Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

kumbe uko hapa jaman. kweli nilikuweka moyoni sana tena ukajaa but nilikosa ujasiri wa kukuingia ila mungu mwema aisee dah maana niliumia haswaa. kuna siku nilitaka kuvunja ukimya nikaja pm ikagoma. dah bora leo roho yangu imesuzikaa
Pole sana, niko hapa sema yote
 
Mimi nilitoswa mpaka roho ya umauti ikanivaa..

Sahivi sitaki kuwa real tena.

Moyo sukuma damu siyo mapenzi

Unampenda demu jf kumbe naye ana mpenzi wake ,alafu mpenzi wake naye ana mpenzi wake ,na mpenzi wake ana mchepuko ambapo mchepuko wake ni mpenzi wangu..



Sijui mmenielewa lakini..

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tunakuelewa vizuri kabisa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Unampigaje mtu sound;

Haujawahi kumuona,

Sura yake hauijui,

Sauti yake haijui,

Jina lake haulijui,

Kwake haupajui,

Jinsia yake hauijui

Tabia yake hauijui,

Hata ndugu zake hauwajui,

Huko PM unamuambiaje?? Nakupenda?? haya unampendea nini?

Anakukataa, unaumia?? Haya Unaumia kwa kukosa nini?

Hii zaidi ya kubeti kwa kweli,
Aiseee
 
Back
Top Bottom