Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao FBI na CIA wameshindwa kuchunguza yaliyotokea kwenye Capitol Riot wataweza ya Tanzania? Wapambane na hali zao.Waiteni FBI na CIA wawape msaada kama nyie mmeshindwa
Watu wa magufuli mnateseka sasa hiviViashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
inawezekana ni wahuni wale wale!
Mwenyezi Mungu hana visasi, huo ni ujinga.Kikubwa ni kwamba Mungu ndiye aliyempambania Tundu Lissu uhai wake, zaidi Mungu ndiye anayemlipa kisasi cha Lissu
Weka ushahidi, kama huna nyamaza...basi Magufuli ndio sponsor wa wahuni.
..Magufuli na serikali hawawezi kukwepa lawama za kuondoa walinzi area D siku ambayo Lissu alishambuliwa.
Basi ombeni msaada kwa M16Hao FBI na CIA wameshindwa kuchunguza yaliyotokea kwenye Capitol Riot wataweza ya Tanzania? Wapambane na hali zao.
Hao FBI na CIA wameshindwa kuchunguza yaliyotokea kwenye Capitol Riot wataweza ya Tanzania? Wapambane na hali zao.
Mungu hadhihakiwi ipo siku mtatajana tu.Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Mtasema yote, muda ni mwalimu mzuri!Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Sabaya alitumwa na magufuli kuvamia maduka ya watu na kuchukua fedha unalijua hilo wewe mlamba viatu wa lumumba?Magufuli hakuwahi kuwa na mtandao...hiyo ni sifa ya kutobeba wahuni!
Magufuli alitumbua na kunyoosha wahuni wote ndani na nje ya chama.
Nilikimbilia kuusoma huu uzi. Lakini baada ya kumsoma aliyeuleta......mmmmmmmmm.. Nikajiaumu kwa kupoteza muda!Mleta mada una uhakika Magu hakuwa mkuu wa wahuni wote wa serikalini na CCM?
Swali rahisi, ni kwanini Magu aliamua kwa hali na mali hao wahuni wasiguswe wala kufuatiliwa chochote?
Wacha pumba mkuu upo hapa kitambo, sasa huo ndio ushahidi? Tanzania at 60 years bado mnategemea wadhungu? We need to grow up, there is no free lunch...at least Magufuli angewaruhusu FBI waje wachunguze, halafu wakiri kushindwa kuwabaini wahusika.
..kuondoa walinzi wa serikali area D. kukataa uchunguzi. Kumnyima matibabu. Kumchafua ktk vyombo vya habari. Kumvua ubunge. Mambo yote hayo yanaashiria kwamba serikali ya Magufuli inahusika.
Shetani kama lile linaukwepaje moto ebu kuwa siriazi bana.Una uhakika yupo motoni
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Tena kawekewa mkaa wa mawe ili asifurukute!Una uhakika yupo motoni