TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Si baadhi yenu mlisema 'awamu iliyopita' inafanya maendeleo ya vitu na si ya watu!? Mbona Sasa mnaona wivu yakifanywa maendeleo ya vitu sehemu nyingine!? Mjue kwanza mnachokitaka ndipo tutajadili.Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho!
Kaka muda wa kumwaga siri wabaya wa hii nchi kesho usituache njiani
Tunajua sehemu tunazozidai haki zetu hatuzipati mfano lissu anajua kujikwambua kwenye kesi inayomkabili lakini anapambana na system na mihimili yake , watanzania sahivi sio wale sema tunaitafuta haki kwa akili tutafika huko soon kama sehemu za kutolea haki zinaminywaWatanzania sisi ni wajinga na hatujui kudai haki zetu.
Watu wa sengerema wanapiga pesa za umma tuu kmmae zao
Kwa hiyo ujanielewa au unatumia nguza ya uislamu ya unafiki kubisha huu ukweli nilio semaWewe jamaa madini kichwa boksi.
Salimu na samia na Rostam Aziz ni kitu kimoja...wewe ni kipofu tena kwa kumtaja huyo salimu nimekushusha sana daraja huyo ni kundi na wana mtandao na raia feki ni ktu mbaya na waovyo sana sema watanzania amna uoeo wa kutambua watu ...nikaka mbowe...mbowe ni mtu mbaya sana ni zaidi ya idi amini 6...kawawa hakuna kitu ni kwasababu ya nyerere .....nakuakik8shieni hakuna muislamu atakaye kuwa rais na akawa mzalendoHili linatatiza sana; na kweli usipokuwa mwangalifu unaweza kutoa lawama za kijumla jumla namna hii. Uamini wangu ni kuwa wapo waTanzania wenye dini ya kiislamu ambao ni wazalendo kabisa kwa nchi yao.
Unaomba utajiwe ni akina nani?
kiutumisha, jinsi alivyo litumikia taifa hili kwa uelewa wanguSalim Ahmed ni mmoja wao; pamoja na kwamba hakupata fursa ya kuuonyesha uzalendo wake halisi bila ya kuwa chini ya uongozi wa juu yake. Kawawa anasutwa sana na hao waislam wa mlengo unaowazungumzia hapa; akilaumiwa kujitoa kutumikia taifa lake bila ya kujikweza kwa udini wake. Yeye kama Salim hatujui ingekuwaje endapo mazingira yangekuwa ni tofauti wakati wa utumishi wake
Sasa hivi kinacho onekana waziwazi ni hili kundi la waislam ambao wameamua wazi kabisa kuweka mbele maslahi ya dini yao juu ya utaifa wa nchi yao. Wamechukulia nafasi hiyo sasa kuhakikisha wanabaki madarakani waendelee kutimiza lengo lao hilo.
Tanganyika irudi. Hilo ni la kwanza na wala si ombi!Si baadhi yenu mlisema 'awamu iliyopita' inafanya maendeleo ya vitu na si ya watu!? Mbona Sasa mnaona wivu yakifanywa maendeleo ya vitu sehemu nyingine!? Mjue kwanza mnachokitaka ndipo tutajadili.
Labda 2098Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!
Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!
Unajua maana ya uhuni? Ng'ombe wa mama, nchi ya mama,madini ya mama, kenge wa mama nkAnayeona udini ndiye mdini mkubwa kwahiyo
Professor Assad aliyekataa uhuni kwenye utawala wa Magufuli alikuwa mdini?
Vipi Zitto kabwe wa enzi za Magufuli
Watoto wa siku hizi mnaangalia mambo kipumbavu Sana
Hofu si mwaka... Bali ni je, rasilimali zitakuwa zimebaki majini na nchi kavu?Labda 2098
Hawezi kumaliza mbona Mungu yupo na anajua namna ya kuzilindaHofu si mwaka... Bali ni je, rasilimali zitakuwa zimebaki majini na nchi kavu?
Ungeeeza hao "...watanganyika wanufaika..." ni akina nani, ingenisaidia kuelewa unacholenga nikifahamu. Sasa umeniacha bila ya maelezo, na hata hao "wanufaika" sijui wanachonufaika nacho toka kwa wazanzibari.Mkuu kuhusu muungano kufa, unaota ndoto ya mchana.
Muungano upo sio kwa sababu wazanzibari wanataka hapana, muungano upo kwa sababu watanganyika wanufaika wanawaogopa wazanzibari!
Kwani wewe unaogopa nini kuwaambia wasilimu kama ndiyo inayo furahisha moyo wako. Walijitangaza kufanya au kuwa walivyo kwa sababu ya ukristo wao?mwambie mzee wa vijisenti na yule mama wa hela ya mboga wasilimu basi list ikamilike
Speak for yourself, kuna watu wametekwa wameuliwa na wengine wako jela, mashujaa wapo kazini tayari pay attentionSi leo wala kesho, labda 2035 tutaona kama walichofanya gen z wa kenya.
Kwa sasa tupo kwenye phase ya ushujaa nyuma ya keyboard
Lah! hivi ni wewe kweli!Salimu na samia na Rostam Aziz ni kitu kimoja...wewe ni kipofu tena kwa kumtaja huyo salimu nimekushusha sana daraja huyo ni kundi na wana mtandao na raia feki ni ktu mbaya na waovyo sana sema watanzania amna uoeo wa kutambua watu ...nikaka mbowe...mbowe ni mtu mbaya sana ni zaidi ya idi amini 6...kawawa hakuna kitu ni kwasababu ya nyerere .....nakuakik8shieni hakuna muislamu atakaye kuwa rais na akawa mzalendo
ccm ndo wanaung'ang'ania muungano na wanahakikisha hauvunjiki, tutapima vizuri huu utawala wa kizenji ukushaondokaUngeeeza hao "...watanganyika wanufaika..." ni akina nani, ingenisaidia kuelewa unacholenga nikifahamu. Sasa umeniacha bila ya maelezo, na hata hao "wanufaika" sijui wanachonufaika nacho toka kwa wazanzibari.
Kwa hiyo jibu lako hapa halina manufaa yoyote kwangu; na hata kwa wasomaji wengine.
Tueleze kinagaubaga, hao wazanzibari wanawanufaisha na nini hao watanganyika wanufaika.
hao watanganyika wanufaika ndio wametufanya tuwe koloni la Zanzibar?
Ndo tunaisubiri.Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!
Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!