Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Mnaosema mwinyi ni presidential material hebu orodhesheni achievements zake hapa chini, Bora hata Makame mbarawa tunaona Alivyosimamia Ruwasa na Tanzania kwasasa miradi ya maji vijijini inasambaa kwa kasi.mkuu nimeelewa andiko lako ila yote kwa yote mwinyi ni President material ukiachana na hata huku bara anafaa sana mda ukifika ,huo ni mtazamo wangu kwa muonekano wake ila sijui ya moyoni mwake maana madaraka watu wakisha pata hubadika sana,na kusahau wametokea wapi hata kuwasahau walio nyuma yao hasa wananchi
NI mkuu wa tume ya uchaguzi Zanzibar.👀 Ndiyo nani huyo mkuu..?
Karume je?Mbarawa yupo njema sana ni mtu wa field na sio mwoga.
Mwinyi anatembelea nyota ya Baba yake, ni mpole na ni rahisi kuburuzwa.
Jecha vipi?Mbarawa yupo njema sana ni mtu wa field na sio mwoga.
Mwinyi anatembelea nyota ya Baba yake, ni mpole na ni rahisi kuburuzwa.
Hafai ingawa kiukweli siufahamu utendaji wake.Jecha vipi?
Safari tunamtaka Raisi wa Zanzibar anayeishi Zanzibar na sio wanaishi na kufanyakazi Tanganyika.
Tunamtaka Mzanzibari Mkazi na sio wa kit kea Dodoma.
Ni SHAMSI VUAI NAHODHA.
Mzanzibari wa kuzaliwa, mwenye uzoefu wa kuwaongoza Wazanzibari kwa weledi wa kutosha na mkazi wa Zanzibar.
Mwinyi hana vyote si unguja si pemba na atapewa kipao mbele ili tu z'bar iendee kutawaliwaMwinyi hapo anatoboa.Zanzibar wana upemba na uunguja.Rais anaemaliza muda wake ni mpemba.
Namwona kabisa makame akikabidhiwa kijiti huyo husein hiyo wizara bado anaiendesha vizuri tena mno akitolewa hapo sidhani kama kuna anaeweza kuvaa viatu vyake kwa kipindi hichi bado anaimudu.Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amechukua fomu za kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa kumi (Oktoba).
View attachment 1483447
[emoji121]PICHA: Prof. Makame Mbarawa kushoto na Dr. Hussein Mwinyi kulia.
Profesa Mbarawa anakuwa ni mwanachama wa 11 kati ya wanachama waliojitokeza upande wa Zanzibar waliojitokeza kusubili vikao vya juu vya chama kuteua jina moja litakalopeperusha bendera ya chama kwa upande wa Zanzibar...
Alibatilisha matokeo ya uchaguzi 2015.Huo ndio utendaji wakeHafai ingawa kiukweli siufahamu utendaji wake.
👇... Kingine hapo zanzibar inatakiwa apewe rais ambae kauli ikitoka huku bara anywee...
Asante sana nadhani wewe ni miongoni mwa mlonielewa[emoji116]
...
"Ukija kwa prof. Makame huyu kila mtu anafahamu kutokana na kuwa karibu na Rais JPM na kutokana na utendaji wake, ukaribu na presida hiyo ndiyo inanipa hoja ya kupewa nafasi, hiyo inatokana na presida kutaka kuweka mtu anayemfaham vizuri huku ikiwepo nafasi ya kumtumia kutokana na kumfaham akiwa mtu wake wa karibu ambaye anaweza kumpa maelekezo na nini afanye akiwa pale."
Baba yake awe rais, kaka yake awe rais na yeye awe rais, hiyo ni nchi ya kisultani. Halafu anaonekana ni mtu mkorofi sana.Karume je?
NI mtu wa ovyo sana.Alishawahi kubaka na anadiriki kumnamga mtoto wa kaka yake ( Fatma Karume) kwa sababu ya maslahi yake binafsiBaba yake awe rais, kaka yake awe rais na yeye awe rais, hiyo ni nchi ya kisultani. Halafu anaonekana ni mtu mkorofi sana.
Wanasema hakuishia kubaka tu, huyo aliyebakwa aliaga dunia, ndio sababu akapelekwa nje ili kuua soo.NI mtu wa ovyo sana.Alishawahi kubaka na anadiriki kumnamga mtoto wa kaka yake ( Fatma Karume) kwa sababu ya maslahi yake binafsi