Upo uwezekano kuwa Lissu alipigwa risasi na wahuni ili Magufuli achafuke

Magufli huyuhuyu ambaye baada ya lisu kipigwa risasi alisema ukiwa unalima ukikutana na nyoka unamkata kichwa unaendelea kulima.
Magufuli huyu huyu ambaye alikataza watu kwenda kumtembelea list
Magufuli huyuhuyu alieyetoa maelekezo lisu avuliwe ubunge wake.
LiMagu lilikuwa shetani na liuuaji likubwa wacha liendelee kuungua huko motoni lilipo.
Jamaa liliharibu sana hii nchi kwa kutumia wapumbavu kama mfungwa sabaya
Alichokua anafanya magu Ni hasira Ila kwa kijasusi mtu ulietaka auwawe lazima auwawe kwa gharama yoyote Kama ameshakugundua,Ila kwa hili magu alichafuliwa na ilikua kipindi anasimamia sakata la madini
 
Kwa nini hakujisafisha kwa kuruhusu uchunguzi huru wa hilo tukio?
Kwa nini alikataza hata watu kumuombea au kwenda intervenes,
Kwa nini alitoa maelekezo afukuzwe ubunge?
 
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.

LABDA kama haya maneno yanatoka kwa mtu ambaye anatoka Sayari ya PLUTO.

Magufuli kwa maneno yake alisema, ikiwa Tundu lissu atafariki, apelekwe kwao haraka akazikwe, asipelekwe Dar wala Bungeni kuagwa. Baadaye aliagiza anyang'anywe ubunge ili ailipwe mishahara.

Magufuli was a man behind this failed political assassination. Magufuli was a ruthless killer.
 
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Mshaanza kujitaja? Haya wacha inyeshe tuone panapovuja
 
Wacha pumba mkuu upo hapa kitambo, sasa huo ndio ushahidi? Tanzania at 60 years bado mnategemea wadhungu? We need to grow up, there is no free lunch.
Huwezi ku grow up.....kama hata mazingira na jinsi shambulizi dhidi ya lissu lilivyo kuwa handled na serekali havikuelekezi kwenye hitimisho........huku ni kudumaaa!
 
Alichokua anafanya magu Ni hasira Ila kwa kijasusi mtu ulietaka auwawe lazima auwawe kwa gharama yoyote Kama ameshakugundua,Ila kwa hili magu alichafuliwa na ilikua kipindi anasimamia sakata la madini
Alijichafua mwenyewe kwa kuubariki na kuulinda uhuni
 
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Waziri wenu Mollel kwani alisemaje?
 
Wahuni hao wakagoma kusaini ili Lissu asipate stahiki zake.
Wahuni hao wakagoma Lissu asiende kutibiwa nje ya nchi.
Wahuni hao wakamvua Lissu ubunge.

Aisee nyie MaCCM sisi tunamjua muhuni mkuu aliyeamrisha haya mateso kwa Lissu alimaliza safari yake ya hapa duniani mnamo March 2021.
 
Aliye taka kumuua Lissu yeye ndiye kaanza kufa.

Mungu ni fundi.
Na alikuwa anampigia Push Up Rais wa Moyo wangu Lowassa kumuonesha yeye yupo fit huku akijua fika kutokana na Afya yake Lowassa asingeweza kurudisha zile push up!! Jamaa alikuwa na kejeli sana and bully!! Haya leo hii yeye kazikwa and Mzee wangu Lowassa anapiga zake JD tu Masaki/Monduli
 
Lissu alipigwa risasi na kundi la mbowe (wachaga) kwa sababu kubwa 3.
1. Alikuwa anatishia cheo cha uenyekiti.
2. Walipanga kutumia tukio hilo kwenye kampeni ili waonewe huruma na wapiga kura.
3. Kuichafua kwa kuisingizia serikali ya awamu ya 5.
Wale wa inner circle ndani ya chadema wanajua vizuri juu ya hili.
 
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.

Rubbish
 
Huu mchezo ulisukwa kiakili sana! Hata Lisu mwenyewe hadi leo anaamini ni JPM aliagiza apigwe risasi kijinga vile.
Yaani saa saba mchana, eneo la serikali linalolindwa na CCTV Camera, risasi zaidi ya 30.
Wahuni walitaka ushahidi wooote uoneshe serikali inahusika.
Kama kweli JPM alitaka seriously amuue Lisu kuna njia nyingi na more smarter kuliko hiyo waliyoitumia wahuni.
Hata Samia aliwaambia hakuna kazi ya kijinga namna hiyo inaweza kufanywa na serikali.
 
Nani aliondoa CCTV na walinzi?
 
Inawezekana.ila kama ni kweli hao wahuni walikuwa na nguvu kuliko serikali hadi kuzuia uchunguzi usifanyike,
na mh.Lisu kuzuiwa kupata haki zake kama mbunge.
 
Back
Top Bottom