Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Lady;
Naomba nkuulize, weye kwenye kabila lako wanazivaa?? Mtu asiniambie ati Tz hatuna kabila, hapana hizo ni siasa tu na hapa tunazungumzia habari ya shanga. Shanga zina kabila lao. Huanzwa mtoto akiwa mdogooo anakua, zinaongezwa mpaka anavunja ungo.
Sasa kutokea hapo, anakuwa anajua matumizi yake, anafundishwa namna ya kumfunza mwenza kuzichezea kwenye mechi. Kuna wachezaji wazuri tu lakini hawajui kutumia njumu zile. Hata kwenye shanga, si urembo ule, zina kaz yake maalum. Zingelikuwa urembo, tungevaa shingoni sio kiunoni. Ndo maana nkakuuliza, weye kabila gani, uliziona nani kazivaa?
 
Kwan sisi wazungu?
hata wazungu nao siku hizi huvaa kijicheni kimoja kama si siliver basi dhahabu, au hata tattoo atachora lakin hawataki kiuno kiwe cheupeee kama cha mwanaume
 
Shanga ni Urembo tu kama urembo mwengine, ni kama unapovaa gauni la wazi juu na kifua kikawa cheupe bila hata ya cheni unahisi umepwaya inabidi unatupia kicheni au earing ili kunogesha vazi lako, kwahiyo hata kiuno cha mwanamke kinapovaliwa shanga kinapendeza ila zisizidi zikawa nyingi inakuwa kama uchafu, wastani mzuri wa shanga zikiwa 3 mpaka 6 basi, tena kabla hujavaa hizo kwanza chunguza kama mwenza wako anazipenda? usifanye tu jambo kisa kina flani wanafanya, fanya lile jambo ambalo huyo ambae unamfanyie anapenda, mana hata kama hapendi shanga cheni inatosha na inapendezesha ila kwa mwanaume anaejua kucheza na shanga cheni kwake haimpi hamasa.
 
Lady;
Naomba nkuulize, weye kwenye kabila lako wanazivaa?? Mtu asiniambie ati Tz hatuna kabila, hapana hizo ni siasa tu na hapa tunazungumzia habari ya shanga. Shanga zina kabila lao. Huanzwa mtoto akiwa mdogooo anakua, zinaongezwa mpaka anavunja ungo.
Sasa kutokea hapo, anakuwa anajua matumizi yake, anafundishwa namna ya kumfunza mwenza kuzichezea kwenye mechi. Kuna wachezaji wazuri tu lakini hawajui kutumia njumu zile. Hata kwenye shanga, si urembo ule, zina kaz yake maalum. Zingelikuwa urembo, tungevaa shingoni sio kiunoni. Ndo maana nkakuuliza, weye kabila gani, uliziona nani kazivaa?
Zile ambazo wanavishwa kwenye Makabila ambazo wanaanza kuwavisha wakiwa wachanga si shanga kwa ajili ya mwanaume, jampo zote ni shanga, zile wanawavisha watoto wa kike wakiamini kwamba mtoto atagawanyika vizuri kiunoni, yani ni kama wanamtengeza umbo la kike, shanga ambazo wanakabidhiwa kwa ajili ya mwanaume ni pale anapovunja ungo, akienda kuchezwa kule ndo anakabidhiwa shanga kulingana na mafunzo aliyofuzu kwa lugha nyengine wanaita mizungu,

Yani wakati wa yale mafunzo huwafunza pia jinsi ya kukatika viuono hali yakuwa ana mtu juu, kwa mfano analala chali (kifo cha mende) halaf wale manyakanga mmoja anampandia juu mfano wa mwanaume na chini anawekewa kisaani cha chai kina kaa la moto ina maana atakatika kwenda juu na kurudi chini hagusi chini wakati huo huo anaekewa shanga nyuma ya kichwa chake sasa hapo itategemea na huruma ya manyakanga kama utaekewa chini au nyakanga mwengien atasimama nayo uichukue kwa ulimi, hali yakuwa unakatika ukiipata unahesabiwa ya kwanza.

Unawekwa style nyengine na zoezi ni hilo hilo kuziokota shanga kwahiyo unaweza toka hata na shanga 5 au 6 juua wewe si mchezo, achana na vidada vya sasa mtu anaenda kwa mmasai anavaa tu hata 20 n.k.
 
Hyo mambo ilinishindaga aisee nlikuwa nikivaa nikienda toilet navua surual unajikuta nmezivuta zimekatika nkaona hii mambo siwezi
Tatzo unazvalia surual...shanga vaz lake co surual
 
Jamani hivi uvaaji wa shanga ni ushamba wa kizamanii au ndo maraha? Natamani kuzivaa ila naogopa nitaonekana mshamba na nimezinunua tayari.

Ushauri wenu wa bure na sitaki matusi wala dharau kama vepe unaweza uka pita mdogo mdogo[emoji124] [emoji124] [emoji124]

Mimi nikipata mdada kazivaa ...hata ndomu huwa nasahau!! ..We Fanya roho inapenda na watu tuna taste tofauti, wenye mahaba nazo watakuganda. For the first time ilinifanya nisilale usiku mzima nachimba kiazi tu. Duh!
 
Zile ambazo wanavishwa kwenye Makabila ambazo wanaanza kuwavisha wakiwa wachanga si shanga kwa ajili ya mwanaume, jampo zote ni shanga, zile wanawavisha watoto wa kike wakiamini kwamba mtoto atagawanyika vizuri kiunoni, yani ni kama wanamtengeza umbo la kike, shanga ambazo wanakabidhiwa kwa ajili ya mwanaume ni pale anapovunja ungo, akienda kuchezwa kule ndo anakabidhiwa shanga kulingana na mafunzo aliyofuzu kwa lugha nyengine wanaita mizungu,

Yani wakati wa yale mafunzo huwafunza pia jinsi ya kukatika viuono hali yakuwa ana mtu juu, kwa mfano analala chali (kifo cha mende) halaf wale manyakanga mmoja anampandia juu mfano wa mwanaume na chini anawekewa kisaani cha chai kina kaa la moto ina maana atakatika kwenda juu na kurudi chini hagusi chini wakati huo huo anaekewa shanga nyuma ya kichwa chake sasa hapo itategemea na huruma ya manyakanga kama utaekewa chini au nyakanga mwengien atasimama nayo uichukue kwa ulimi, hali yakuwa unakatika ukiipata unahesabiwa ya kwanza.

Unawekwa style nyengine na zoezi ni hilo hilo kuziokota shanga kwahiyo unaweza toka hata na shanga 5 au 6 juua wewe si mchezo, achana na vidada vya sasa mtu anaenda kwa mmasai anavaa tu hata 20 n.k.
Hawa ni wasichana wa kabila gani???? Nimevutiwa nao..
 
Makabila ninayoyajua mie ambao wanachezwa, Wazaram, wandengereko, Mtwara na Lindi, Tanga hao ndo ninao wafahamu mimi ila sasa kila kabila lina ujanja wake lakin lengo linakuwa ni moja.
 
Zile ambazo wanavishwa kwenye Makabila ambazo wanaanza kuwavisha wakiwa wachanga si shanga kwa ajili ya mwanaume, jampo zote ni shanga, zile wanawavisha watoto wa kike wakiamini kwamba mtoto atagawanyika vizuri kiunoni, yani ni kama wanamtengeza umbo la kike, shanga ambazo wanakabidhiwa kwa ajili ya mwanaume ni pale anapovunja ungo, akienda kuchezwa kule ndo anakabidhiwa shanga kulingana na mafunzo aliyofuzu kwa lugha nyengine wanaita mizungu,

Yani wakati wa yale mafunzo huwafunza pia jinsi ya kukatika viuono hali yakuwa ana mtu juu, kwa mfano analala chali (kifo cha mende) halaf wale manyakanga mmoja anampandia juu mfano wa mwanaume na chini anawekewa kisaani cha chai kina kaa la moto ina maana atakatika kwenda juu na kurudi chini hagusi chini wakati huo huo anaekewa shanga nyuma ya kichwa chake sasa hapo itategemea na huruma ya manyakanga kama utaekewa chini au nyakanga mwengien atasimama nayo uichukue kwa ulimi, hali yakuwa unakatika ukiipata unahesabiwa ya kwanza.

Unawekwa style nyengine na zoezi ni hilo hilo kuziokota shanga kwahiyo unaweza toka hata na shanga 5 au 6 juua wewe si mchezo, achana na vidada vya sasa mtu anaenda kwa mmasai anavaa tu hata 20 n.k.

Nashukuru umenielewa na ukatoa somo kwa hawa wanaokuja humu jf kuomba ushauri wa kuvalishwa shanga. Kama nilivosema tangu kule mwanzo, japo unasema kuwa shanga wanazovishwa wachanga si kwa ajili ya wanaume bali ni kukifanya kiuno cha mtoto kigawanyike vizuri. Naomba nikuahakikishie kuwa, mwisho wa haya yote ni kumfanya awe kivutio kwa mumewe baadaye.
Mwanamke, uzuri wake upo kwenye kiuno sio uso. Uzuri ninaousema hapa tofautisha na urembo. Hata fenesi lina urembo. Swali nje ya mada lakini; Wajua kuwa ukipita nyuma ya mwanamke wa Kinyakyusa, mumewe aweza kukuua??) Unavyojua kuchanganya hicho kiuno ndivyo unazitwaa akili za mumeo. Akitembea yu akuwaza unavojua kucheza mechi kiufundi.
Wale wenye wake zaidi ya mmoja, hata kama si zamu yako, atajiiba mchana akuvizie uingie ndani ili atimize haja yake kwako japo si zamu yako. Shanga zina kazi yakee kwa wale tunao zijua. Usizivae ka urembo sio utuli ule.
 
Back
Top Bottom