, ameonyesha kuwa Tanzania hakukuwa na upinzani Bali wababaishaji waliokuwa wanategemea mianya kupata ajenda zao, Upinzani umeonyesha kuwa ulikuwa Ni Kama mti uliokosa mizizi, Ni gari lisilo na injini japo limepakwa Rangi nje, Ni mwisho wa upinzani Sasa,
Upinzani wa Tanzania Hauta simama Tena, Hautashamiri Tena, Hautatusumbua Tena, Hautaaminika Tena, Hauta kuwa na mvuto Tena, Haitakuwa Kama 2015, Hautatubabaisha Tena, Hautatulaza macho Tena, Hautavuna Tena wanachama wetu, Hautapata Tena wanachama wenye akili na wenye kujitambua, Hakuna Atakaye toa hela zake kuwapa upinzani Tena, Hakuna Atakaye tokwa jasho kuutetea upinzani tena maana ulishatoka katika mioyo ya watanzania, ulishapuuzwa na vijana ambao ndio ilikuwa nguzo yake kuu, ilikuwa ndio ngao yake kuu na Tumaini lake
Lakini Sasa CCM chini ya Nahodha shupavu Rais Samia ,vijana Wana Imani na matumaini makubwa Sana na Rais wetu mpendwa, vijana wameyaelekeza macho yao kwa mama Samia, watanzania wameamua kuwa bega kwa bega na mama Samia, watanzania wameamua kufanya kazi kwa bidii ili kumuunga mkono mama Samia, watanzania wanamuona Rais Samia Kama mama yao, kiongozi wao, mlezi wao, mzazi wao ndio sababu unaona namna mh Rais Samia anavyoheshimima na kila mtanzania, anapendwaa na kukubalika na kila mtanzania, anasikilizwa na kufuatiliwa na kila mtu,
Rais Samia songa mbele mama yetu,chapa kazi ,tutumikie watanzania, tuhudumie watanzania, tunakuamini, Tunakutegemea,tuna Imani na wewe, usikatishwe Tamaa na wachache maana tunao kuunga mkono Ni mamilioni ya watanzania, Tunazidi kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,
Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Kama wewe sio great thinker ni ngumu kunielewa; ndio mana nikatangulia kusema kuwa umehama kutoka facebook ukaja huku great thinkers lakini hutaki kufikiri!Nashindwa kukuelewa na hata mtu mwingine hawezi akakuelewa vizuri unaposena kuwa Ruzuku haikusaidia kushuka kwa Bei ya mafuta, lakini pia lazima ufahamu na utambue ya kuwa nchi inaendeshwa kwa Kodi hivyo huwezi ukaondoa kila Kodi au kila aina ya tozo halafu utegemee usipate athari katika uchumi wako, Lazima kufanyike upembuzi yakinifu na wakiutafiti kuangalia faida na hasara zinazoweza kupatikana endapo uamuzi fulani ukichukuliwa Kama huo unaosema kuwa serikali ingeondoa tozo.serikali ikiona kutakuwa na athari ndipo hapo Ina kuja na mkakati wa kutoa Ruzuku
Sintochoka kufuta ujinga mana ndio kazi yangu Lazima tuwaelimishe nini cha kufanya katika ulimwengu wa sasa ili wasipoacha ujinga wao tutawaacha na upumbavu wao; ashakum sio matusi ni hali ya kutoelewa mambo na kukumbatia njaa iliyoko tumboni na kichwani. Jiulize huyu jamaa tangu asubuhi yupo anajibu hoja tena bila maandiko yenye ushawisshi na mashiko kazi anafanya saa ngapi? Jina lake linasadifu uwezo wake wa kufikiri na kung'amua mambo.Huyo ni mkebe.Unapoteza muda kumfumda.Bibi kizee hafundwi.
Ndio maana vyama vyenu vya upinzani vinakosa muelekeo maana sizani Kama kwa mawazo hayo mnaweza saidia kutoa mawazo ya kuimarisha vyama vyenuLucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
'rukusi" 'suluali,"....
"ruksi" "suruali"
"mwenye macho ya kuona mbali,aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati"
.....mwenye kujua kurembua!
"mwenye Shabaha na maono ya Mbali"
......hadi kuona anapoishi Kigogo14 na kumpa taarifa zote!
Kweli na wewe ...Lukasi Mashamba amekulegezea hadi umenasa kwenye uchawa Duh!......