Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

..sanduku la kura linaheshimwa kulingana ns matakwa ya Mwenyekiti.

..Kilichotokea 2015 ni kwamba Mwenyekiti alimpinga zaidi Lowassa, kuliko alivyokuwa na interest kwa Membe.
Wewe ni mwanademokrasia,

Usibebwe na hizi dhana za Urais wa kurithishana.

Wananchi ndiyo asili ya uongozi wa juu wa Nchi.

Wapo ambao Huwa wanafanya tafiti Kwa maslah ya nchi.

Ndo hao waliona Magu anafaa kutuvusha.

Hizo zingine ni story tu.

KIKWETE hakumsaliti Lowassa!!
 
Rais Mkapa ndiye aliyelipa madeni yote ya mikopo ya watangulizi na hakukopa hata mia.

Na alikabidhi hazina ikiwa na Mzigo wa kutosha.

Endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupataπŸ˜€πŸ˜€
Makamba jr, majaliwa, madelu sikia hii πŸ‘†
 
Ngapi hukoooπŸ€“
 
Inawezekana wewe hukumsikiliza Kikwete kwenye mazishi ya Shujaa Magufuli pale Chato

Alisema " Mwenyekiti wa CCM ana Nguvu kubwa sana'
 
Nguvu hiyo Ina limit!!πŸ˜€πŸ˜€
Haina limit ndio Sababu aliweza kumpitisha Shujaa Magufuli

Na 2020 Shujaa Magufuli akatuletea Wabunge Wote hadi Covid-19 dadeki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haina limit ndio Sababu aliweza kumpitisha Shujaa Magufuli

Na 2020 Shujaa Magufuli akatuletea Wabunge Wote hadi Covid-19 dadeki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
USINGIZI ulipokolea nikasikia ndotoni,

"Wengine wote mmewapa dakika 90, iweje Mimi mnipe kucheza dakika 45 pekee"

Nikastuka ndotoni, kwamba iweje mkt alalamike!!πŸ˜€πŸ˜€
 
Historia ya nchi hii inaonyesha, wote walioumezea mate, Urais uligeuka kambale, ukateleza mikononi mwao[emoji3][emoji3]

Ngoja tusubiri.

Muda ni mwalimu.
Hata mm naona kabisa hawezi kupata. Hata Mwenezi naona anausogelea ila kiukweli hawezi kuupata.
 
Hata mm naona kabisa hawezi kupata. Hata Mwenezi naona anausogelea ila kiukweli hawezi kuupata.
Jana msibani alikwenda na kumpigia magoti mabaka mstaafu,

Sie wengine yetu macho!!πŸ˜€πŸ˜€
 
..Pesa za Kikwete na Lowassa ndizo zilizompa Kikwete Uraisi.

..Kinachofanyika ni ku-eliminate mgombea kikwazo ili mgombea aliyepangwa spite.

..Kikwete alimuengua Lowassa ili kumpendelea Membe lakini mambo yakaharibika kwenye kura.
Sema huyu Mungu kweli yupo. Yani Membe yule ndo angekua Rais wangu 2015? [emoji849][emoji849]
 
Mi ni Rais ajaye sema hamjui chochote..........
Ndo ujue Urais hautafutwi Kwa pesa au upendeleo,

Urais ukikutaka, utakutafuta uliko,

Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini ukamkuta anachunga Kondoo na mbuziπŸ˜€πŸ˜€

Wanasiasa wa Nchi hii wajifunze somo hili Toka Kwa Rabbon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…