Unaijua kazi ya shanga lakini au basi tu? Kama unajua nipe kazi 5 za shanga kwenye uwanja wa fundi seremala ndo nitajua yaliyomo yamo au hayamo.
Hee, Mi' nilitegemea kunako Nyongayako kutakua na mzigo kama Shingoni kumbe nimedoro?Eti mikanda miwili
umekua mganga
Chen moja kiunoni mchezo umekwisha
wanaume wa siku hizi ukiwavalia shanga wanakuona malaya,labda uwavalie cheni ya Gold au silver ndiyo kidogo heshima itakuwepo.
Haya Mambo Yenu Ya Kila Kitu Kuiga akina Rihanna Ndo Yanayo Waponza.
Mtoto Wa Kike Tupia Mkanda Mmoja Au Miwili Ya Shanga Za Asili Kiuno Kipendeze.Hayo Mambo Ya Cheni Waachie Hao Hao Ndo Utamaduni Wao.
Sio Shanga Ndo Zinazokufanya Uonekane Mshamba Ni Wewe Mwenyewe.Hata Ukivaa Cheni Kama Ni Mshamba Utabaki Kua Ni Mshamba Tu.
Binafsi navipenda kuliko kawaida, kwa upande wa kabila la mamangu ni tamaduni kwa mtoto wa kike kuvaa shanga za kiuno zisizopungua 6 then miguuni vikuku viwili, Kimoja kila mguu. I LOVE THEM BADLY!!
kabila gani