Upotoshwaji wa mazungumzo ya PLO Lumumba, Lissu - VoA


MATAGA wanajua kupotosha mambo.
 
Kukosa ukomavu wa kisiasa!

Hasira za wapi wewe mpotoshaji?

Tundu Lissu is calm and efficient speaker as always...

Wewe unasumbuliwa na "wivu" kwa Tundu Lissu kwa sbb anamzidi baba yenu Mwendazake kwa yote...

Kama unataka cheo fulani kwa Mama Samia labda ukatibu tarafa au ukatibu kata, andika kwa jina lako halisi...

Kwa sasa, utashindwa kuonekana kwa sababu unatumia jina bandia na hivyo fursa za uteuzi zitakuwa zinakuepa tu...

Maana mwanangu si kwa majungu, propaganda na upotoshaji unaoufanya..
 
Nani amekuambia ninatumia jina la bandia?

PLO Lumumba amesema hasira zitamfanya Tundu Lissu apoteze wafuasi na kubakia na mashabiki wepesi kama wewe ambaye hata mchango wa kumtoa jela Yericko Nyerere hujachanga!
 
Nani amekuambia ninatumia jina la bandia?

PLO Lumumba amesema hasira zitamfanya Tundu Lisu apoteze wafuasi na kubakia na mashabiki wepesi kama wewe ambaye hata mchango wa kumtoa jela Yericko Nyerere hujachanga!

Mimi nilsikiliza mahojiano ya wote wawili Prof. Lumumba na Lissu wakihojiwa na Chaka Ssali; kila mmoja wao alijibu maswali waliyoulizwa kwa ufanisi kama walivyoweza na wote walikuwa watulivu na makini.Tundu ana jambo muhimu la kujifunza toka kwa Prof. Lumumba kama anataka kuondoka kwenye kuwa activist na kuwa mwanasiasa wa kuheshimika na watanzania na sio watu wa nje ya Tanzania.

Tanzania kama nchi ina mila na desturi ambazo wanasiasa lazima kuziheshimu kwani watu wanaowaongoza wanazihesimu mila na desturi hizo. Magufuli ametangulia Mbele ya haki hivyo sio vizuri kutumia lugha ya matusi dhidi yake sio ustaarabu. Marehemu alikuwa na wafuasi wengi sana kama ilivyodhihilika wakati wa msiba wake na hao hao ndio wapiga kura ambao Tundu Lissu atajaribu kuwatongoza kuwa waje kuwa wafuasi wa chama anachokiongoza!! Lakini anapomtukana na kutumia lugha isiyo ya kistaarabu dhidi ya hayati kipenzi chao anazidi kuweka uzio ambao utamzuia kuwashawishi hawa kuwa yeye Tundu Lissu ni kiongozi bora kuliko hayati mpendwa wao na hivyo kuwakosa wafuasi hao. Mwanasiasa mzoefu asingefanya hivyo. Hilo ni somo moja ambalo Prof. Lumumba alimsihi Tundu Lissu ajifunze!!!
 
Mataga wamekuwa kama mbwa koko wanachoweza ni kubweka bweka tu
 
Sijihusishi na vyama vya siasa sina elimu na wala umri mkubwa ila ni dhahiri naipenda nchi yangu kuliko kitu chochote naumia nikiona Tanzania yangu inakwama kwa namna yoyote sifurahishwi na mwenendo wa vyama vyote viwili vikuu lakini naumizwa zaidi na Tundu lissu siasa zake sio za kizalendo na hana matarajio mema na hii nchi hatufai sote hauwez kua mtanzania mwenye mama Tanzania moja uwe na akili za vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…