mwambie huyo mmama mjinga kweli,lipumbavu kweli hilo ndio nyimbo zake masaa 24,,utasikia mara waislamu wenzake wa gaza,,kumbe nyuma yake umejaa upumbavu tuuWewe habari zako ni za wakristo tu; kwako hakuna nchi inayoitwa Tanzania? Unaishi nchi gani wewe; kuna nchi inaitwa Islam? Iko wapi hiyo?
Maswala yako ya kidini kwanini uyaweke mbele zaidi ya uraia wa nchi yetu wenyewe?
Wakristo wakiondolewa leo Tanzania, hilo litakuridhisha sana wewe na wenzenu mnaoshinda kutwa mkiimba udini humu?
Tumekubali utumwa kwa Katiba.Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!
Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!
Kwa upande uliomama unaweza ukaona ni sahihi Kwa unachofikiri na ndio maana umetoa na mifano kabisa kupigilia msumari katika kile unachoamini ni sahihi.. ila hata huo upande mwingine una mifano yake pia ambayo kama tukiiangalia Kwa namna ulivyoangalia wewe ndio tunaingia rasmi katika mzozano wa udini ambapo Mimi sihitaji kushiriki hilo.Ukiangalia mwenendo wa Urais wa Tanzania nashawishika kukubaliana na hoja Kwa sababu Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima kutokee Chokochoko za Wakristo kujifanya hawaridhiki na Uongozi ila wao ndio wanaongiza vizuri wakati kihalisia Huwa wanaharibu sana maisha.
Binafsi hizo dini zenu za Waarabu na Wazungu ni useless kwangu ila Bora hata Waislamu Wana unafuu sana.
Katiba mpya bora ni muhimu sana 🙌Tumekubali utumwa kwa Katiba.
Mtoa hoja anapotumia dini kama msingi wa kinga ya hoja unategemea nini?Kwa upande uliomama unaweza ukaona ni sahihi Kwa unachofikiri na ndio maana umetoa na mifano kabisa kupigilia msumari katika kile unachoamini ni sahihi.. ila hata huo upande mwingine una mifano yake pia ambayo kama tukiiangalia Kwa namna ulivyoangalia wewe ndio tunaingia rasmi katika mzozano wa udini ambapo Mimi sihitaji kushiriki hilo.
Mtazamo wangu ni kwamba mtu yeyote anapokuja na hoja Fulani tujifunze ku deal na Ile hoja yake lakini badala yake sisi tuna deal na mtoa hoja na hapo ndipo kosa linapoanzia
KabisaEwaaah. !
Hapo Kisu kitakuwa kimegonga mfupa 🙌🤷🏿♂️ !
Kuukataa muungano ni kuikataa ccm. Huu ni uhalisia wala si chuki!Hizi ni blaa blaa za wasaka vyeo kujaribu kuwa spin watu wasio na uelewa.
Wapi hapa Tanzania hayo uliyouataja hayafanyiki hadi yakifanyika Zanzibar basi iwe mumeibiwa?
By the way ni lini Wazanzibar waliwahi sema wanataka Muungano? Anaewalazimisha si ni CCM? So wasifanye maendeleo Yao Kwa sababu tuu Kuna wapumbavu wachache watasema ni hela zao zinafanya Kwa sababu Rais aliyepo anatokea Zanzibar?
Huwezi kuwa na hoja Kwa kuleta chuki binafsi na hata huyo anaewafanganya hatofanikiwa pamoja na kujinasibisha na Mungu maana Mungu sio wa mmja na sio mnafiki Wala mjinga.
Nataka nione Sasa kwamba Je CCM inakataa Muungano au inataka Kutawala Zanzibar?
Tunakusubiri kesho
Mimi naweza kufa lakini wajao nyuma watafukua wajue tatizo lilikoanzia!Mkuu kwa hili utasubiri sana!! Kunywa maji utulize hasira.
he! DNA safi ndiyo ipi tena?gallow bird na wahuni wenzako acha kutafuta njia ya kutugawa. Watanzania siyo wajinga.
Samia na kikwete wake, mlituletea masumu ya chanjo za covid wakati hatukuhitaji. Mmetuharibia gene pool yetu watanzania, nchi ambayo ingekuwa ndo nchi pekee Afrika kuwa na DNA safi. Nyinyi ni washenzi sana.
Ewaaah !Kwa upande uliomama unaweza ukaona ni sahihi Kwa unachofikiri na ndio maana umetoa na mifano kabisa kupigilia msumari katika kile unachoamini ni sahihi.. ila hata huo upande mwingine una mifano yake pia ambayo kama tukiiangalia Kwa namna ulivyoangalia wewe ndio tunaingia rasmi katika mzozano wa udini ambapo Mimi sihitaji kushiriki hilo.
Mtazamo wangu ni kwamba mtu yeyote anapokuja na hoja Fulani tujifunze ku deal na Ile hoja yake lakini badala yake sisi tuna deal na mtoa hoja na hapo ndipo kosa linapoanzia
mwambie mzee wa vijisenti na yule mama wa hela ya mboga wasilimu basi list ikamilikeSasa hivi kinacho onekana waziwazi ni hili kundi la waislam ambao wameamua wazi kabisa kuweka mbele maslahi ya dini yao juu ya utaifa wa nchi yao.
Naona mkuu geto timu ya mitandao mnapanga mashambulizi
Ambayo haijakuwa compromised na mRNA.he! DNA safi ndiyo ipi tena?
Maajabu ni kwamba hao wote kwasasa wapo kimya kama hawaoni vile yanayoendelea.Anayeona udini ndiye mdini mkubwa kwahiyo
Professor Assad aliyekataa uhuni kwenye utawala wa Magufuli alikuwa mdini?
Vipi Zitto lwabwe wa emzi za Magufuli
Watoto wa siku hizi mnaangalia mambo kipumbavu Sana
Mnasomba mali za Tanganyika mnajenga Zanzibar lakini Watanganyika wakae kimya.Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Na ndio maana narudia kile kile kama yeye anatumia kivuli Cha udini hilo ni kosa lake yeye kama yeye na aina ya malezi aliyepewa yeye usiwahusishe wakristo wote..Mtoa hoja anapotumia dini kama msingi wa kinga ya hoja unategemea nini?
Nasisitiza Kwa uzoefu wangu wa Marais waliopita afadhari waislamu kuliko wakristo Sasa na ieleweke wazi natumia hoja hii Kwa sababu ndio dini kubwa mnazo,Mimi pamoja na kubatizwa kwenye dini ya wazee lakini nimehundua dini zenu hizo ni scam na nonsense ila kwa.kuwa.mnazo nitaendelea kujenga hoja na kuchambua Kwa muktadha huo huo wa dini zenu maana hoja zenu mnajifichia huko.
Mbaya zaidi Kuna kipindi Chadomo qalikuwaga na hoja clear tuu baadae taratibu wakaanza kuziwasilisha Kwa identity za kidini,ukabila,ukanda na asili ya mtu.
Mwisho Zingatia neno nafuu
Dini na Udini Udini kwa sasa ndio kichaka cha kujifichia wale waovu waovu wenye kutafuta sympathy kutoka kwa watu wasiokuwa na uwezo wa kuchanganua mambo kwa haraka na kujua nini kinachoendelea !!mwambie mzee wa vijisenti na yule mama wa hela ya mboga wasilimu basi list ikamilike
Sio kosa lake ndio msingi wa kutafuta kuungwa mkono na hoja yake.Na ndio maana narudia kile kile kama yeye anatumia kivuli Cha udini hilo ni kosa lake yeye kama yeye na aina ya malezi aliyepewa yeye usiwahusishe wakristo wote..
Labda nikuulize swali?... Kwa Yale matukio yote ya kigaidi yaliyofanyika unafikiri ni sahihi kuyahusisha na uislam?....
Nafkiri umeshafika mbali katika hicho unachoamini sio rahisi Mimi kubadilisha chochote Kwa kutumia sms Hizi za jamii furums
Thibitisha hili na elezea ni wapi Zanzibar imetumia hela za Bara.Kuukataa muungano ni kuikataa ccm. Huu ni uhalisia wala si chuki!
Tutafika huko very soon.
NB: Yanayofanyika Tanganyika huwezi kuweka kwenye mizania sawa na yanayofanyika Zanzibar.
Kama vipi subiri ripoti za CAG!
Yafanyike Zanzibar kwa fedha zao zipi?
Alafu Mbona huko Tanganyika Wazanzibari wanakwapua kila rasilimali na bado hamuoni ni tatizo?