Upweke umewaanza vijana mapema, Uzeeni sijui itakuwaje. Ni janga kubwa

Unajidanganya!!!

Upo wakati utaelewa na kujishangaa kwa huu utoto,muda ndiyo mwalimu.
Mimi Sipigwi
Zingatia hapo kwenye bold kubwa.

Duniani hakuna ambaye ktk malengo yake alitegemea kupigwa au kujipiga,wewe unaenda kujipiga nakwambia hakuna awezae kushindana na natural ndiyo maana wewe ulitokana na wazazi walioishi pamoja wewe nani leo uwaone hawana akili?
 
Naendelea kutafafuta Pesa
Siyo Binadam wa kumnunua, kumfuga na kutumia pesa zangu

Wapo wanawake wenye pesa zaidi yako ambao huwezi kuwanunua.
Na pia wapo ambao wanamtizamo wa upendo kwa wenza wao.

Najua umeathirika kisaikolojia kutokana na vitasa vya Wadada Wabinafsi ambao ndio wengi(zaidi ya 90%) ni matapeli.
Wao wanataka tuu kunyonya lakini hawataki kunyonywa.

Hayo majizi yakimbie tuu.

Hata huku JF ambako wanasema kuna GT lakini ukiangalia mitazamo ya wanaume na wanawake yote imekaa kitapeli
Angalia wanawake wa humu. Yaani kitu limeenda shule lakini bado linaakili za Watu wa gizani
 
kazi unaitafsiri vipi
 
siyo kwa wanawake hawa wa sasa ambao ni wezi, majambazi na ni matapeli
na wajinga pekee ndiyo watapigwa, siyo mimi

rejea story ya msanii wa Nigeria, Ibu
bado hamjifunzi ?
Ukiingia maisha ya msanii wakati wewe ni raia wa kawaida huu mfano ni illogical,jiishi wewe mwenyewe,fanya wewe mwenyewe.

By the way mkuu,maisha ni yako sisi tunaelekezana tu.
 
mimi ntakuwa mwanaume wa mwisho kabisa duniani kupigwa na kiumbe aitwaye KE
 
Kama utafanikiwa kuyakimbia matapeli lakini. Mwombe Mungu maana mengine huja yamevaa ngozi ya kondoo.
Alafu unaingizwa mkenge, wanasema ndege mjanja hunaswa kwenye mtego wa mchongo (tundu bovu)
hao viumbe wakajarib kwingine, siyo kwangu
maana kitu pekee anachoki offer , mie nnacho mkono wangu wa kulia na msaada wa mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…