The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Hiki ndo kirusi kikuu kinacholitafuna taifa na pengine kuzidi kurudi nyuma tena nyuma zaidi. Hatutaendelea kamwe na tutazidi kuchukiana milele ajenda kuu ya wanasiasa wetu ni wizi ila wanatuchonganisha kwa makusudi.
Akili za hawa waumini wetu wanazijua wao wenyewe bahati mbaya hata watawala wakizidiwa hoja wanajiweka karibu na watu wa dini yake kutafuta huruma. Ni wapi pameandikwa kwamba waislamu na wakristo wapeane uraisi kwa zamu?
Hatuwezi kwenda mbele kwa akili hizi za kukaanga maandazi Never. Ifike mahali rais apatikane kwa uwezo wake madhubuti na uzalendo katika kulitumikia taifa bila upendeleo.