bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
nani alokwambia kuwa DNA ya watanzania ni safi wakati kila siku munapeleka watoto kwa vaccination? Unajua zile vaccines zinatengenezwa vipi? Zile ni recombinant DNAs.Ambayo haijakuwa compromised na mRNA.
Wakristo tenaa!!Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Kwani ni nani aliyeikataa Rasimu ya Katiba ya Mzee Warioba ??!Mnasomba mali za Tanganyika mnajenga Zanzibar lakini Watanganyika wakae kimya.
Mnauza mali zote za Watanganyika kwa ubabe kama mnavyowafukuza wamasai kwao, bandari, madini, kwa mikataba ya kuwakomoa, wakae kimya.
Mnaajiri wazanzibar hata nafasi zisizo za muungano wakae kimya.
Watanganyika wakija kwenu mnawapiga fimbo na kuwanyanyasa eti wanakula mwezi mtukufu, wakae kimya.
Watanganyika wakiimba nyimbo zao kwenu mnawaita makafiri mnawafukuza kwenye nyumba za kupanga lakini wakae kimya.
Mnanunua ardhi ya Tanganyika mnavyotaka ila kwenu mnawabagua na mmetunga sheria ya kukataza Mtanganyika kutonunua ardhi kwenu lakini wakae kimya.
Ni ujinga, uharamu, na uovu kutumia udini kumuibia mtu/mtanganyika.
Miaka ya nyuma walikazana sana na kero za muungano kila siku kwenye majukwaa nk.
Sasa hivi wanavyojichotea mali za mabwege huwasikii hata kwa bahati mbaya.
Watanganyika sio wapole ila mimi naona majuha, mazezeta mabwege na wasiojitambua
We ni mjinga tena wa asili!.Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Uko sahihi kabisa pengine pole pole anajua utekaji ulianza kipindi Cha magufuli au kingine chochote lakini tukumbuke Kila zama na manabii wake maana yangu ni kwamba katika Kila kipindi kuna watu lazima wasimame na kukosoa na ndio maana hata kipindi cha magufuli alikosolewa na wa Islam na wa kristo pia walimkosoa na kipindi hiki wameibuka pia wakina polepole Gwajima na hata viongozi wa kiislam tumeona video zao wakikemea utekaji pia.Sio kosa lake ndio msingi wa kutafuta kuungwa mkono na hoja yake.
Je unataka uniambie kwamba Polepole hajui kwamba utekaji haujaanza na Samia japo sio hoja ya kuhalalisha?
Polepole hajawahi simamia na kutumikia Serikali ya utekaji?
Ukristo umeingiaje sasa hapa?Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Nilitahadharisha humu long before kwamba tutakapo karibia na Uchaguzi hizi mada za Udini Udini zitashamiri sana humu jf sio kwa bahati mbaya bali ni Deliberately kwa manufaa ya Wakora na majambo yao !We ni mjinga tena wa asili!.
Polepole baada ya Kushindwa kutumia Kwa hoja yake ya kutaka kile alichoita mchakato w ndani ya Chama kukiukwa ndio amehamia huku kwenye utekaji huku akijificha kwenye koti la dini.Uko sahihi kabisa pengine pole pole anajua utekaji ulianza kipindi Cha magufuli au kingine chochote lakini tukumbuke Kila zama na manabii wake maana yangu ni kwamba katika Kila kipindi kuna watu lazima wasimame na kukosoa na ndio maana hata kipindi cha magufuli alikosolewa na wa Islam na wa kristo pia walimkosoa na kipindi hiki wameibuka pia wakina polepole Gwajima na hata viongozi wa kiislam tumeona video zao wakikemea utekaji pia.
Umeandika kama vile unazungumza na watoto wa darasa la nne B, mkuu zunguka huku bara uone viwanja vya ndege vinavyomaliziwa kujengwa muda huu.Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!
Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!
Kiujumla chanjo za utotoni siyo nzuri, ila hizi za mRNA ni mbaya zaidi, kwa sababu zinabadilisha mechanism ya mitochondria.nani alokwambia kuwa DNA ya watanzania ni safi wakati kila siku munapeleka watoto kwa vaccination?
Nafahamu vizuri wanachofanya katika utengenezaji wa vaccines, na hata substances kama Thimerosal (Mercury compound) wanazoziweka ili kuhifadhi vaccines. Niliwahi kueleza hapa kuhusu sifa za mercury na kwanini ni sumu ikiingia mwilini.Unajua zile vaccines zinatengenezwa vipi? Zile ni recombinant DNAs.
Mimi ni mtu mzima, kipindi tunapigwa ndui, hali haikuwa mbaya kama sasa.Si ajabu hata na wewe ulipata chanjo ulipokuwa mdogo, kwa hivyo usijisifu kuwa DNA yako ni safi.
Nineteen poleple aweke baraka katika mji wangu, na atabarikiwa zaidi , binfsi yoyote yule amtegemae Mungu ni rafiki yangu wa kudumu, tukutane juu ya mlima kilimanjaro , tena kileleni kabisa naenda kuchuku code ya kufuta laana katika nchi hii.
N kweli mkuu, ila mbona mbona Gen Z kenya wamejaribu kufanya hata hilo dogoKupambana na mtu mwenye MAHAKAMA, JWTZ, TISS, DEEP STATE, POLISI, BUNGE na MACHAWA unadhani ni rahisi mkuu? Watu wanaotumia nguvu ya mtutu hata panapohitaji dialogue sio rahisi. Ndio maana mtanzania hawezi kutoa pua nje, kifo ni sekunde.
Nyinyi wavaaa Madera hamjawahi kua na akili hata siku Moja. Huna tofauti na taka taka🚮🚮 weweDah, wakristo Wana chuki bana!!
Chuki hadi kwenye meno,tshenzy wakubwa nyinyi, wakati mkoloni anaondoka mlimwaga machoziNyinyi wavaaa Madera hamjawahi kua na akili hata siku Moja. Huna tofauti na taka taka🚮🚮 wewe
(Wasted Sperm)
Daddy kumbe uko sengerema!Watanzania sisi ni wajinga na hatujui kudai haki zetu.
Watu wa sengerema wanapiga pesa za umma tuu kmmae zao
A condom could have prevented this trashChuki hadi kwenye meno,tshenzy wakubwa nyinyi, wakati mkoloni anaondoka mlimwaga machozi
Endelea kubeba msalaba wa chuki,chuki humuumiza aliyeihifadhiA condom could have prevented this trash
Kenya wana rule of law mkuu, huwezi kulinganisha na Tanzania. Yaani wao hata kuruhusu mtu kuandamana wanafanya, njoo mjini Tanzania ujaribu utaniambia.N kweli mkuu, ila mbona mbona Gen Z kenya wamejaribu kufanya hata hilo dogo
Huyu mwamba yuko addicted na udin. Sio ajabu atakuwa mdau wa itikadi za bokho kharamu.Wewe habari zako ni za wakristo tu; kwako hakuna nchi inayoitwa Tanzania? Unaishi nchi gani wewe; kuna nchi inaitwa Islam? Iko wapi hiyo?
Maswala yako ya kidini kwanini uyaweke mbele zaidi ya uraia wa nchi yetu wenyewe?
Wakristo wakiondolewa leo Tanzania, hilo litakuridhisha sana wewe na wenzenu mnaoshinda kutwa mkiimba udini humu?
"Zanzibar should be annexed"Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!
Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!