Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

Si leo wala kesho, labda 2035 tutaona kama walichofanya gen z wa kenya.

Kwa sasa tupo kwenye phase ya ushujaa nyuma ya keyboard
🀣 🀣 🀣 πŸ”Š Not in our lifetime Mkuu!!!
 
Mkuu kuhusu muungano kufa, unaota ndoto ya mchana.

Muungano upo sio kwa sababu wazanzibari wanautaka hapana, muungano upo kwa sababu watanganyika wanufaika wanawaogopa wazanzibari!
 
Anayeona udini ndiye mdini mkubwa kwahiyo

Professor Assad aliyekataa uhuni kwenye utawala wa Magufuli alikuwa mdini?

Vipi Zitto lwabwe wa emzi za Magufuli

Watoto wa siku hizi mnaangalia mambo kipumbavu Sana
Inawezekana kakosea.

Lakini umemjuaje huyu mtoto wa siku hizi?
 
Mkuu tusishikane uchawi, shida ipo kwa sisi watanganyika woooooote, watanganyika ni waoga, wanafiki, mazandiki na malofa kweli kweli!!

Mkuu tutulie, maana tumeyataka wenyewe, tumeyakubali na tuyaishi maisha haya jinsi yalivyo!!!

Kelele tupige kujifurahisha na kupoteza muda tu!!!
 
Hizi ni blaa blaa za wasaka vyeo kujaribu kuwa spin watu wasio na uelewa.

Wapi hapa Tanzania hayo uliyouataja hayafanyiki hadi yakifanyika Zanzibar basi iwe mumeibiwa?

By the way ni lini Wazanzibar waliwahi sema wanataka Muungano? Anaewalazimisha si ni CCM? So wasifanye maendeleo Yao Kwa sababu tuu Kuna wapumbavu wachache watasema ni hela zao zinafanya Kwa sababu Rais aliyepo anatokea Zanzibar?

Huwezi kuwa na hoja Kwa kuleta chuki binafsi na hata huyo anaewafanganya hatofanikiwa pamoja na kujinasibisha na Mungu maana Mungu sio wa mmja na sio mnafiki Wala mjinga.

Nataka nione Sasa kwamba Je CCM inakataa Muungano au inataka Kutawala Zanzibar?
 
Mkuu sisi watanganyika hatujielewi kabisaaa. Shida ipo hapa ndio maana ni rahisi kwetu kutembelea reli ya udini!!
 
Ukiangalia mwenendo wa Urais wa Tanzania nashawishika kukubaliana na hoja Kwa sababu Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima kutokee Chokochoko za Wakristo kujifanya hawaridhiki na Uongozi ila wao ndio wanaongiza vizuri wakati kihalisia Huwa wanaharibu sana maisha.

Binafsi hizo dini zenu za Waarabu na Wazungu ni useless kwangu ila Bora hata Waislamu Wana unafuu sana.
 
Ewaaah. !
Hapo Kisu kitakuwa kimegonga mfupa πŸ™ŒπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ !
 
Umemaliza kila kitu Mkuu πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…