Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

Great thinkers wapozidi kupoteza hapa JF inasikitisha (ngoja nimtetee Kidogo.Unaweza kuta alishaolewagwa au Hata kuzaa au vyote Bht mbaya mi.e akafa au yakamkuta ya kumkuta.Usijifanye Jiniasiiii wa Maisha.Kabla hujafa hujaumbika.Dada vitoto vya JF vinavyosubiri mkopo wa Chuo visikukatishe Tamaa.Kwa jina la Yesu utapata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijafika miak hiyo ila mm pia nahitaj mwanamke kama utaona Ni sawa tukaonan na ku discuss na kuweka mbali miaka itakuw vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilidhani hapa kuna Great thinkers only. Sasa alifiwa au akipata changamoto why asisake mwenzangu what is wrong with that .Hata kama hakufiwa au situation imemkuta with different reason kos gani kafanya ??kaka jiangalie kama kichwani upo vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiliwa wewe Wewe waumia?au mnajuana Na Huyu Dada.Kiukweli unaboa .Sidhani kama umri Ni tatizo Yeye anataka kampani.Na kama Wewe Sio mhusika is better ukaangalie jukwaa la mapishi ukajifunze Hata kupika Vitumbua.Mbona unamkera MTU ambaye hujui Hata mambo yaliyomkuta?au umeitwaa kwa page yake.Bwana subiri mkopo wa Chuo ukikua Ndo uje hapa
Domo zege nenda ukaliwe pension yako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Advice of the year
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fool of the year. HUWA najiulizaga huwa ni Lazima umkere MTU Hata kama hajakukosea.Kwani ungepita kimya ungepungukiwa?Basi hujatembea Wewe wapo wana wake kwa wanaume wenye umri huo Na wanaoana .Research zinaonyesha wazi.Na what's wrong with that anyway.... .foolish little boy
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Vitoto vya JF vimevamia jukwaa.MTU anayokwa povu kama mlrta made alimuulia mama yake Mzazi.Aiseee its a pity. Pia ukosefu wa Elimu.Na ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
What.!!!!!!Jamani kwani kumbe kuchelewa kuolewa Hata kulifiwa au yalikukuta Ni kosa?Ebu achen ujinga
Ulivyokuwa binti umetombesha weee ukawa unatongozwa unaleta nyodo sasa ushakuwa bibi ndo unakumbuka kuolewa.

Pambana na hali yako tu huku mtandaoni hakuna waoaji kuna wasafisha rungu tu.

Sent using Rocket Propelled Grenade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, mbona hajasema chanzo cha upwele wake?
labda ni mjane!
 
Acha kukariri na kuhukumu mkuu, unajuaje kama hiyo 20s yake alikuwa hivyo? Vitu vingine sio lazima kutia kashfa, ukimtakia kheri tu inatosha
 

Sending love.
 
Hivi 43 na 34 zote si sawa tu!!? Hatuwezi kuifanya 34 kuwa 43 kama watu wanabadili mpaka dini!? Ndio tushindwe namba bibie!!


[emoji23]🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…