Unaachaje kumtegemea mzungu kwa ushahidi huu wa kina kingai kuumaliza upinzani? Matendo yenu ndio chanzo cha raia kuona wazungu wana uchungu zaidi kuliko nyie wakoloni weusi.Wacha pumba mkuu upo hapa kitambo, sasa huo ndio ushahidi? Tanzania at 60 years bado mnategemea wadhungu? We need to grow up, there is no free lunch.
Matendo yenu na nani? Kwa nini unaniwekea kiremba ambacho sio changu?Unaachaje kumtegemea mzungu kwa ushahidi huu wa kina kingai kuumaliza upinzani? Matendo yenu ndio chanzo cha raia kuona wazungi wana uchungu zaidi kuliko nyie wakoloni weusi.
Wacha pumba mkuu upo hapa kitambo, sasa huo ndio ushahidi? Tanzania at 60 years bado mnategemea wadhungu? We need to grow up, there is no free lunch.
60 years bado tupo kule kule - Aibu! Kama nilivyowahi kusema awali, watoto wa watumwa wanatuchelewesha...wachunguzi wetu wa ndani hawaaminiki ndio maana wengine tunaona bora waje wadhungu.
60 years bado tupo kule kule - Aibu!
Mmojawapo ya wahuni alienda hadi kung'oa CCTVMleta mada una uhakika Magu hakuwa mkuu wa wahuni wote wa serikalini na CCM?
Swali rahisi, ni kwanini Magu aliamua kwa hali na mali hao wahuni wasiguswe wala kufuatiliwa chochote?
Haviaminiki na nani? Labda tuanzie hapo...Sio kwamba vyombo vyetu havina maarifa.
..tatizo ni kwamba vyombo vyetu haviaminiki.
..Na katika tukio la Lissu serikali inaonekana haitaki kuchunguza.
..kwa hiyo nakubaliana na wewe kwamba ni AIBU nchi yetu kuwa hivi miaka 60 tangu uhuru.
Haviaminiki na nani? Labda tuanzie hapo.
Mh Jaji, nakazia hoja ya wakili mwenzangu.Swali rahisi, ni kwanini Magu aliamua kwa hali na mali hao wahuni wasiguswe wala kufuatiliwa chochote?
Mbona alizuia Wabunge wa CCM wasiende kumuona Lissu, na akambinya Job amfute Ubunge na kumyima staili zake za mafao ya ubungeViashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Wahuni wamejaza Toilet papers na KY ndani kwao.Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Mh Jaji tunaomba hili swali liingizwe kwenye Kumbukumbu zako za mahakamaMleta mada una uhakika Magu hakuwa mkuu wa wahuni wote wa serikalini na CCM?
Swali rahisi, ni kwanini Magu aliamua kwa hali na mali hao wahuni wasiguswe wala kufuatiliwa chochote?
Hao wajaza KY achana nao. Sasa hivi watamtaka Lissu awasaidie hawatamuona tena. Imekula kwao.Mbona alizuia Wabunge wa CCM wasiende kumuona Lissu, na akambinya Job amfute Ubunge na kumyima staili zake za mafao ya ubunge
100%Kwa matendo maovu aliyofanya nauhakika kabisa yupo motoni
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Waliompiga risasi Lisu walifanywa nn na MaguMagufuli hakuwahi kuwa na mtandao...hiyo ni sifa ya kutobeba wahuni!
Magufuli alitumbua na kunyoosha wahuni wote ndani na nje ya chama.
Wahuni waka toa cctv kamera, wahuni wakatoa walinzi wa mchana, wahuni waka kataa kufanya upelelezi, wahuni waka kataa kumlipia matibabu, wahuni waka mfuta ubunge.... Imekaa vizuri maana wahuni ni serikali ya ccm.Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.