Uchaguzi 2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

Uchaguzi 2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

Vyama , vyama, nadhani wanapesa za kuchezea, subirini 2025. Mwaka huu 2025 Magufuli atawapiga chini kwa aibu.
 
Ngoma ya watoto haikeshi,acha mitoto icheze,ngoma ya wakubwa itakapoanza chadema mtapoteana,huu mwaka ndio mwisho wa saccos.
 
Ngoma ya watoto haikeshi,acha mitoto icheze,ngoma ya wakubwa itakapoanza chadema mtapoteana,huu mwaka ndio mwisho wa saccos.
ccm Kama kweli mnajua ngoma ya watoto haikeshi bc acheni figisu zisizo na maana...leteni tume huru na uwanja wa kisiasa uwe sawa alaf muone nani ni mtoto??? Ninyi ndo watoto maana mnabebwa na vyombo vya dola
 
Chadema kupata wabunge watano (5) wa kuchaguliwa uchaguzi ujao itakuwa ushindi mkubwa sana kwao na watapaswa kuwa na shukrani. Isipowekeza katika kujiimarisha kitaasisi itaendelea kuwa chama cha kiharakati kinachoendeshwa na mihemuko kama hii ya mleta maada.
 
Bila tume huru vyama vya upinzani vinapoteza muda na rasilimali bure
 
Naona masalia ya corona bado yanasumbua kwa kichwa
Yaani seriously Msigwa mkwe sijui shemeji ya Magufuli asimame wapingane??? Huyuhuyu aliyelipiwa faini magereza? Au ni bosheni tu?

Je Tundu Lissu amepona? Anauwezo wa kufanya kampeni? Au ndio zuga nayo tu ili mradi mtu asimame?

Anyway napita tu
 
Nakazia my lady.
 
Lissu for life
Mkuu Msigwa hatoshi hatoshi hatoshi hata theluthi kuwa Rais.

Mh. Lissu hafai hata kidogo kupewa cheo kikuubwa zaidi ya kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali yenu mtakayoiunda.

Mh. Rais na mh. Lissu tofauti yao ni ndogo sana hata kiwatokacho midomoni mwao.

Msiwe na haraka mtafuteni mwenye hekima na busara ndani yenu mtampata.

#KIKOSI_maalumu_CHA_MATUSI_karibuni
 
Mwanaccm anasema eti Twitter izimwe...what a big shame to the family
 
Bora upite tu maana kiukweli hueleweki

Ubaya huwa hamtaki kusikiliza ushauri.

Mkishindwa kwenye battle mtasema mmeibiwa Kura.

Hivi kweli mfano Msigwa anapitishwa atakuwa sirias kupingana na Magufuli? Au atakuwa ana sabotage chama?

Mfano Lisu anapitishwa najua yuko vizuri, atapata kura za huruma, Ila wale watu makini hawatamchagua kwakuwa hana nguvu bado, na hakuwepo nchini for a long time.

Msiweke tu watu ili mradi mtu,

Urais sio ujumbe wa chama.
 
Mkuu Msigwa hatoshi hatoshi hatoshi hata theluthi kuwa Rais.

Mh. Lissu hafai hata kidogo kupewa cheo kikuubwa zaidi ya kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali yenu mtakayoiunda.

Mh. Rais na mh. Lissu tofauti yao ni ndogo sana hata kiwatokacho midomoni mwao.

Msiwe na haraka mtafuteni mwenye hekima na busara ndani yenu mtampata.

#KIKOSI_maalumu_CHA_MATUSI_karibuni

Namimi naona hivo, ila hawawezi kukubali.
 
Back
Top Bottom