Upotoshaji wa makusudi dhidi ya wale wanaoitwa machawa kwa kuwa tu wanatofautiana nanyi kifikra

Over 10,000 Tanganyikans brutally massacred
Ndio kama hivyo inavyosemekana,iwe ndio au hapana,sisi tunahusikaje hapo

Our concern ni hili tukio lisitokee tena ndio maana tunawaelimisha vijana hapa

Je shida iko wapi?
 
Here you go again,kuna wakati huwa najiuliza sijui nyie wenzetu uzi unasama tofauti kwenye simu zenu

Tupo hapa kupigania hili tukio la kuandamana lisitokee tena na kuua maelfu au kujeruhi vijana wetu,halafu unakuja na tuhuma zile zile,mna shida pahala sio siri
 
Aluta continua afe beki afe kipa
 
Ebu soma tena maelezo yako upya halafu jiulize kama yanareflect mada husika

Hatukatai kwamba watu waliuwawa

Hatukatai kwamba serikali ilitumia nguvu sana

Hatukatai kuna madhara makubwa yametokea

Haya niambia tatizo letu liko wapi?
 
Ebu soma tena maelezo yako upya halafu jiulize kama yanareflect mada husika

Hatukatai kwamba watu waliuwawa

Hatukatai kwamba serikali ilitumia nguvu sana

Hatukatai kuna madhara makubwa yametokea

Haya niambia tatizo letu liko wapi?
Heading yako babu ndio inabeba ujumbe wote.Soma thematic analysis.Content yako nimesoma sema ukishakosea heading,hivi vingine unakuwa unaleta mikanganyiko isiyokuwa na maana.

Ukishasema kutofautiana fikra maana yake kuna watu ni wafuasi wa mtazamo fulani na wengine wako against.Which is why nikakwambia kuna topic huwa hazina debate(zinabeba ukweli) otherwise ukitaka ku-argue against hizo topic basi unarudi field unakuja na theory yako.Shuleni nilikuwa nawafundisha nini nyie mbona mnaniangusha sasa?

Watu wanapinga vitu vibaya vilivyofanyika,vinavyofanyika au vitakavyofanyika(prediction),then anatokea mtu anakuwa pro-wa hizo harakati za hovyo(akaitwa chawa litakuwa tusi au kosa?)

Shule muhimu sana
 
Hatuwezi kuwalazimisha mtuelewe,kikibwa kwetu tumefikisha ujumbe
 
Kwahiyo heading na sio content ambayo imekufanya useme hayo uliyoyasema
 
Nyie majamaa mnazingua sehemu moja. Hamsikilizi watu wanataka nini.

Watu wanataka utawala bora. Mkitaka muwashawishi kuhusu amani waelezeni hiyo amani italeta vipi utawala bora au kama itapatikana sambamba na utawala bora.
Kwao wao hii serikali hawaikubali, je ukiwaambia kuhusu utawala bora kwa serikali ipi
 
Huu ukweli ndio hawataki kuusikia kabisa,watakuletea lawama kama njia ya kujiweka salama dhidi ya spana
 
Kwahiyo heading na sio content ambayo imekufanya useme hayo uliyoyasema
Ok fine content yako hiko sawa lakini sikuwa nikijibu content yako(heading pekee imetosha kukupa jibu)

Wewe ni mtetezi wa amani hipi ambayo imepotea?Nani kapoteza hiyo amani? na unapotaka hiyo amani ilindwe inalindwa vipi?Nani alikwambia maandamano ni uvunjifu wa amani.Ni yupi mvunjifu wa amani kati ya mwenye bunduki anayefyatua risasi kwa raia au raia walioko majumbani na barabarani?

Kuna vitu hata kama una nia njema lazima usome muktadha unataka nini?Wakati huu tulionao ni busara kukaa kimya au ukiamua kufanya tofauti basi ukubali kila kitu.

Sio wewe tu kuna watu wanasema ni mabalozi wa amani kipindi hiki lakini ukiwauliza amani ambayo mnataka kuwa mabalozi wake inatokana na nini hawajui na inapotea vipi hawajui.Katika mazingira kama haya kutukanwa na kuitwa chawa ni kugusa tu
 
Hivi huwa mnajua tunazungumziaga nini?

Tumesema msiseme Duku Duku lenu dhidi ya serikal?

Tumesema msifuate njia za amani za maandamano kwa mujibu wa sheria?

Mnakwama wapi??
 
Machawa ni wasted sperms tu
 
Ertugrul Bey mimi huwa nawakubali machawa extremist na sadists kama huyu dogo walio na msimamo wazi, nawachukia sana machawa mlio vuguvugu mnaojifanya nyutro lakini mko upande wa wauaji, watekaji na wafiraji kwa sababu mnapotezea watu muda na mnachelewesha mabadiliko.
 
Kama kawaida yenu bango reefu point zero

Ina maana hujui kwanini mnaitwa machawa?
Unajua sifa za mdudu chawa?

Kweli kiazi ni kiazi tu!
 
Imbecile 🖕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…