Upo uwezekano kuwa Lissu alipigwa risasi na wahuni ili Magufuli achafuke

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
 
Mleta mada una uhakika Magu hakuwa mkuu wa wahuni wote wa serikalini na CCM?

Swali rahisi, ni kwanini Magu aliamua kwa hali na mali hao wahuni wasiguswe wala kufuatiliwa chochote?
Akikujibu nitagg

Muongezee na hili! Kwa nini alikataza maombi ya kumwombea Lissu na hata tishirt za kumpa pole Lissu kuvaliwa?
 
Waiteni FBI na CIA wawape msaada kama nyie mmeshindwa
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
 
Mleta mada una uhakika Magu hakuwa mkuu wa wahuni wote wa serikalini na CCM?

Swali rahisi, ni kwanini Magu aliamua kwa hali na mali hao wahuni wasiguswe wala kufuatiliwa chochote?
Magufuli hakuwahi kuwa na mtandao...hiyo ni sifa ya kutobeba wahuni!
Magufuli alitumbua na kunyoosha wahuni wote ndani na nje ya chama.
 
Magufli huyuhuyu ambaye baada ya lisu kipigwa risasi alisema ukiwa unalima ukikutana na nyoka unamkata kichwa unaendelea kulima.
Magufuli huyu huyu ambaye alikataza watu kwenda kumtembelea list
Magufuli huyuhuyu alieyetoa maelekezo lisu avuliwe ubunge wake.
LiMagu lilikuwa shetani na liuuaji likubwa wacha liendelee kuungua huko motoni lilipo.
Jamaa liliharibu sana hii nchi kwa kutumia wapumbavu kama mfungwa sabaya
 
Tukio la Lisu jiwe hakwepi hata sentimeta moja kwasbb:-
--aliizuia Lisu asiombewe na wanachadema, ---- alizuia asichangiwe.
-- alizuia Lisu asipewe stahiki zake kama mbunge.
--alizuia watu kwenda kumtembelea Lisu akiwa amelazwa Nairobi

Mwanaizaya yule afe tena huko aliko.
 
Magufli huyuhuyu ambaye baada ya lisu kipigwa risasi alisema ukiwa unalima ukikutana na nyoka unamkata kichwa unaendelea kulima.
Magufuli huyu huyu ambaye alikataza watu kwenda kumtembelea list
Magufuli huyuhuyu alieyetoa maelekezo lisu avuliwe ubunge wake.
LiMagu lilikuwa shetani na liuuaji likubwa wacha liendelee kuungua huko motoni lilipo.
Jamaa liliharibu sana hii nchi kwa kutumia wapumbavu kama mfungwa sabaya
Una uhakika yupo motoni
 
..kilichomsukuma Magufuli asiitishe uchunguzi ni nini kama hahusiki?

..Na kwanini akazuia serikali na bunge kugharamia matibabu ya Lissu?
inawezekana ni wahuni wale wale!
 
Back
Top Bottom