Upweke umewaanza vijana mapema, Uzeeni sijui itakuwaje. Ni janga kubwa

Davis ambaye hakuwa mpweke kaishia kupigwa dolari kadhaa na hao majambazi
Ibu ambaye hakuwa mpweke kaishia kuibiwa savings zote na hao mnaowaita wake(mijizi), sa hivi yupo futi 6 chini
Mke atakuuguza ukiumwa, mke atakusafisha ukipuu kitandani mgonjwa,

Jambo Hilo nurse hata mama au dada wa Damu haezi fanya. Pesa Yako pia haiwezi fanya.

Wote wanaojaribu kupingana na Mfumo aliouweka Mungu wa NDOA takatifu ni wamechanganyikiwa.

Ni ombi LANGU mpone.
 
Mke atakuuguza ukiumwa, mke atakusafisha ukipuu kitandani mgonjwa,
tamthilia zinakuharibu

Ibu yule pale, yuko hoi kitandani mke chap kambambikizia kesi, kaondoa na savings zake zote

Davis Mosha, yule pale, mke linamuibia kimya kimya, kuja kusanuka, too late
bado linataka nusu ya mali, pumbav kabisa

jidanganye tu, endeleeni kufuga majambazi
ni swala la mda kabla vilio kusikika
 
Mzee Taikon, ndoa haijawahi kuondoa upweke, haijawahi! Ndoa nyingi ni Kaa la moto Kwa wanaume, yote haya ya nn! Walio kwenye ndoa ndio wanaoongoza Kwa upweke, kama huamini mzee Taikon hapa mahakama ya mwanzo uone maombi ya talaka yalivyo mengi
 
tamthilia zinakuharibu

Ibu yule pale, yuko hoi kitandani mke chap kambambikiza kesi, kaondoa na savings zake zote

Davis Mosha, yule pale, mke linamuibia kimya kimya, kuja kusanuka, too late

jidanganye tu, endeleeni kufuga majambazi
ni swala la mda kabla vilio kusikika
Mama Ako mzazi aliyekuzaa aliyafanya hayo Kwa babaako?

Usinipe mifano ya wasanii na watu wenye wake wengi, NDOA ni ya mume mmoja na mke mmoja bas.

Tupe experience ya Taasisi ya ndoa iliyokuleta duniani na kukulea,

Isijekuwa tunaongea na mtu aliyepita malezi hatarishi aliyeathirika anayehitaji msaada wa haraka.
 
naona umeanza kupanic, soon yatakuja matusi
Bye Bye
 
Mzee Taikon, ndoa haijawahi kuondoa upweke, haijawahi! Ndoa nyingi ni Kaa la moto Kwa wanaume, yote haya ya nn! Walio kwenye ndoa ndio wanaoongoza Kwa upweke, kama huamini mzee Taikon hapa mahakama ya mwanzo uone maombi ya talaka yalivyo mengi

Hazikuwa ndoa Hizo.
Ndio hicho dronedrake anachokizungumzia.

Ndoa inahusu upendo wa kweli wa mwanaume na mwanamke. Na sio huo utapeli. Sijui mpaka vyeti, sijui mpaka mahari, blahblahblah
 
Ni afathari ugali tembele penye amani furaha na upendo kuliko, chipsi kuku na pizza, kwenye chuki
 
Mzee Taikon, ndoa haijawahi kuondoa upweke, haijawahi! Ndoa nyingi ni Kaa la moto Kwa wanaume, yote haya ya nn! Walio kwenye ndoa ndio wanaoongoza Kwa upweke, kama huamini mzee Taikon hapa mahakama ya mwanzo uone maombi ya talaka yalivyo mengi
Ujinga tu mnajazwa mitandaoni.

Tupe historia ya maisha ya NDOA ya wazazi wako kabla hujasoma NDOA haifai,

Ukute chanzo ni familia uliyokulia.
 
Back
Top Bottom