Uchaguzi 2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

Yule mama wapi?
 
Meko alitosha?
 
Nilishawaambia mapema ile nafasi wangempa mh zitto kabwe wao wakasimamisha wabunge
 
Uenyekiti chadema taifa Ni wa Mbowe tu huko Kwingine ruksa yeyote kugombea
 
Msigwa hatoshi kua rais akiwa anaongea unawedha kudhani ni mtu smart sana kumbe ni mweupe Lissu anaweza kutufaa kutengeneza mifumo mizuri ya utoaji haki
All in all hakuna ataeshinda kwa mazingira yaliyopo.
Mkuu wa miujiza ni MUNGU PEKEE,
kama shetani aliweza fanya miujiza 2015, Mungu nae hachelewi wala hawahi
 
Naamini kama jpm ameweza,vwote wanaweza
 
Hiki ni kituko...🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Eti Msigwa for president....kuna watu sio hata candidate materials...
 
Ni lini mtaacha kufanya wanachofanya CCM?

Kwa hiyo mnataka mtulete JPM mwingine kwa kuwa CCM wameweza?

Mkuu mko siriasi na Msigwa?
Angalau hata Mh. lissu ana point.


ILA YOTE KHERI KWANI UZURI HATAUMIA MMOJA KAMA LEO NA KESHO.

MITAJI TUPO HAPA


Hivi kama Magufuli kaweza kuwa Rais kuna mtanzania yeyote atashindwa ? muogope Mungu mjomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…