Upo uwezekano kuwa Lissu alipigwa risasi na wahuni ili Magufuli achafuke

Wacha pumba mkuu upo hapa kitambo, sasa huo ndio ushahidi? Tanzania at 60 years bado mnategemea wadhungu? We need to grow up, there is no free lunch.
Unaachaje kumtegemea mzungu kwa ushahidi huu wa kina kingai kuumaliza upinzani? Matendo yenu ndio chanzo cha raia kuona wazungu wana uchungu zaidi kuliko nyie wakoloni weusi.
 
Unaachaje kumtegemea mzungu kwa ushahidi huu wa kina kingai kuumaliza upinzani? Matendo yenu ndio chanzo cha raia kuona wazungi wana uchungu zaidi kuliko nyie wakoloni weusi.
Matendo yenu na nani? Kwa nini unaniwekea kiremba ambacho sio changu?
 
Wacha pumba mkuu upo hapa kitambo, sasa huo ndio ushahidi? Tanzania at 60 years bado mnategemea wadhungu? We need to grow up, there is no free lunch.

..wachunguzi wetu wa ndani hawaaminiki ndio maana wengine tunaona bora waje wadhungu.
 
Mleta mada mjanja sana ni kama ulilenga kitu fulani na umekipata.
 
..wachunguzi wetu wa ndani hawaaminiki ndio maana wengine tunaona bora waje wadhungu.
60 years bado tupo kule kule - Aibu! Kama nilivyowahi kusema awali, watoto wa watumwa wanatuchelewesha.
 
60 years bado tupo kule kule - Aibu!

..Sio kwamba vyombo vyetu havina maarifa.

..tatizo ni kwamba vyombo vyetu haviaminiki.

..Na katika tukio la Lissu serikali inaonekana haitaki kuchunguza.

..kwa hiyo nakubaliana na wewe kwamba ni AIBU nchi yetu kuwa hivi miaka 60 tangu uhuru.
 
Mleta mada una uhakika Magu hakuwa mkuu wa wahuni wote wa serikalini na CCM?

Swali rahisi, ni kwanini Magu aliamua kwa hali na mali hao wahuni wasiguswe wala kufuatiliwa chochote?
Mmojawapo ya wahuni alienda hadi kung'oa CCTV
 
..Sio kwamba vyombo vyetu havina maarifa.

..tatizo ni kwamba vyombo vyetu haviaminiki.

..Na katika tukio la Lissu serikali inaonekana haitaki kuchunguza.

..kwa hiyo nakubaliana na wewe kwamba ni AIBU nchi yetu kuwa hivi miaka 60 tangu uhuru.
Haviaminiki na nani? Labda tuanzie hapo.
 
..hakuna NIA ya kuchunguza.

..tangu mwaka 2017 mpaka leo hakuna aliyehojiwa.

..ndio maana Magufuli na serikali anatuhumiwa kuhusika.
 
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Mbona alizuia Wabunge wa CCM wasiende kumuona Lissu, na akambinya Job amfute Ubunge na kumyima staili zake za mafao ya ubunge
 
Wahuni wamejaza Toilet papers na KY ndani kwao.

Sasa ilishindikanaje Magufuli kufanya uchunguzi?
 
Mleta mada una uhakika Magu hakuwa mkuu wa wahuni wote wa serikalini na CCM?

Swali rahisi, ni kwanini Magu aliamua kwa hali na mali hao wahuni wasiguswe wala kufuatiliwa chochote?
Mh Jaji tunaomba hili swali liingizwe kwenye Kumbukumbu zako za mahakama
 
Mbona alizuia Wabunge wa CCM wasiende kumuona Lissu, na akambinya Job amfute Ubunge na kumyima staili zake za mafao ya ubunge
Hao wajaza KY achana nao. Sasa hivi watamtaka Lissu awasaidie hawatamuona tena. Imekula kwao.
 
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.

Wahuni ndio waliowaelekeza walinzi watoke getini? Wahuni ndiyo walioondoa CCTV camera? Wahuni ndiyo waliozuia uchunguzi kutoka nje usifanyike? Wahuniiii eheee WAPOLOW waporo.
 
Magufuli hakuwahi kuwa na mtandao...hiyo ni sifa ya kutobeba wahuni!
Magufuli alitumbua na kunyoosha wahuni wote ndani na nje ya chama.
Waliompiga risasi Lisu walifanywa nn na Magu
 
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Wahuni waka toa cctv kamera, wahuni wakatoa walinzi wa mchana, wahuni waka kataa kufanya upelelezi, wahuni waka kataa kumlipia matibabu, wahuni waka mfuta ubunge.... Imekaa vizuri maana wahuni ni serikali ya ccm.
 
Back
Top Bottom