Uchaguzi 2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

Uchaguzi 2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

Kumbe kupaza sauti kunafaa .
Baada ya uimula kwenye kutafuta mwenyekiti taifa na mpasuko sasa cdm imekuja na njia atleast za kiungwana japo ni zuga tu wanapiga kampeni wakijua hawahusiki . Hapo kongole
 
A

Binuka nikushughulikie hadi uache mchezo wa kubinya pua.
Kumbe dawa imekuingia eee, sasa Mambo ya mbinuko yanatoka wp mkuu...lkn wee si mgonjwa mtambuka??? Tulia bc mkuu au binua vzr dawa ikuingie mgonjwa gn unakuwa mbishi hivyo ??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Its CDM 4 LIFE
IMG_20200531_072737_186.jpg

Jr[emoji769]
 
View attachment 1471045

View attachment 1471046

Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa

Tayari kampeni nzito imeanza , bali zinaendeshwa kistaarabu na kwa amani kubwa sana ! Nawahakikishia Wanachadema na Watanzania wote kwamba kwenye kampeni za Chadema hakuna atakayetekwa , kutishwa ama kupotea .

Mungu ibariki Chadema .7

Ujinga mtupu, form hazijarudishwa za wagombea wengine, hao wawili wanapepetana vipi wakati muda wa wengine bado,
Kwa hiyo mnawatisha wengine wasichukue form?
Na wanaanzaje kampeni bila kutangaziwa
Au wote ni kambare kwenye hicho chama.
 
Mpe za uso huyo sukununu anadhan the Greatest anafanana na bwana yule

Back
Top Bottom