Upotoshwaji wa mazungumzo ya PLO Lumumba, Lissu - VoA

Ushauri mwanana kabisa!
 
Uongo gani?

Mimi sikuwa na muda wa kumzungumzia Tundu Lisu kwa sababu Maelezo yake ni hayo hayo kila siku.

Nilizungumzia nondo za mbobezi wa sheria Afrika PLO Lumumba!
Hakuna cha ubobezi pale, ni kawaida, sema utumia usanii wake wa maneno mengi yasiyo na sababu kuchanganya na kupotosha wasio na ufahamu wa mambo ya msingi. Mbona nchi yake haitumii ubobezi wake kivile? Nini amefanya nchini kwake?
 
Lissu ni mgonjwa wa akili hamna anayemfatilia.
Utakuwa wewe mwenyewe mgonjwa wa akili. Sababu wewe ni miongoni mwa wanaomfuatilia lakini unasema hakuna anayemfuatilia.
 
Tundu Lissu aliposema body guard wa Magufuli nae ni marehemu hapo ndipo alipo discrédit sources zake za information!!
Ndo utajua bwana yule zjmo au hamnazo. Mwendo wa kuropoka halafu eti aje awe rais wa Tanzania.
 
Masisiyemu yamechanganyikiwa Mtakatifu hatunae
 
Mungu mbariki PLO Lumumba.
Kwakweli hiki ni kichwa.
Utawala wa marehemu, uliingiwa na shetani. Hakuna kiongozi mwenye Roho wa Mungu ambaye anaweza kuua, kuteka na kuwapoteza watu aliotakiwa kuwalinda.

Kwa miaka 5 nchi yetu ilipitia kipindi cha giza. Lakini lililo muhimu ni kuwa hekima ya Mungu siyo ya mwanadamu. Hatuwezi kujua kwa nini Mungu aliruhusu watu wake wateseke, waumizwe, wauawe chini ya utawala wa kidhalimu, na kisha kuuondoa kwa namna ambayo hatukuifikiria. Mungu aendelee kuitwa Mungu, ukuu wake haupimiki, na maamuzi yake hayahojiwi wala kutabirika.

Tunaendelea kuomba, Mungu aijalie nchi kuwa na uongozi mzuri, wala usiwepo wakati tutakapoingizwa kwenye giza kama ilivyotokea.
 
Thanks kwa kubalance hii taarifa iliyopotoshwa sana mitandaoni
itatuchukua muda simwingi watu kuwa wakweli na upendo tulitawanywa kifikra nahata kiupendo mama anaweza tukusanya
 

Mkuu umeandika vyema sana kuliko hawa anaowaita Lissu majasiri au wenye kujitoa ufahamu wanaotaka kutuaminisha visivyo kuwapo. Hawa akina johnthebaptist na wenzao.

La msingi sana kuona mazungumzo yale yalikuwa na utulivu na umakini mkubwa. Sasa hawa ndugu zetu walioishiwa hoja na kuona kulikuwa na hasira wanayaona hayo wapi, kutokea Lumumba?

Au ni ushabiki ushabiki kwa sababu huyu jamaa naye jina lake ni Lumumba?

Mengine uliyoandika wewe ni ufafanuzi wa mawazo yako tu, ambayo ninayaheshimu ila na wewe heshimu mawazo ya wenzio. Ndiyo ustaarabu huo.

Nionacho katika mazungumzo hayo kama Lumumba alipata nafasi ya kusikia alichoongea Lissu, basi atakuwa kajifunza kuwa:

Tanzania kama ilivyo kwa binadamu wengine tunahitaji demokrasia, kuheshimiwa kwa haki za binadamu, kuheshimiwa kwa sheria na katiba.

Zaidi sana atakuwa katambua kuwa tupo tunaoamini kuwa tunawajibika pia kimataifa bila ya kusahau wajibu wetu kuhusiana na ugonjwa wa Corona.

Lumumba atakuwa kajifunza si watanzania wote wenye kukumbatia ushirikina dhidi ya sayansi.

Lumumba atakuwa kajifunza kuwa Tanzania ni ya watanzania wenyewe!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mmoja ameongea kwa hasira sana kila anapolitaja jina la hayati Magufuli!
Mganjaa una shida sana ww. JK inabidi nyie wote awapeleke pale chuo cha ccm kibaha mkafundishwe upya itikadi za ccm og
 
Mganjaa una shida sana ww. JK inabidi nyie wote awapeleke pale chuo cha ccm kibaha mkafundishwe upya itikadi za ccm og
Makamu wa Rais Dr Mpango amewataka wabunge wote wa upande wa pili kujiunga CCM!
 
Mbeligiji, akili zake sio zile tena za kabla ya kujeruhiwa kwake,

Kuna Yule wa awali kabla ya tukio lililotokea makao makuu pale, huyo alikuwa kichwa haswaa!!

Huyu wa leo wa Ubeligiji, ni empty, hamna kitu tena!!!
Yaani ni kama Mandela alivyokuwa anamuongelea Kaburu Pieter Botha, au mzee Jaramog Odinga na Moi hapo Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…