Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Labda tu nikuweke wazi;wakati jeshi la wananchi wanapita hiyo siku Geita maisha yalikuwa bado yako vizuri watu hawana habari na maandamano.Walau tumepata mtu ambaye anatushughulisha kutokana na hoja Zale
Vijana mnao tukana mna la kujifunza kutoka kwa your home boy
Kwanza umesema huna shida na maandamano maadamu yamefuata utaratibu, safi sana unajitambua, na hilo ndio mabalozi wa amani tunalisisitiza siku zote hapa
Tuje kwenye hoja yako kwamba,kwa nini jeshi lilingia mtaani badala ya polisi ambao ndio Kazi yao ya kulinda raia na mali zao, na ukaweza uzito kwa hoja kwamba inaashia kuhusika kwa jeshi kuhamasisha maandamano
Let me break this for you home boy
Raisi wa jamhuri ya Tanzania mama Samia wakati uchaguzi unakaribia alisema "jeshi liwe tayar kwa uchaguzi:
Je unadhani ilikuwa. Just a statement ,hapana neno la amiri jeshi mkuu ni amri,kwahiyo wanajeshi waliingia mtaani kufuata maagizo ya Amir mkuu
Kwahiyo hoja yako kuhusu kwamba wanajeshi walihamasisha maandamano kwa njia hiyo sio sahihi
Are you following brother?
Huyu jamaa nimemkubali sana ana hoja na mstaarabu na anajitambua,hawa watu binafsi napenda kubattle naoUmeajaribu angalau kuandika kitu
ila ukweli unajulikana na UPO wazi kuwa kitendo cha kuhamasisha taarifa za uongo ndo kilipelekea vijana kuwa na morali ya kutoka hiyo 29/10
Ushahidi huu hapa
Labda tu nikuweke wazi;wakati jeshi la wananchi wanapita hiyo siku Geita maisha yalikuwa bado yako vizuri watu hawana habari na maandamano.
Hao jamaa walipita na kuwapa ishara za kwamba vipi nyie mbona mmepoa;matokeo yake raia wakapata mizuka yao na kilichofata misiba.
Angalia issue ilivyokuwa Dar kabla ya saa tano,then compare na muda uliofuata baada ya JW kuingia barabarani(ni kama walikuwa wanawapa hope wananchi kwamba;we're here,go and do your things)
Sitaki nikueleze habari za Mwanza na kilichotokea kwenye kituo cha kusambaza hii mitungi ya gesi ya kupikia majumbani(inabaki kuwa nilisikia lakini waliokuwepo wanakwambia ni hao JW ndio walikuwa wanafanya motivation)
Mange yupo Marekani,huyu mtoto wa Sarungi yupo sijui Kenya;role yao hapa ni hipi?kutoa taarifa tu?(huu unaweza kuita mchango wa moja kwa moja kwa kilichotokea? unasahau watu waliokuwa field siku hiyo.)
Na kwanini rais atoe alert kabla ya siku ya kupiga kura kwamba jeshi liwe tayari?alikuwa anakusuduia kuchafua hali ya hewa?alikuwa na taarifa kamili kitakachotokea? Au alikuwa na nini?ndio maana nadharia zinazosema huyu rais alikuwa analipiza kisasi kwa kilichotokea Zanzibar kuna muda nazielewa.
Walau tumepata mtu ambaye anatushughulisha kutokana na hoja Zale
Vijana mnao tukana mna la kujifunza kutoka kwa your home boy
Kwanza umesema huna shida na maandamano maadamu yamefuata utaratibu, safi sana unajitambua, na hilo ndio mabalozi wa amani tunalisisitiza siku zote hapa
Tuje kwenye hoja yako kwamba,kwa nini jeshi lilingia mtaani badala ya polisi ambao ndio Kazi yao ya kulinda raia na mali zao, na ukaweza uzito kwa hoja kwamba inaashia kuhusika kwa jeshi kuhamasisha maandamano
Let me break this
Kabla hata ya maandamano ndugu zetu walitekwa na kupotezwa kwa mamia bila hata juhudi zozote za kufuatilia walipo na waliouwawa waliouwawa na nani na hatua ni zipi!Bwashee kwanza tulifikir umekufa kwenye maandamano,bado kidogo nianzishe mchango wa rambi rambi
Hatukatai mauaji yamefanyika,hatukatai nguvu kubwa imetumka na tunalaani kwa nguvu zote
Lakini je yale ýalikuwa ni maandamano ebu tuanzie hapa kwanza?
Babu ee uwe unasoma unaelewa vitu.Usiwe mwepesi wa kufanya conclusion bila kujua kinachosemwa otherwise ntakutukana pia usidhani matusi sijuiWewe haujatofautiana Sana na hawa NYUMBU wa JF Ila wewe ni kuwa unajaribu kuelezea hisia taratibu .
Shida kubwa ya hili jukwaa lina watu Ambao uwezo wa kufanya reasoning ni mdogo Mno.
Issue ya mauji ya 29/10 haikusabishwa na JESHI kusema jeshi lilisababisha ni kuandika uongo ambao hauna mantiki.
SSH alitoa tadhari kuwa akutakuwa na nyinywi , kumbuka SSH ndo boss wa majeshi yote .
Sasa Kama wananchi unaweza ukashindwa kumuamini SSH Ila ukawaami wanajeshi ambao mmekutana Field ?
Kwahiyo tutaendelea kuwalaumu activist na sio jeshi .
Jeshi lilitoa taarifa yake mapema kuelekea 29/10 kuwa halitasapoti Vurugu zozote wala maandamano
Taarifa ya SSH ndo taarifa ya jeshi
Kwahiyo SSH akiongea jambo usifikiri anaongea bure anakuwa anamaanisha.
Nimekuuliza, kwa akili gani ulizonazo mkuu?Msije kurudia kufanya huu mchezo wa kucheza na Maisha ya VIJANA
Mimi Haya Land - au HOV I'm the different person
Nikisema NO ni NO you can't do anything.
MAANDAMANO NDO BASI
Kwanza my brother ujue kitu kimoja kama ulikuwa unachukulia poa mitandao, basi kuanzia sasa ujue sasa hivi duniani kote mitandao ndio nyenzo ya kuchochea mabadiliko,hii inatokana na upatikanaji wa taarifa harakaLabda tu nikuweke wazi;wakati jeshi la wananchi wanapita hiyo siku Geita maisha yalikuwa bado yako vizuri watu hawana habari na maandamano.
Hao jamaa walipita na kuwapa ishara za kwamba vipi nyie mbona mmepoa;matokeo yake raia wakapata mizuka yao na kilichofata misiba.
Angalia issue ilivyokuwa Dar kabla ya saa tano,then compare na muda uliofuata baada ya JW kuingia barabarani(ni kama walikuwa wanawapa hope wananchi kwamba;we're here,go and do your things)
Sitaki nikueleze habari za Mwanza na kilichotokea kwenye kituo cha kusambaza hii mitungi ya gesi ya kupikia majumbani(inabaki kuwa nilisikia lakini waliokuwepo wanakwambia ni hao JW ndio walikuwa wanafanya motivation)
Mange yupo Marekani,huyu mtoto wa Sarungi yupo sijui Kenya;role yao hapa ni hipi?kutoa taarifa tu?(huu unaweza kuita mchango wa moja kwa moja kwa kilichotokea? unasahau watu waliokuwa field siku hiyo.)
Na kwanini rais atoe alert kabla ya siku ya kupiga kura kwamba jeshi liwe tayari?alikuwa anakusuduia kuchafua hali ya hewa?alikuwa na taarifa kamili kitakachotokea? Au alikuwa na nini?ndio maana nadharia zinazosema huyu rais alikuwa analipiza kisasi kwa kilichotokea Zanzibar kuna muda nazielewa.
factWewe haujatofautiana Sana na hawa NYUMBU wa JF Ila wewe ni kuwa unajaribu kuelezea hisia taratibu .
Shida kubwa ya hili jukwaa lina watu Ambao uwezo wa kufanya reasoning ni mdogo Mno.
Issue ya mauji ya 29/10 haikusabishwa na JESHI kusema jeshi lilisababisha ni kuandika uongo ambao hauna mantiki.
SSH alitoa tadhari kuwa akutakuwa na nyinywi , kumbuka SSH ndo boss wa majeshi yote .
Sasa Kama wananchi unaweza ukashindwa kumuamini SSH Ila ukawaami wanajeshi ambao mmekutana Field ?
Kwahiyo tutaendelea kuwalaumu activist na sio jeshi .
Jeshi lilitoa taarifa yake mapema kuelekea 29/10 kuwa halitasapoti Vurugu zozote wala maandamano
Taarifa ya SSH ndo taarifa ya jeshi
Kwahiyo SSH akiongea jambo usifikiri anaongea bure anakuwa anamaanisha.
Bwashee,Kabla hata ya maandamano ndugu zetu walitekwa na kupotezwa kwa mamia bila hata juhudi zozote za kufuatilia walipo na waliouwawa waliouwawa na nani na hatua ni zipi!
Kabla hata ya maandamano hakukua na amani ambayo unaitetea hapa
Je mliomba kibari mkanyimwa??Na polisi huwa wanatoa vibali au sio?
Polisi wa nchi gani hao hata pgo hawaijui..
Wakupaje kibali cha kuandamama km ukikosoa tu bi chura unatekwa?
Wee ni chawa pimbi bog....
Utekaji na watu kukutwa wameuawa ndio amani?Bwashee,
Sote tunajua kwamba utekaji ulikuwepo na bado upo
Pamoja na hayo bado huwezi kùsema hii nchi haina amani
Hatuna vita za wenyewe kwa wenyewe,hatuna fujo au vurugu mpaka kutufanya tuwe wakimbizi au kushindwa kufanya shughuli zetu za kila siku
Tuna amani huo ndio ukweli labda itategèmeaña kwenu nyinyi mnaitafsir vipi amani
Tunapozunguzia amani kwa muktadha wa amani hatuzungumzii kwa matukio machache ambayo yanajulikana kabisa ukifanya hivi matokeo yake ni hayaUtekaji na watu kukutwa wameuawa ndio amani?
Chawa tulia unajiliza nini, wakati mnasema maandamano yalichangiwa na wanaharakati wanaolipwa? Kama kila anayewapinga mnasema kalipwa, ww unakataa vipi watu kuona kuwa mmelipwa kutetea majizi ya ya kura, na wauaji?View attachment 3519938
My people,
Kumekuwa na uelewa mbaya au upotoshaji wa makusudi kuonyesha jamii kwamba sisi watetezi wa amani, tunafurahia Mauji yaliyotokea 29 Oct 25
Guys hivi kweli hata kwa akili tu ya kawaida mnawezaje kuwatuhumu watu jambo kama hili? Hivi mnaamini kwamba tumekosa utu kiasi hiki?
Hapana mnatukosea sana,hata kama mmekosa hoja baada ya kuwapiga spana za kutosha lakini hiyo ni tuhuma mbaya sana,hawa ni ndugu zetu na watanzania wenzetu hatuwezi katu kufikia hiyo stage
Hata pale tunapo sema kwamba ilikuwa move mbaya in the first place kuandamana bado haimaanishi kwamba tunafurahia yale yalitokea
Pili, tunatagiwa kwa hoja za kipuuzi sana, kwani ni nani amesema tunakataa umwagaji damu wa maelfu ya watu,nani amekataa kuwa Serikali ilitumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji?
Maana jinsi mnavyoandika mabandiko yenu kana kwamba mnatu tuhumu kuwa tumepinga au kukataa kwa mambo hayo kutokea,hayo yametokea na wote tunafahamu,kwahiyo muache kutupa tuhuma zisizo na msingi
Tatu,kuna uwongo ambao unasemwa semwa sana na mwisho wa siku unaaminika kwamba ni kweli, si kila mtu ambaye yupo upande tofauti na nyinyi au ana mtazamo tofauti na nyinyi basi atakuwa amekuwa amelipwa hela.
Huu ujinga umeshika kasi sana,wakati mwingine tunaitikia tu kwakuwa ndivyo mnavyoamini hivyo, hiyo serikali ina pesa kiasi gani ya kumlipa kila mtu? Je kuna usalama kiasi gani wa kuonana na mtu au kuwasiliana nae au kumpa namba yako ya simu akuingizie hela.
Jiulize we binafsi hivi kwa mazingira haya unaweza tu kushirikiana na mtu kupush ajenda yake bila kumjua ana malengo gani,je kama ni watu wasiojulikana unaweza tu kuongea nae akakuahidi kukupa hela kuisapoti Ccm au Serikali?
Jibu ni hapana,sasa inakuwaje kila mtu anayetofautiana na nyinyi kifikra basi awe amelipwa na CCM au Serikali?
Ebu tumieni akili hata hizo za kuvukia barabara,kuna wengine wanazo kama hizo na zinawasaidi kureason baadhi ya mambo fulani fulani katika maisha yao ya kila siku
Mwisho kama kila anayesapoti amani na utulivu wa nchi hii ni chawa basi mimi nitakuwa The big Chawa and am Okey with that, do you have a problem with that?
Ni hayo tu!

Hakuna ubishi wanaharakati wa fujo na vurugu wanalipwa na kufadhilwa na mabeberu, sasa kwakwa wao wanakipwa wanadhani nasi tunalipwaChawa tulia unajiliza nini, wakati mnasema maandamano yalichangiwa na wanaharakati wanaolipwa? Kama kila anayewapinga mnasema kalipwa, ww unakataa vipi watu kuona kuwa mmelipwa kutetea majizi ya ya kura, na wauaji?
Si ww ulisema humu humu mtu akiwa mwanaharakati akitweka asilalamike! Sasa kama unaona sawa aliye tofauti na na ww ama serekali ya mauaji, ni kipi kinakulizza watu wakitofautiana na ww?