Ndo nashangaa kwanini waislamu wako kimya kama hawakubaliani na uongozi uliopo , huyu aliyeleta hoja ya dini analeta siasa za kuwatenganisha watuKwani ni rais wa wacatholic hoja zingine dhaifu kweli.. Mbona Masheikh wako kimya?
Kwa sababu rais sio muislamAwamu hii Maaskofu wapo kimya kama hawapo!
Huyo aliye tamka bungeni Kessi ni muislamu sala tano hii imekaaje?Wao Rais akiwa muislam mbona hawakai kimyaa?
Wewe ni walewaleKessi anajali tumbo lake.
Wapo wakristo waliotaka Kikwete aongezewe mda pia hapo unaposemaje?
Tupo pamoja nimeona upuuuuzi mkubwa wa spika karibu ningepasua laptop yangu leo. Mkristo mie na nasema hata kupewa awamu ya pili ni kwasababu tu ya ujinga wa watz wengi ila rais aliyepo hafai kabisa kuendelea. Ni masikitiko!Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.
Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.
Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..
Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.
Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?
Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Mkuu,Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.

Mimi pia ni mkatoliki ila kwasasa nalichukia Sana hili kanisa.Mimi ni mkatoliki ila viongozi wetu ni wabaguzi sana angekua mwislamu tungekoma
Nadhani hapa ni hoja ya maendeleo na Wala sio udini.hili hata likiwekwa kwenye katiba lazima liendane na moyo wa mhusika kuiletea nchi hii maendeleo.bila kujali dini yakeInaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.
Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.
Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..
Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.
Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?
Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Wamenunuliwa,ni wanufaika wa udhalimu hivo usitegemee kemeo lolote.Kwa East Africa viongozi wa dini wapo Kenya pekee.Awamu hii Maaskofu wapo kimya kama hawapo!
Hawapingi maendeleo wanapinga udikteta, dikteta Hana rafiki kesho zamu yakoNadhani hapa ni hoja ya maendeleo na Wala sio udini.hili hata likiwekwa kwenye katiba lazima liendane na moyo wa mhusika kuiletea nchi hii maendeleo.bila kujali dini yake
Nchi hii ktk historia mpaka Sasa imeongozwa na waislam pamoja na wakristo.Haijawahi kuibuka hoja ya urais wa maisha,kwa hiyo hapa issue sio ukristo au uislam.mimi binafsi Magu kwa maendeleo anayoyafanya hapa nchini hata angekuwa Hana dini ningeungana na wanaosema aendelee,sababu Ni moja tu,hao wenye dini zao mbona hawakufanikiwa kuonyesha ulimwengu kwamba Tanzania unaweza kusimama kwa miguu yake?tumepewa mpaka msaada wa net za mbu,huku Kodi zetu zikitumika kulipa mishahara hewa n.k
Ni kweliSio kweli
Usifanye watu maboya..Acheni uongo na dharau,usikoment tu ilimradi tu, Tec wana utaratibu wakutoa walaka kipindi cha kwarezima juu ya mambo ya kidin na mwenendo mzima nmna nchi ilivyo.Hiv karibuni kumbuka kuna padre aliambiwa wana shaka uraia wake baada ya kuikosoa serikali.
Bado kuna katibu wa tec pia aliwah kunyanganywa mpak hat kusafiria ati wana shaka na uraia wake baada walaka kuikosoa serikali.
Unayosema viongoz din hasa wakatolik kuwa wamekaa kimia hawasemi na sio kweli, huna kumbukumbu tu.
Jamaa anazunguka na maburungutu anagawa makanisani, misikitini. Tumbo mbele manAwamu hii Maaskofu wapo kimya kama hawapo!
Nadhani tungepiga kura ili tuone huo udikteta ni mkubwa kiasi gani.mwizi akipinga ujenzi wa kituo cha polisi kwenye mtaa wako,na wewe ukamuunga mkono mkafanikiwa kuzuia,Giza likiingia ukaibiwa utakuwa umechelewa Sana kujua lengo lake.Hawapingi maendeleo wanapinga udikteta, dikteta Hana rafiki kesho zamu yako
Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Hapo amewamakata awafurukuti ni lzm wamwabudu.Anawezawanunua viongozi wa dini but hawezi mnunua MunguJamaa anazunguka na maburungutu anagawa makanisani, misikitini. Tumbo mbele man