Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mbona mpaka leo hao wahuni hawajakamatwa?Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Siyo wahuni sema CHADEMAViashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Kama ni Wahuni kwa nini Jeshi la Polisi halijafungua Jalada Ushiriki wa Mwendazake ndio unawapa Polisi kigugumizi cha Kufungua jalada.Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Wahuni gani hao wasiofahamika mpaka leo ?Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.