Upinzani wa Tanzania ni wa vimatukio, Rais Samia ameumaliza kisayansi

Hata ije tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itashinda kwa kishindo tu, Sasa nyie huwa mnawaza Nani awaunge mkono wakati hata Sera zenu hazielewek

Mngekuwa na imani hiyo kwa wananchi tusingeona miaka yote kutegemea tume inayomtii mwenyekiti wa CCM. Kenya hapo tumeona tume huru, huko hujasikia chama kinapita bila kupingwa, au polisi kubeba maboksi ya kura za chama tawala ili watangazwe washindi.
 
Wewe usiyemuoga mbona hukuitikia wito wa Lisu kuandamana

Angejitokeza Magufuli na familia yake wakae mbele, na nyie wanaccm bila mbeleko ya vyombo vya dola kutuzuia. Sisi hatuna silaha. Mngekuja nyie wanasiasa wenzetu tujue mbivu na mbichi. Tungejuwa nani muoga, na asiye muoga.
 
Mngekuwa na imani hiyo kwa wananchi tusingeona miaka yote kutegemea tume inayomtii mwenyekiti wa CCM. Kenya hapo tumeona tume huru, huko hujasikia chama kinapita bila kupingwa, au polisi kubeba maboksi ya kura za chama tawala ili watangazwe washindi.
Kwani huko Kenya hujasikia Raila Odinga akilalamika? Hukuona hata wajumbe kadhaa wakitofautiana na chebukati na kusema kuwa alijitangaza matokeo mwenyewe?
 
Kulalamika ni haki ya mtu yoyote, na uzuri kwao unaweza kwenda mahakamani na mahakama yao ni huru. Alikwenda mahakamani na huko akashindwa kwa haki. Je hapa hayo yapo, kuna mahakama huru?
 
Ni dhahiri upinzani wa kweli aliondoka nao Dr Slaa huu ni ukweli na utabaki kuwa hivyo ingawa wengi hawapendi kuusikia.
 
Kulalamika ni haki ya mtu yoyote, na uzuri kwao unaweza kwenda mahakamani na mahakama yao ni huru. Alikwenda mahakamani na huko akashindwa kwa haki. Je hapa hayo yapo, kuna mahakama huru?
Mahakama hizo hizo si ndio huwa mnashinda kesi zenu? Au Uhuru wa mahakama upo pale mnaposhinda tu kesi zenu lakini mkishindwa zinakuwa siyo huru tena
 
Hatuhitaji kushinda ndio tuone mahakama ziko huru. Uhuru wa mahakama upo kwenye kutenda haki kutokana na ushahidi unaotolewa. Yaani haki sio kwamba leo ushinde kisha wakati mwingine ukubali kushindwa kisa eti kuna siku uliyoshinda.

Huu uhuni wa kusema eti siku mkishinda mnasema iko huru, kwa taarifa yako hatusemi mahakama ziko huru baada ya kushinda, bali huwa tunashangaa zimewezaje kutenda haki wakati hazina utamaduni huo? Ushahidi kuwa mahakama zetu sio huru uko wazi.
 
Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha , Ni Rahisi Sana kuumaliza, kuudhoofisha , kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya Jambo fulani, Hii Ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa hisia za watanzania, hauna vitu vyenye kugusa maisha ya Watanzania hasa wanyonge Kama ifanyavyo CCM miaka yote kuwagusa watanzania wanyonge,

Upinzani wa Tanzania Ni Kama mkanda uliokatika katika ambao hauwezi kupita kwenye rukusi na kufunga suluali, Hauna unachokisimamia Wala kupigania, hauna malengo ya muda mfupi wa Kati na muda mrefu, Hauna hata mikakati ya miaka mitano, Hata kuandaa mgombea Urais tu hauwezi, maana Ni upinzani unakwenda na mdundo wa vijana wake, Ni upinzani unaokwenda kimizuka, Ni upinzani unaokwenda kiharakati harakati kwa kila Jambo, Ni upinzani ambao hauelewi unataka Nini na unapigania Nini zaidi ya kuona kapu la Ruzuku yao likituna,

Ni upinzani unaodaka na kusubili vimatukio vya mpito tu ili uende navyo, Ndio sababu tukio likizimwa kimaridadi na serikali hii shupavu ya mama Samia unaona nao wanapoteana na kuzima, kwa hiyo Ni Rahisi Sana kuwachezesha ngoma wanachama wa kawaida Hadi Mwenyekiti wao Taifa Ndugu Mbowe

Hapa ndipo Rais wetu mpendwa Mama Samia gwiji wa Siasa, mwana mikakati aliyeiva, kiongozi shupavu, mwanadiplomasia nguli, mwenye macho ya kuona mbali, Sauti na mikono ya kupenya popote, Mwenye Akili kubwa na upeo wa mbali, Mtulivu na mwenye kwenda na muda na kusubiri wakati sahihi, mwenye Shabaha na maono ya Mbali,Anayejuwa mbinu na mikakati ya kiuongozi , Rais aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati, Mwamba usiyoteteleka Wala kuteteleshwa na mtu yoyote yule, Jemedari shupavu aliyefuzu mafunzo ya kila aina, Tumaini na Tagemeo la watanzania aliyewaweza wapinzani na kuwamaliza upinzani ambao siku zote umekuwa ukitegemea vimatukio

Hakika Rais Samia ameuumbua Sana upinzani wa Tanzania, ameonyesha kuwa Tanzania hakukuwa na upinzani Bali wababaishaji waliokuwa wanategemea mianya kupata ajenda zao, Upinzani umeonyesha kuwa ulikuwa Ni Kama mti uliokosa mizizi, Ni gari lisilo na injini japo limepakwa Rangi nje, Ni mwisho wa upinzani Sasa,

Upinzani wa Tanzania Hauta simama Tena, Hautashamiri Tena, Hautatusumbua Tena, Hautaaminika Tena, Hauta kuwa na mvuto Tena, Haitakuwa Kama 2015, Hautatubabaisha Tena, Hautatulaza macho Tena, Hautavuna Tena wanachama wetu, Hautapata Tena wanachama wenye akili na wenye kujitambua, Hakuna Atakaye toa hela zake kuwapa upinzani Tena, Hakuna Atakaye tokwa jasho kuutetea upinzani tena maana ulishatoka katika mioyo ya watanzania, ulishapuuzwa na vijana ambao ndio ilikuwa nguzo yake kuu, ilikuwa ndio ngao yake kuu na Tumaini lake

Lakini Sasa CCM chini ya Nahodha shupavu Rais Samia ,vijana Wana Imani na matumaini makubwa Sana na Rais wetu mpendwa, vijana wameyaelekeza macho yao kwa mama Samia, watanzania wameamua kuwa bega kwa bega na mama Samia, watanzania wameamua kufanya kazi kwa bidii ili kumuunga mkono mama Samia, watanzania wanamuona Rais Samia Kama mama yao, kiongozi wao, mlezi wao, mzazi wao ndio sababu unaona namna mh Rais Samia anavyoheshimima na kila mtanzania, anapendwaa na kukubalika na kila mtanzania, anasikilizwa na kufuatiliwa na kila mtu,

Rais Samia songa mbele mama yetu,chapa kazi ,tutumikie watanzania, tuhudumie watanzania, tunakuamini, Tunakutegemea,tuna Imani na wewe, usikatishwe Tamaa na wachache maana tunao kuunga mkono Ni mamilioni ya watanzania, Tunazidi kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,

Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
ubaya wa watz hawafanani kimawazo mkuu...

upinzani tumekaa pale tunakutazama
 
CCM ina baadhi ya watu mizigo sana.
-Hili unalosema ni sahihi kabisa kiongozi hata wale viongozi wakongwe wa chama huwa wanaangalia na kusikitika aina ya vijana walio nao ambao hawafai hata kidogo kukasimishwa madaraka licha ya kupewa kabisa madaraka hayo.

Hii imepelekea nyadhifa hizo kuendelewa kuhodhiwa na watu wale wale kutoka katika nasaba zile zile kwani yamkini hata wazazi wao wamewalea vyema kioungozi na kuwafunda namna bora ya kujenga hoja na kujibu hoja za wakosoaji. hali kadhalika namna ya kuuelezea umma namna chama chao na serikali vimesimamia ilani ya uchaguzi na kusimamia utekelezaji wa mipango ya serikali.

Wimbi kubwa la vijana akiwemo mtoa mada ni kundi la kutumika kusifia hata yasiyofaa kusifia, na kuwavictimize watanzania wengine kwa minajili waonekane ni maadui wa taifa hili na hawalitakii mema taifa ndio mana utaona anaanza mada ya kwamba AMEUSAMBARATISHA UPINZANI na sio AMETEKELEZA WAJIBU WAKE IPASAVYO KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO.

Mstaafu JK aliwahi kuwatahadharisha kuwa hoja hujibiwa kwa hija na sio kwa kutumia nguvu na akawatka wananchi waelezwe na mawaziri juu ya utekelezaji wa mipango ya serikali na wache kutumia polisi.

katika Jamii ya wasomi na waliostaarabika watu wajinga kama hawa wapaswa kuelimishwa na sio kuachwa tu waendeleze ujinga wao, ikishindikana tunawaacha na upumbavu wao; ashakum si matusi
 
Nilikuwa natafuta hoja katika andiko lako ili sijaiona maana umeandika kiujumla jumla Sana, Hata hivyo Tunafanya vyema kubishana kwa hoja maana sote tuna Shabaha ya kuijenga nchi yetu
 
Kimsingi ni kwamba NYANI HAONI KUNDULE; ashakum sio matusi, si rahisi kuona hoja katika andiko langu sababu umejitoa ufahamu kwa kutotazama nimequote wapi kabla ya kuendelea.
Kwa mantiki hiyo andiko langu limekulenga wewe na vijana wanaofanana na wewe hivyo umeshinddwa kujiona katika andiko hilo mkuu.

Awali nilikutoa tongo tongo na kweli ukakaa katika nafasi bora kabisa kama kijana mtanzania mfia chama kwa kueleza namna serikali inavyotekeleza majukumu yake; niliyemquote ameelza bayana kwamba ndani ya chama cha mapinduzi kuna vijana mizigo zana ikiwemo wewe mleta mada uliyesababisha akayaandika hayo. Rai yangu ni kwamba ni vyema mkaendelea kujifunza nakuondoa ujinga ndivyo mtakavyokua katika nafasi nzuri ya kuelezea mema ya serikali na kukinandi chama badala ya kujenga mazingira ya kuligawa taifa kisa tu watu wana mitazamo tofauti na ninyi kiitikadi; nao wanafuata katiba na sheria za nchi hii. asante
 
Huyo ni mkebe.Unapoteza muda kumfumda.Bibi kizee hafundwi.
 
Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha , Ni Rahisi Sana kuumaliza, kuudhoofisha , kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya Jambo fulani, Hii Ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa hisia za watanzania, hauna vitu vyenye kugusa maisha ya Watanzania hasa wanyonge Kama ifanyavyo CCM miaka yote kuwagusa watanzania wanyonge,

Upinzani wa Tanzania Ni Kama mkanda uliokatika katika ambao hauwezi kupita kwenye rukusi na kufunga suluali, Hauna unachokisimamia Wala kupigania, hauna malengo ya muda mfupi wa Kati na muda mrefu, Hauna hata mikakati ya miaka mitano, Hata kuandaa mgombea Urais tu hauwezi, maana Ni upinzani unakwenda na mdundo wa vijana wake, Ni upinzani unaokwenda kimizuka, Ni upinzani unaokwenda kiharakati harakati kwa kila Jambo, Ni upinzani ambao hauelewi unataka Nini na unapigania Nini zaidi ya kuona kapu la Ruzuku yao likituna,

Ni upinzani unaodaka na kusubili vimatukio vya mpito tu ili uende navyo, Ndio sababu tukio likizimwa kimaridadi na serikali hii shupavu ya mama Samia unaona nao wanapoteana na kuzima, kwa hiyo Ni Rahisi Sana kuwachezesha ngoma wanachama wa kawaida Hadi Mwenyekiti wao Taifa Ndugu Mbowe

Hapa ndipo Rais wetu mpendwa Mama Samia gwiji wa Siasa, mwana mikakati aliyeiva, kiongozi shupavu, mwanadiplomasia nguli, mwenye macho ya kuona mbali, Sauti na mikono ya kupenya popote, Mwenye Akili kubwa na upeo wa mbali, Mtulivu na mwenye kwenda na muda na kusubiri wakati sahihi, mwenye Shabaha na maono ya Mbali,Anayejuwa mbinu na mikakati ya kiuongozi , Rais aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati, Mwamba usiyoteteleka Wala kuteteleshwa na mtu yoyote yule, Jemedari shupavu aliyefuzu mafunzo ya kila aina, Tumaini na Tagemeo la watanzania aliyewaweza wapinzani na kuwamaliza upinzani ambao siku zote umekuwa ukitegemea vimatukio

Hakika Rais Samia ameuumbua Sana upinzani wa Tanzania, ameonyesha kuwa Tanzania hakukuwa na upinzani Bali wababaishaji waliokuwa wanategemea mianya kupata ajenda zao, Upinzani umeonyesha kuwa ulikuwa Ni Kama mti uliokosa mizizi, Ni gari lisilo na injini japo limepakwa Rangi nje, Ni mwisho wa upinzani Sasa,

Upinzani wa Tanzania Hauta simama Tena, Hautashamiri Tena, Hautatusumbua Tena, Hautaaminika Tena, Hauta kuwa na mvuto Tena, Haitakuwa Kama 2015, Hautatubabaisha Tena, Hautatulaza macho Tena, Hautavuna Tena wanachama wetu, Hautapata Tena wanachama wenye akili na wenye kujitambua, Hakuna Atakaye toa hela zake kuwapa upinzani Tena, Hakuna Atakaye tokwa jasho kuutetea upinzani tena maana ulishatoka katika mioyo ya watanzania, ulishapuuzwa na vijana ambao ndio ilikuwa nguzo yake kuu, ilikuwa ndio ngao yake kuu na Tumaini lake

Lakini Sasa CCM chini ya Nahodha shupavu Rais Samia ,vijana Wana Imani na matumaini makubwa Sana na Rais wetu mpendwa, vijana wameyaelekeza macho yao kwa mama Samia, watanzania wameamua kuwa bega kwa bega na mama Samia, watanzania wameamua kufanya kazi kwa bidii ili kumuunga mkono mama Samia, watanzania wanamuona Rais Samia Kama mama yao, kiongozi wao, mlezi wao, mzazi wao ndio sababu unaona namna mh Rais Samia anavyoheshimima na kila mtanzania, anapendwaa na kukubalika na kila mtanzania, anasikilizwa na kufuatiliwa na kila mtu,

Rais Samia songa mbele mama yetu,chapa kazi ,tutumikie watanzania, tuhudumie watanzania, tunakuamini, Tunakutegemea,tuna Imani na wewe, usikatishwe Tamaa na wachache maana tunao kuunga mkono Ni mamilioni ya watanzania, Tunazidi kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,

Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

'rukusi" 'suluali,"....
"ruksi" "suruali"

"mwenye macho ya kuona mbali,aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati"
.....mwenye kujua kurembua!

"mwenye Shabaha na maono ya Mbali"
......hadi kuona anapoishi Kigogo14 na kumpa taarifa zote!

Kweli na wewe ...Lukasi Mashamba macho "yamekunasa" hadi "umenasa" kwenye uchawa Duh!......

Kama humu JF kungekuwa na "ID"

Wewe wiki hii ingeisha macho yakiwa bado yamevimba kwa vibao ambavyo ungepewa na watu uliowakera humu kwa uchawa wako huu!

Ungekuwa kama yule jamaa tuliona YouTube akiwa amechomewa nyumba na wananchi shauri ya uchawa na lupelekea wao kuvuniwa nyumba zao na serikali ilhali yake ikibaki salama.
 
Nashindwa kukuelewa na hata mtu mwingine hawezi akakuelewa vizuri unaposena kuwa Ruzuku haikusaidia kushuka kwa Bei ya mafuta, lakini pia lazima ufahamu na utambue ya kuwa nchi inaendeshwa kwa Kodi hivyo huwezi ukaondoa kila Kodi au kila aina ya tozo halafu utegemee usipate athari katika uchumi wako, Lazima kufanyike upembuzi yakinifu na wakiutafiti kuangalia faida na hasara zinazoweza kupatikana endapo uamuzi fulani ukichukuliwa Kama huo unaosema kuwa serikali ingeondoa tozo.serikali ikiona kutakuwa na athari ndipo hapo Ina kuja na mkakati wa kutoa Ruzuku
Kama wewe sio great thinker ni ngumu kunielewa; ndio mana nikatangulia kusema kuwa umehama kutoka facebook ukaja huku great thinkers lakini hutaki kufikiri!
Sisi ndio tuko mtaani tunaopanda daladala na kusafiri mikoani yamkini wewe bado unaishi kwa mjomba; lilipokuja swala la kupanda bei za mafuta watoa huduma za usafiri walipandisha bei mara moja hali iliyochochea kupanda kwa gharama nyingine zote ikiwemo bei za vyakula hasa mafuta ya kula na nafaka; Swali langu kwako baada ya serikali kuinduce hiyo fedha nauli sasa zimeshuka? bei ya mafuta imeshuka? na je gharama za bidhaa na huduma nyingine zimeshuka? jibu unalo wewe; na kukusaidia hiyo fedha iliyoingizwa ingeeda kufidia hilo pengo la tozo ambazo ingepunguzwa na ingeelekezwa moja kwa moja katika sekta husika.

Swala la utafiti na upembuzi yakinifu ni suala la muda mrefu; serikali inapaswa kuwa na mipango ya muda mrefu na muda mfupi pamoja na mipango ya dharura katika kukabiliana na dharura na majanga ; IKO WAPI?

Tuseme serikali ilitoa fedha husika ili kusaidia sekta ya mafuta na hakuna tija iliyopatikana; ipi mikakati ya muda mrefu kukabiliana na janga kama hilo iwapo liatatoea siku za mbeleni? Nimekuandikia pale kwamba Jana OPEC
+ au umoja wa nchi zinazozalisha mafuta duniani ukiongozwa na Saudi Arabia umetangaza kupunguza kiwango cha uzalishaji wa mafuta ili kuiunga mkono Russia katika vita yake dhidi ya Ukraine. Hali hii itaathiri upatikanaji wa mafuta duniani kwa kaisi kikubwa je serikali yako imejipangaje kukabiliana na mabadiliko hayo? usiwe msifiaji tu huku ukwasingizia watu wengine kuwa great thinker katika maswala mazito kama haya ili viongozi wetu wasibweteke.;l
 
Huyo ni mkebe.Unapoteza muda kumfumda.Bibi kizee hafundwi.
Sintochoka kufuta ujinga mana ndio kazi yangu Lazima tuwaelimishe nini cha kufanya katika ulimwengu wa sasa ili wasipoacha ujinga wao tutawaacha na upumbavu wao; ashakum sio matusi ni hali ya kutoelewa mambo na kukumbatia njaa iliyoko tumboni na kichwani. Jiulize huyu jamaa tangu asubuhi yupo anajibu hoja tena bila maandiko yenye ushawisshi na mashiko kazi anafanya saa ngapi? Jina lake linasadifu uwezo wake wa kufikiri na kung'amua mambo.
 
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

'rukusi" 'suluali,"....
"ruksi" "suruali"

"mwenye macho ya kuona mbali,aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati"
.....mwenye kujua kurembua!

"mwenye Shabaha na maono ya Mbali"
......hadi kuona anapoishi Kigogo14 na kumpa taarifa zote!

Kweli na wewe ...Lukasi Mashamba amekulegezea hadi umenasa kwenye uchawa Duh!......
Ndio maana vyama vyenu vya upinzani vinakosa muelekeo maana sizani Kama kwa mawazo hayo mnaweza saidia kutoa mawazo ya kuimarisha vyama vyenu
 
Back
Top Bottom