Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Huchoki kunibinyia pua?Nmekupa fursa kama unahtaji bdo fursa ipo kama tu utakidh vgezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huchoki kunibinyia pua?Nmekupa fursa kama unahtaji bdo fursa ipo kama tu utakidh vgezo
Hamdanganyi mtu ccm kuna chuma bado kina miaka yake mitanoCCM Kuna nduli, hamna mtu mwingine kugombea urais
Jazba mpaka unakosea kuandika.
Sawa da Aaliya ngoja nikuache na mumeo
Basi yameisha.Nmekwambia acha kudandia gari kama danga mwenzio huyo,mie cchukui madanga ndugu wake wangu wawili wananitosha
Basi yameisha.
Lakini mimi nilikuwa nataka nikupige nyungu tu.ila kama utaki basi yameisha.
Mbona hata mbowe kapiga nyungu bwashee.Nyungu ni tiba ya uhakika kama huna maradhi mengine yasiyopatana na nyungu kama pumu,sugar n.kAlah!nashukuru kama umeelewa nyie ndio mliohamasishwa kupigwa nyungu hongeren angalia tu ucje babuka tutakukosa hapa jamvin
Mbona hata mbowe kapiga nyungu bwashee.Nyungu ni tiba ya uhakika kama huna maradhi mengine yasiyopatana na nyungu kama pumu,sugar n.k
Jamaa nakushauri kitu flani.Sawa,hongera yake huenda amefuata ushauri wa Boss Jaff
Kikubwa ni demokrasia zaidi ya hapo hakuna Raisi hapoView attachment 1471045
View attachment 1471046
Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Tayari kampeni nzito imeanza , bali zinaendeshwa kistaarabu na kwa amani kubwa sana ! Nawahakikishia Wanachadema na Watanzania wote kwamba kwenye kampeni za Chadema hakuna atakayetekwa , kutishwa ama kupotea .
Mungu ibariki Chadema .
Magufuli alikuwa na qualities zipi za kuwa rais? outstanding ones? Msigwa ana reasoning ya hali ya juu! Ana reasoned decision . Afterall akiwa Rais anazungukwa na wataalamu wa kumpa njia ya kupita. Anazitafakari, then ana decide!Mkuu Msigwa hatoshi hatoshi hatoshi hata theluthi kuwa Rais.
Mh. Lissu hafai hata kidogo kupewa cheo kikuubwa zaidi ya kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali yenu mtakayoiunda.
Mh. Rais na mh. Lissu tofauti yao ni ndogo sana hata kiwatokacho midomoni mwao.
Msiwe na haraka mtafuteni mwenye hekima na busara ndani yenu mtampata.
#KIKOSI_maalumu_CHA_MATUSI_karibuni
Jamaa nakushauri kitu flani.
Baki na misimamo yako ya chama ila muunge mkono mzee baba magufenga.
Hamna kitu utapoteza jamaa.hivi huna macho ukaona?au hata masikio ukasikia jombaa?.Embu toa takataka kichwani bwashee.
Aisee umeandika kwa uchungu mkubwa moyoni.Mpaka huruma.Ndugu yangu mie namshukuru Allah alienipa japo ufahamu kdogo,cwez kuwa mtumwa ktk dunia hii tumia akili yako ktk siasa na wala uctumie siasa ktk akili yako utavurugwa.
Pia nikushaur tu hii dunia n mapto tu hakuna anaetakiwa kuabudiwa icpokuwa Allah pekee.
Pia jifunze kuheshimu watu itakusaidia,huwez niambia nmeweka takataka ktk kichwa changu na kujiona ww kama special fulan hv
Jamaa nakushauri kitu flani.
Baki na misimamo yako ya chama ila muunge mkono mzee baba magufenga.
Hamna kitu utapoteza jamaa.hivi huna macho ukaona?au hata masikio ukasikia jombaa?.Embu toa takataka kichwani bwashee.
Aisee umeandika kwa uchungu mkubwa moyoni.Mpaka huruma.
andiko bomba kabisa !Magufuli alikuwa na qualities zipi za kuwa rais? outstanding ones? Msigwa ana reasoning ya hali ya juu! Ana reasoned decision . Afterall akiwa Rais anazungukwa na wataalamu wa kumpa njia ya kupita. Anazitafakari, then ana decide!
Alafu ako kamsemo umekakazania,mwee.Jionee huruma mwenyew namshukuru Allah amenijalia kipato,huku nikiwa na wake wawili na watt cta wakiishi kwa furaha na amani
Inamaana leo Chadema unaikana asubuhi hata apajakuchwa vizuri ?Halafu nikusaidie kitu cjawah kuwa mwanachama wa chama chochote kile,ila cwez furahia bnaadamu mwenzangu apewe mateso,madhila,manyanyaso na kufnyiwa ukatili kisha nikashangilia,huo n zaid ya ushetan.
Duuh! mjomba una dharau sana sio siri [emoji3][emoji23]Hivi kama Magufuli kaweza kuwa Rais kuna mtanzania yeyote atashindwa ? muogope Mungu mjomba
Mnapotembeza bakuli huwa mnawaimbia kwa kimatumbi cha kwenu?Eti kwa Kiingereza ili mabeberu "wamsikilize". Huyu limbukeni bado hajajifunza tu?