Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Hivi kama Magufuli kaweza kuwa Rais kuna mtanzania yeyote atashindwa ? muogope Mungu mjomba
Magufuli alikuwa waziri bora kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kama Magufuli kaweza kuwa Rais kuna mtanzania yeyote atashindwa ? muogope Mungu mjomba
Jiwe atatoa show ya push up safari hii
Naona masalia ya corona bado yanasumbua kwa kichwa
Mzee mzima unamtishia nyau, Ngoma ya watoto haikeshi, acha mitoto icheze, Gombe sugu linakuja na Midundo ya ukweli likianza Chama cha Mbowe mtaanza kupoteana na muanze kelele za kitoto, oohh katiba, ooohh tume huru, ooohh Lisu kaumizwa na talalila nyingi zisizoisha. Mwamba muda si mrefu atarudi kwenye Disco na Ufipa mtapagawana.sasa unaogopa nini ?
Lissu for life
Sasa wewe unaogopa nini ?Mzee mzima unamtishia nyau, Ngoma ya watoto haikeshi, acha mitoto icheze, Gombe sugu linakuja na Midundo ya ukweli likianza Chama cha Mbowe mtaanza kupoteana na muanze kelele za kitoto, oohh katiba, ooohh tume huru, ooohh Lisu kaumizwa na talalila nyingi zisizoisha. Mwamba muda si mrefu atarudi kwenye Disco na Ufipa mtapagawana.
Hakuna shida walikuwepo waliosema hitla for life kwani shida ipo wapi.
Hata kuna watu walikuwa wanasema kuwa Sudan Elbashir ni for lifeHakuna shida walikuwepo waliosema hitla for life kwani shida ipo wapi.
Mzee mzima unamtishia nyau, Ngoma ya watoto haikeshi, acha mitoto icheze, Gombe sugu linakuja na Midundo ya ukweli likianza Chama cha Mbowe mtaanza kupoteana na muanze kelele za kitoto, oohh katiba, ooohh tume huru, ooohh Lisu kaumizwa na talalila nyingi zisizoisha. Mwamba muda si mrefu atarudi kwenye Disco na Ufipa mtapagawana.
Hili bango kaandika msigwa mwenyewe au maana haya kingereza hajui,chadema mko low sana maana elimu zenu wote hazijulikani,nizakuunga unga kwa super glue tu
Hapa alitakiwa aandika msigwa for presidency sio msigwa for President, ni bora kutumia lugha ya taifa kuliko kujiaibisha namna hiiView attachment 1471336
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sasa msikilize hapa Tundu kwa uchache tuu kisha nitafutie mtu mmoja tuu ndani ya CCM awezaye kupangua hoja kwa umakini kama yeye. Nasema mmoja tuu.Sasa mkuu hiyo kichwa box ya miga ndio uipeleke mtaani,hata kura za wendawazimu wenzie wa milembe apati.
Anayemzidi mwenzake kwa hiyo tofauti ndogo ya kuhoroja ni nani basi?Mh. Rais na mh. Lissu tofauti yao ni ndogo sana hata kiwatokacho midomoni mwao.
Mtu mwenye mawazo kama hata hawezi kuwa na moyo ndani ya CCMRoho, akili na Moyo wa Msigwa upo CCM kabisa, sema upinzani amewekeza mwili tu.