Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
hahahaha...huwa sipendi kucheka maneno ya watumishi ila kwa hili pastor nimekushindwa
sidhani kama kuna connection kwenye hilo, shanga zimekuwa zikivaliwa na mabibi zetu tangu enzi na enzi na ndoa zao zimekuwa zikidumu, zingine huvaliwa kama sehemu ya utamaduni wa makabila tofauti.
nadhani kila kitu shetani anaweza kukitumia ni mtu tu kuomba ulinzi wa mungu
kwanza demu akivaa shanga alafu we ukiwa na mazivu malefu huwa yanajisokota na inauma ile mbaya,
bora mtumishi uwaombee waache hizi maklitu!
mambo ya kiroho huwezi kuyaelewa, uhusiano uliopo ni mkubwa na ndio maana wanawake wamekuwa wakisumbuliwa sn na nguvu za giza kuliko wanaume. shanga ni kitu cha sirini kama ilivyo chupi, unaponunua unanunua wazi kabsa tena kwa mwanaume, lakini unapovaa unavaa sirini. mm cjazuia kuvaa ila ni muhm kuzikomboa kwa damu ya Yesu.
Ni zikiwa zimevaliwa mpendwa.......ili kulenga target vizuri.......
Hebu tafuta hilo kanisa mae tukajiweke wakfu......
Amen mtumishi, unatengua zikiwa zimevaliwa au?
Ni zikiwa zimevaliwa mpendwa.......ili kulenga target vizuri.......
Hebu tafuta hilo kanisa mae tukajiweke wakfu......
Teh teh...utanipm nikupeleke
Ha ha haaa!!! Leo umevuta kitu cha chuga nini?
wacha utundu wewe, nadhani anamaanisha zipelekwe kuombewa, ukishavaa itakua haina maana tena ya kupeleka.
Bwana Yesu asifiwe!
Leo nataka niwafungueni macho kondoo zangu.
Wanawake wengi wamekua wakipenda sana kuvaa shanga viunoni wakiamini ili kuwafurahisha wapenzi wao. shanga ni moja ya vitu vinavyotumiwa sana na waganga wa kienyeji kwny kazi zao.
Hivyo ili kuwashambulia wanawake kwa njia ya mapepo, waganga wengi wa kienyeji ndio watengenezaji wa shanga izo na kuzisambaza madukani kupitia watu wao ambapo huwa wanazinuizia roho za mapepo ya aina mbalmbal kama ifuatavyo:
1. Atakaevaa awe mgumba
2. Atakaevaa awe malaya, kahaba
3. Kwa alyeolewa asidumu katika ndoa
4. Atakaevaa asifanikiwe kiuchumi, mpenda anasa
5. Atakaevaa awe na mashetani
6. Atakaevaa aachike
7. Atakaevaa mfumo wake wa hedhi uvurugike
8. Atakaevaa awe na magomvi ktk na mumewe
9. Atakaevaa aingiwe na roho ya hasira
Hivyo wapendwa wangu unaweza kuona hukuwa na tabia fulani lakini kwa kuvaa ukajikuta unabadilika.Ndo maana ili wakujue umevaa shanga unakua unazini na kila mtu.
USHAURI: Kabla hujavaa shanga peleka kwa MCHUNGAJI Akaziombee ili kutengua hayo manuizo.
Umalaya utakuua we mchungaji utakufa na ukimwi balaa wewe.
Mkuu inaonyesha hujamuelewa kabisa mtoa mada yaani ni zero,sasa hbr hii na Umalaya vinahusiana vipi???.
Ni shanga tu au mpaka cheni?