heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Alichokua anafanya magu Ni hasira Ila kwa kijasusi mtu ulietaka auwawe lazima auwawe kwa gharama yoyote Kama ameshakugundua,Ila kwa hili magu alichafuliwa na ilikua kipindi anasimamia sakata la madiniMagufli huyuhuyu ambaye baada ya lisu kipigwa risasi alisema ukiwa unalima ukikutana na nyoka unamkata kichwa unaendelea kulima.
Magufuli huyu huyu ambaye alikataza watu kwenda kumtembelea list
Magufuli huyuhuyu alieyetoa maelekezo lisu avuliwe ubunge wake.
LiMagu lilikuwa shetani na liuuaji likubwa wacha liendelee kuungua huko motoni lilipo.
Jamaa liliharibu sana hii nchi kwa kutumia wapumbavu kama mfungwa sabaya
Kwa nini hakujisafisha kwa kuruhusu uchunguzi huru wa hilo tukio?Alichokua anafanya magu Ni hasira Ila kwa kijasusi mtu ulietaka auwawe lazima auwawe kwa gharama yoyote Kama ameshakugundua,Ila kwa hili magu alichafuliwa na ilikua kipindi anasimamia sakata la madini
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Yes, yahani akina Magufuli....inawezekana ni wahuni wale wale!
Mshaanza kujitaja? Haya wacha inyeshe tuone panapovujaViashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Huwezi ku grow up.....kama hata mazingira na jinsi shambulizi dhidi ya lissu lilivyo kuwa handled na serekali havikuelekezi kwenye hitimisho........huku ni kudumaaa!Wacha pumba mkuu upo hapa kitambo, sasa huo ndio ushahidi? Tanzania at 60 years bado mnategemea wadhungu? We need to grow up, there is no free lunch.
Mzee naona umeamua kuvaa miwani ya batiMagufuli hakuwahi kuwa na mtandao...hiyo ni sifa ya kutobeba wahuni!
Magufuli alitumbua na kunyoosha wahuni wote ndani na nje ya chama.
Alijichafua mwenyewe kwa kuubariki na kuulinda uhuniAlichokua anafanya magu Ni hasira Ila kwa kijasusi mtu ulietaka auwawe lazima auwawe kwa gharama yoyote Kama ameshakugundua,Ila kwa hili magu alichafuliwa na ilikua kipindi anasimamia sakata la madini
InawezekanaViashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Waziri wenu Mollel kwani alisemaje?Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Ina-
Na alikuwa anampigia Push Up Rais wa Moyo wangu Lowassa kumuonesha yeye yupo fit huku akijua fika kutokana na Afya yake Lowassa asingeweza kurudisha zile push up!! Jamaa alikuwa na kejeli sana and bully!! Haya leo hii yeye kazikwa and Mzee wangu Lowassa anapiga zake JD tu Masaki/MonduliAliye taka kumuua Lissu yeye ndiye kaanza kufa.
Mungu ni fundi.
Unatia aibu mjomba, chutamainawezekana ni wahuni wale wale!
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Huu mchezo ulisukwa kiakili sana! Hata Lisu mwenyewe hadi leo anaamini ni JPM aliagiza apigwe risasi kijinga vile.Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
Nani aliondoa CCTV na walinzi?Huu mchezo ulisukwa kiakili sana! Hata Lisu mwenyewe hadi leo anaamini ni JPM aliagiza apigwe risasi kijinga vile.
Yaani saa saba mchana, eneo la serikali linalolindwa na CCTV Camera, risasi zaidi ya 30.
Wahuni walitaka ushahidi wooote uoneshe serikali inahusika.
Kama kweli JPM alitaka seriously amuue Lisu kuna njia nyingi na more smarter kuliko hiyo waliyoitumia wahuni.
Hata Samia aliwaambia hakuna kazi ya kijinga namna hiyo inaweza kufanywa na serikali.
Akikujibu utanitag Mkuu.Nani aliondoa CCTV na walinzi?