Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

😴
 
Sahihi kabisa, hongera kwa uzi mzuri. Watu wengi waliofanikiwa katika jambo fulani wana kitu in common, wengi wana uwezo wakusema "no" na "yatosha".

Kama kijana una uraibu wa kitu chochote, safari ya mafanikio umeshapishana nayo.
Thanks for the compliment, na njia sahihi ni kuacha vile vitu vibaya mtu anavyo vihusudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…