Zanzibar 2020 Urais Zanzibar: Kwanini nawapa chapuo Makame na Mwinyi

Ni kweli kwani huu uvamizi uliopewa jina la muungano hauna faida yoyote si kwa Tanganyika wala Zanzibar,zaidi ya kuwalinda mafia na wezi wa CCM
Oh kumbe!
Basi jiandae kumpokea Rais mpya Dr Hussein Ali Mwinyi
 

Labda ndivyo anavyowadanganya Pengo na chaguo la mungu ,kama vile naye anatia goli la mkono
 
Hivi huyu mbarawa ukaribu wake na rais ukoje mbona sijaling'amua hilo
 
Mzee wa fumba vipi mbona unawapiga sana misumari hawa viongozi wako, inaonekana hata muungano haupendi kabisa?
Hao wote ni waganga njaa na mamluki wa Dodoma
 
Hivi huyu mbarawa ukaribu wake na rais ukoje mbona sijaling'amua hilo
Angalia hili jibu...
Kwa nini marehemu Pierre Nkurunziza alimrithisha Evariste Ndayishimiye urais?
 
Kitu jecha aliwafanyia CUF 2015 hawatasahau ila zaidi hii supuraizi amewafanyia ccm mwaka huu hawajui wafanye nini
 
Sawa.
 
Chaguo la Magufuli ni Makame Mbarawa. Lakini Hussein ana sukumwa na group ya babake. Sasa wazanzibari wanapiga kura kwa Maalim Seif. Nguvu ya umma vs vyombo vya usalama.

Makame alikataliwa jimboni kwao. Alikuja Magufuli pemba na kuwatukana na kuwakejeli wapemba kuwa aliwaletwa mtu msomi wakampiga na chini. Magufuli alisema anawashangaa sana wapemba. Pili, Hussein hatakiwa na CCM zanzibar na hii inaonekana wazi katika huu mchakato wa kinyang'anyiro.

Hata hivo upande wa ccm watamchaguwa Mbarawa kwa vile yeye ndiye mastermind wa kuvuruga kura akimshirikisha Jecha. Mwaka huu kipigo watakachopata CCM zenji hawataaamini lakini ikiwa watalazimisha mtu wao basi wajuwe watatuuwa wengi na wao pia watakufa. Hamna njia nyengine. Hivi ndio Magufuli ametaka na zawadi yake ni maiti watakao zikwa wakati huo. Vyenginevo waache kura zipigwe bila mizengwe.
 
CCM hamuijui nyinyi. Nyie pigeni ramli zenu tu. Kumbukeni ya Dr. Shein alivyoteuliwa, mlitajataja watu hivyo hivyo.
 
Haya maneno hata kwenye kanga yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…