Uchaguzi 2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

Uchaguzi 2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

Hapo CCM wote kwa Msigwa halafu atawaumbua subirini majibu soon
 
View attachment 1471045

View attachment 1471046

Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa

Tayari kampeni nzito imeanza , bali zinaendeshwa kistaarabu na kwa amani kubwa sana ! Nawahakikishia Wanachadema na Watanzania wote kwamba kwenye kampeni za Chadema hakuna atakayetekwa , kutishwa ama kupotea .

Mungu ibariki Chadema .
Urais kitu kidogo! kwanza wote wanajua wanapiga mbwembwe tu kututuintatain. - Hakuna mwenye ubavu hata wa kumtingisha JPM hapo.
KUTEKWA na KUPOTEZANA ni kwenye uenyekiti tu.
 
Mkuu Msigwa hatoshi hatoshi hatoshi hata theluthi kuwa Rais.

Mh. Lissu hafai hata kidogo kupewa cheo kikuubwa zaidi ya kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali yenu mtakayoiunda.

Mh. Rais na mh. Lissu tofauti yao ni ndogo sana hata kiwatokacho midomoni mwao.

Msiwe na haraka mtafuteni mwenye hekima na busara ndani yenu mtampata.

#KIKOSI_maalumu_CHA_MATUSI_karibuni
Sio lazima "ndani yetu" Kwani Membe ameshaingia ndani?
 
Urais kitu kidogo! kwanza wote wanajua wanapiga mbwembwe tu kututuintatain. - Hakuna mwenye ubavu hata wa kumtingisha JPM hapo.
KUTEKWA na KUPOTEZANA ni kwenye uenyekiti tu.
Magufuli ana nini cha kupigiwa mfano na kuogopesha watu ?
 
Amwachie LISU tusikilize jinsi ya kujibu maswali na hoja.Tumepigika sana.
 
Ww ucdandie gar kwa mbele mwache alieanzisha matuc amalize,vp mbna watafuta bwana kwa nguvu hvyo?muache mwenyew aje kujibu nguchiro we
Jazba mpaka unakosea kuandika.
Sawa da Aaliya ngoja nikuache na mumeo
 
Back
Top Bottom